tra

  1. JamiiForums Tanzania Bunge laipa TRA siku 30 kufanya maboresho ya mifumo yake

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwezi mmoja (sawa na siku 30) kuipelekea mpango kazi wa namna walivyojipanga kukabiliana na hoja za kikaguzi zilizoainishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Makamu Mwenyekiti wa PAC...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Changamoto za makadirio ya kodi na Tozo na upigaji tra

  3. JamiiForums Tanzania Kodi ya Pango: TRA yatoa ufafanuzi kuhusiana na kodi ya pango

  4. N

    JamiiForums Tanzania Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa; Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tozo ni kwa sababu TRA wameshindwa kukusanya kodi vizuri

    Tatizo hii nchi wameshindwa kukunya kodi vizuri za TRA sababu kuu biashara karibu kubwa zote zinamikono ya viongozi wa hii nchi. Ukiomba risit utapigwa maneno kuwa machne mbovu na mizgo wanayonunua unakuta inapita bandarini bila ushuru. Matokeo yake wanaona ngoja watumie mbinu yakuwaumiza watu...
  6. JamiiForums Tanzania Je, kuna App yoyote ya kutambua risiti za TRA?

    Ndugu wana jamvi naomba msaada,nitawezaje kujua kama risiti niliyopewa nifeki au sio feki,je kuna app yeyote ya kutambua risiti za tra?
  7. JamiiForums Tanzania Tangazo la TRA kuhusu ukusanyaji mapato kwa wapangaji kuathiri sensa

    Tangazo la TRA kuwatumia wapangaji kukusanya kodi ya zuio kwenye upangaji wa nyumba linaweza kuathiri zoezi la sensa kwani upo uwezekano wa baadhi ya taarifa za umiliki wa ardhi, nyumba kufichwa kuogopa kulipa kodi stahiki. Ni muhimu kwa taasisi kama TRA kukaa kimya kuliko kutoa matamko...
  8. JamiiForums Tanzania TRA ya USA waruhusiwa kuua ikibidi kukusanya kodi ya Serikali

    Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!
  9. JamiiForums Tanzania E-Filing System TRA una matatizo

    Heshima sana wanajamvi, Mamlaka ya mapato Tanzania ilibadili mfumo wake wa ku fill kodi mbali mbali kupitia mfumo mpya ambao badala ya kurahisisha kazi umeongeza ugumu wa kazi. Unaweza kuchukua siku nzima ukihangaika kuufungua tu .Bado utasumbuka masaa mengi kurudia rudia kila mara na...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wabobezi kuhusu gharama za TRA kulipia 20ft Container kutoka China

    Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KWELI TRA Wakanusha suala la Mtandao wao kusumbua nchi nzima

    TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua. Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake. Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania TRA toeni Bonus kwa kila mwenye Risiti 100 za EFD, Mtaongeza mapato maradufu kuliko kutumia nguvu!

    TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti za EFD nilisikia TRA wameanzisha mchongo kwa baadhi ya wakazi wa dar kwamba ukikutwa na TRA umenunua...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA fanyeni kazi zenu ipasavyo, Wahindi na Wachina wanalichezea taifa hili

    Habari za muda, Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo...
  14. JamiiForums Tanzania TRA yakusanya Trilioni 22 mwaka wa fedha 2021/22, Nauliza tena Nani kama Samia?

    Hakuna bunduki, hakuna vitisho na kwa mara ya kwanza , mamlaka ya mapato Tanzania inakusanya Trilion 22.28 . Nani kama Samia?
  15. JamiiForums Tanzania TRA Mwanza kuna shida gani?

    Mnamo tarehe 4 June nililipia sh 70,000 kwa ajili ya driving licence, nikaambiwa nitatumiwa ujumbe mfupi wa maneno nikaifate. Hadi leo tarehe 30 June sijapata huo ujumbe katikati hapo nilienda kufatilia wakaniambia mashine ya kuprint imeharibika. Ina mana mpaka leo mashine imeharibika?au kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ulisajili kampuni na hujafungua e-filing ya TRA?

    Habari ya jioni wakuu. Kuna baadhi ya watu walifungua/kusajili kampuni lakini wakawa kama wameitelekeza iwe ni kwa kufanyia kazi kwa muda mfupi na kuiacha ama kutoifanyia kazi kabisa baada ya kuisajili. Mjue kuwa taarifa zenu zipo TRA tena nyie mliofungua kampuni kuanzia mwaka 2018 ndio hadi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Revenue Authority, Attorney General win appeal over 145bn/- judicial review tax dispute

    By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary THE Court of Appeal has nullified the proceedings of the High Court, which granted extension of time to Milambo Limited to apply for judicial review in a tax matter relating to payments of over 145bn/- to Tanzania Revenue Authority (TRA). Justices Stella Mugasha...
  18. JamiiForums Tanzania Rashid Shangazi: TRA imekusanya wastani wa trilioni 1.9 kila mwezi bila mtutu wa bunduki

    Rashid Shangazi: Katika kipindi cha miezi 9 mamlaka ya kodi imekusanya takribani trilioni 17.2 Ukipiga hesabu ya kila mwezi ni wastani wa trilioni 1.9 Kodi hizi zimekusanywa bila kutumia task force wala bila mtutu wa bunduki. ===== Hivi kuna kipindi tulikuwa tunakusanya kodi kwa kutumia...
  19. JamiiForums Tanzania Meneja wa TRA Kigoma asimamishwa kazi

    Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi! Alichokifanya bwana Mwangosi alipofika Kigoma ni kuziba mianya yote ya...
  20. JamiiForums Tanzania TRA Yagawa bidhaa kwa taasisi za serikali

    Mamlaka ya mapato tra mkoani tabora imegawa mali mbalimbali ilizokamata kati ya mwaka 2019-2022 kutoka kwa wafanyabiashara waliokiuka utaratibu wa utoaji wa risiti kwa njia ya kielektroniki efd kwenye miamala yao. tra imegawa mali hizo kwa jeshi la magereza na idara ya elimu manispaa ya tabora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…