tra

  1. TRA na Halmashauri tambueni kwamba Ujenzi wa miundombinu unaochukua muda mrefu unaathiri Wafanyabiashara, mnadaije kodi maeneo hayo?

    Ninatambua kwamba ni wajibu wa mfanyabiashara yoyote kulipa kodi ili kuchangia pato la Taifa na hatimaye kuwezesha maendeleo, na ninaunga mkono jambo hilo. Lakini Kodi inapaswa kulipwa kutokana na kinachopatikana kwenye biashara husika na si vinginevyo. Lazima tukubali kwamba ujenzi wa...
  2. TRA mnazima mtandao ili mpige watu penati?

    TRA shughulikieni suala la mtandao mnachofanya ni upumbavu wa hali ya juu, ofisi zenu zote muda wa kazi hakuna mtandao hasa siku za malipo ila kuanzia saa 11 jioni mnarudisha mtandao. Basi fanyeni kazi 24hrs hapo hapo huyu mliyemzimia mtandao akija alipe mnampiga penati za kufa mtu mnafikiri...
  3. L

    Ajira Mpya 2100 TRA- 12 March, 2022

    Habari waheshimiwa, nimeona kwenye gazeti la jana la mwananchi kuwa Rais ametoa ajira nyingine 2100 zaTRA. Nimeambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na screenshot kutoka kwenye page ya millardayo post za jana gazeti la tarehe 12/02/2022.
  4. Wanaofanya biashara mitandaoni watakiwa kujisajili TRA

    Baadaya ya manyunyu kutamaradi, sasa mvua inaweza kunya wakati wowote. "Watu wote wanaofanya biashara kidigitali tunawaomba mfike katika ofisi zetu kwa ajili ya usajili wa biashara hizo" "Sambamba na hilo tunaendelea kufatilia wateja wenu mnaowahudumia ili tupate taarifa sahihi za biashara...
  5. Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

    Vipi jamani, mambo yameendaje huko? Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama amekwisharudi ila akaniambia yeye ni kama alienda kutalii tu huko Dodoma maana pepa haikumwendea poa...
  6. A

    Kuna uwezekano TRA idara ya Ushuru na Forodha wanamhujumu Rais Samia

    Inawezekana vipi toka asubuhi mpaka saa 10 hii mifumo ya TRA ya kulipia kodi haifanyi kazi? Hakuna uwezekano kwamba wanamhujumu mama?
  7. K

    Paper ya Tax management officer ii utumishi

    Paper imeisha salama,ila haikua rahisi kivile. Muda nao ni changamoto, wengi wetu hatujamaliza maswali.
  8. C

    Safiri Kwenda kwenye usahili wa TRA (UDOM) Dodoma na kurudi DAR kwa Coaster Mpya

    Kwa wanaohitaji usafiri wa kwenda kwenye usahili wa UTUMISHI (TRA) DODOMA nakurudi DAR tafadhali wasiliana nasi mapema 0719250926 fanya BOOKING mapema nafasi zimebaki chache
  9. Usaili TRA

    In God, we trust.
  10. Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja

    Wakuu, huyu mtu kama niwewe ungemshauri afanyeje. Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja.
  11. C

    TRA kwenye kodi ya magari wanafanya "wizi" wa wazi kabisa

    Hebu leo tuwaangalie hawa jamaa, Mifumo yetu ya kikodi ni mibovu mno yaani hakuna namna ambayo kodi itatoa ahueni kwa mwananchi wa kawaida hilo halipo. Angalia ukiagiza gari iliyotumika iwe Japan, Dubai, Thailand au Afrika Kusini yaani kodi unayolipa tena isiyo na mantiki tena kodi ya kuudhi...
  12. L

    Duh! Kila nikihakiki bidhaa kutumia Hakiki ap ya TRA inaniambia verification failed

    Nimejaribu kuhakiki bidhaa kwa kutumia ap ya Hakiki Stamp ya TRA nimekuta kila bidhaa feki. Unachotakiwa kufanya scan bar code au QR code iliyopo kwenye bidhaa.Ap inawasha camera ya simu, hakikisha QR code au bar code inakuwa kwenye target ya camera, bila ya kutingishika, kama huwezi ingiza...
  13. Madhara na faida za kujisajili mtandaoni

    Je, ulishawahi kutapeliwa na kampuni iliyosajiliwa!? Taasisi nyingi za kiserikali na binafsi kwa sasa husajili vitu vingi online ili kurahisisha na kuongeza ufanisi. Mfano TRA na BRELA. TRA huweza kusajili TIN no. Bure mtandaoni na BRELA ukasajili kampuni mtandaoni. Hiii imesaidia vitu vingi...
  14. J

    Iundwe Wizara ya Uchumi, Viwanda na Biashara. TRA irudishwe Hazina kama Idara ndipo tutatoboa

    Ni ushauri kwa bunge, wabunge na Spika mpya Dr Tulia Ackson. Jaribuni kuishauri serikali ili mipango ya kiuchumi ihamishiwe wizara ya Viwanda na Biashara kisha ateuliwe mbunge nguli wa Uchumi, Biashara na Masoko kuendesha wizara. TRA irudishwe Hazina kwani lengo la Sanare na Kezilahabi wakati...
  15. TRA ni taasisi ya kukosa network kweli?

    Nimekuwa nafuatilia masuala yangu TRA (sisemi ni wapi) hapa Dar. Wakati wahudumu wakiendelea na huduma unasikia wanasema subiri network irudi. Hapo majukumu inabidi yasimame hadi network ikae tena sawa. Ikifika hapo baadhi ya wateja huamua muahirisha kilichowapeleka pale. Hili nimekumbana nalo...
  16. Kutokana na machinga kuuza bidhaa zinazolingana na za madukani, TRA watatenganishaje?

    Kutokana na machinga kuuza bidhaa zenye ukubwa pengine na hadhi inayofanana na bidhaa za maduka yanayotoa risiti ambayo ndiyo kampeni ijayo, TRA watatofautishaje? Bidhaa hizi? (Ipo haja ya kutengeneza machinga receipts) #kwa ukweli machinga wanavuruga mfumo wa ukusanyaji kodi.
  17. INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  18. Kuepusha dhuluma kwenye mishahara na ukwepaji kodi, TRA itoe Final Salary Slip kwa wafanyakazi

    Wafanyakazi wananyonywa sana, makato ni mengi, lakini taasisi ziwe za serikali ama binafsi kupeleka michango hiyo sehemu husika imekuwa ni issue sana. Inafikia mfanyakazi anastaafu, ameumia kazini ama ameacha ajira anakosa stahiki yake kwa sababu hamna michango ambayo imepelekwa sehemu husika...
  19. TRA yawaomba viongozi wa dini kuhamasisha ulipaji kodi

    MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi (TRA), Richard Kayombo amewaomba viongozi wa Dini kuhamasisha ulipaji wa kodi nchini huku akidai asiyetoa risiti ana nia ya kijidhulumu yeye na Serikali yake na wananchi wenzake na atawachelewesha kwenye masuala ya upatikanaji wa huduma za kijamii...
  20. TRA Kahama Wababaishaji sana

    Habari za leo wanaJukwaa. Leo nimeenda tangu saa 2 Asubuhi Ofisi yaTRA Kahama kwaajili ya Makadirio ya Mapato. Hadi sasa saa 7 sijapata huduma yoyote. Wafanyakazi wa TRA wanapita pita tu bila msaada wa aina yoyote. Kwa namna hii ndio maana tunahamasika kukwepa kodi. TRA.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…