tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha. Watoto wa walipa tozo na watoto wa wakusanya tozo

  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

    Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti...
  4. JamiiForums Tanzania Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku

    Watu wengi wanaweza kuwa wamesahau, wakati Serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani ilikuta shirika la umeme nchini(TANESCO) wanakata 7000 kila mwezi kama gharama ya kuhudumia laini. Ilikuwa pesa flani ya mtelezo kwa Serikali na shirika la umeme, 7000 ukizidisha na wateja wote wa kawaida...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Tutumie rasilimali zetu tulizopewa na Mungu kukusanya pato la taifa kuliko kuwa na kodi na tozo kandamizi kwa wananchi

    Inashangaza sana kuwa na taifa ambalo lina kila aina rasilimali ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kuwa na taifa ambalo lina pato kubwa la taifa. Fikiria madini ya almasi, dhahabu, ruby au Tanzanite yakivunwa vyema na kisha kuuzwa taifa letu litanufaika na kuwa na pato kubwa. Hivi hii nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya habari, mawasiliano na mitandao ya kijamii ilivyo fanikisha maandamano na mageuzi katika mapendekezo ya kodi, tozo na ushuru Kenya

    Hayakuandaliwa chini ya mwamvuli wa upinzani kama ilivyozoeleka. Hayana kinara wala kiongozi moja muwajibikaji... Organization na mobilization ya vijana waandamanaji imefanyika na kuchochewa kupitia mitandao ya kijamii tu.. Imepelekea ugumu kwa polisi kubabaika, kwasababu haikuwa rahisi...
  7. JamiiForums Tanzania Tutaje tozo ambazo zimependekezwa kwenye msaada wa bajeti ambazo zinaweza leta maumivu Ili zirekebishwe kabla ya vilio kusikika kuanzia July 1

    Serikali imetoa mapendekezo ya Bajeti yake Kwa mwaka 2024/25 yenye zaidi ya Shilingi Trilioni 49.3 na kuainisha vyanzo vya pesa hiyo na matumizi yake. Ni vyema Sasa Wananchi na wadau tujikite kutoa maoni ambayo yatasaidia mjadala wa Bajeti Ili kama Kuna tozo unaona haiko sawa uibainishe na njia...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Punguzo la tozo namba za usajili maalum za magari katika kuongeza pato la Serikali Tanzania

    Katika Nchi tuna utaratibu wa kila chombo cha Moto kupata usajili kupata namba maalumu [maalufu kama Plata Namba] Kwa magali tunaanza na T AAA na Sasa Tupo T EAA ,na Pikipiki zinaanza MC [Vyombo vya miguu miwili au mitatu ] MC ambayo zina gharama za kawaida Ila serikaĺi imeweka utaratibu kwa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kama una akili ya D mbili unaweza kufikiri aliyependekeza sh 50 ikatwe kwenye muda wa maongezi ni akili yake

    Kuna mheshimiwa mmoja alipendekeza sh.50 ikatwe kwenye muda wa maongezi kwa kila line ili kuchangia ujenzi wa barabara. Unaweza kufikiri ni akili yake amependekeza, lakini kusema kweli zile tozo zilizosababisha watumiaji wa mitandao ya simu kutuma pesa kupungua, zinakuja tena kwa dirisha la...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wakusanya tozo za parking Jijini Mwanza wala Rushwa wakubwa mtaa wa Kalutta

    Mkurugenzi wa jiji kuna kikundi kinachotoza tozo za parking jijini Mwanza hususani eneo la mtaa wa Kaluta wanakamata magari na kuyafunga minyororo huku wakidai Rushwa msipoangalia kikundi hiki kitawaharibia kabisa CCM kipindi hiki kwa vile wanafai kutumwa kufanya hivyo na Mkurugenzi Kibamba...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iagize mafuta kwa niaba ya wafanya biashara na kuwauzia bila kodi wala tozo ili kukabili mfumuko wa bei

    Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa Picha (chanzo ) google Hapo nyuma wafanya...
  12. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wananchi wapinga Tozo ya Usalama wa Mtandao kupitia Miamala ya Benki na Simu

    Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu. Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
  13. JamiiForums Tanzania Tunataka kubadili Sheria ya Tozo ya Warfage kwa manufaa ya nani?

    Katika mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi 2024/25 baadhi ya wabunge wanalalamika tozo ya warfage kukusanywa na TRA. Wanataka sheria ibadilike ili tozo hiyo ikusanywe na TPA. Ikumbukwe kuwa hiyo tozo ya warfage ilikuwa inakusanywa na TPA lakini kutokana na malalamiko ya wadau juu ya bandari...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ni haki yetu kutangaziwa kama tozo zimerudi kwenye malipo ya VING'AMUZI.. (Ada, Vat na Kodi)

    Kwani mnatuchukulia sisi poa, kwani itawagharimu pesa ngapi kututangazia kuwa tozo zimerudi kwenye malipo ya ving'amuzi? Leo nimefanya malipo kulipia king'amuzi risiti iliyorudi imeonesha nimekatwa Ada na Vat... au kuna tatizo kwenye uandishi wa hiyo risiti.. Kama kuna yoyote aliefanya malipo...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ondoeni haraka tozo hizi za matengenezo ya nyumba wakati huu wa mvua

    Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali na kuamua kukijenga upya, hamadi serikali ya mtaa kumbe nao wanajua watatupata, wakanidaka. Baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tulipanga kukusanya shilingi ngapi kwenye tozo za miamala

    Nimeangalia data kutoka TRA kujua tumekusanya shilingi ngapi tangu serikali iweke tozo kwenye miamala ya simu, hadi sasa tumeshakusanya Tsh Bilioni 362.1281, hii ni kuanzia zilipoanzisha hadi robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/24 Ukiangalia takwimu hizo kuanzia Juni 2022 makusanyo yalipungua...
  17. JamiiForums Tanzania TPA yatoa ufafanuzi kuhusu Tozo ya WHARFAGE

    UFAFANUZI KUHUSU TOZO YA WHARFAGE JUMAPILI MACHI 10, 2024 DAR ES SALAAM Mamlaka ya Usimamizi wa Bandnari Tanzania (TPA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tozo ya Wharfage kwa Wateja na Wadau wa huduma za Bandari na kuweka usahihi wa taarifa kwa Umma kwa ujumla kama ifuatavyo. Wharfage ni tozo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nigeria yaanzisha tozo ya kila mwaka kwa wafanyakazi wa kigeni

    Nigeria imeanzisha ushuru wa lazima wa kila mwaka kwa mashirika yanayoajiri wafanyakazi kutoka nje, inayowahitaji kulipa $15,000 (£12,000) kwa watu wenye cheo cha mkurugenzi na $10,000 kwa vitengo vingine.. Hatua hiyo inakusudiwa kuhimiza makampuni ya kigeni kuajiri wafanyakazi zaidi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa tozo ni kwaajili ya kujenga barabara za vijijini. Vipi barabara zinajengwa kweli?

    Salaam Tozo za miamala ya simu ni jambo lililoanzishwa na kuzua tafrani miongoni mwa Wananchi wa Tanzania. Raia wengi walizipinga lakini viongozi wengi wa Chama Tawala walitetea na kuziita ni tozo za kizalendo sababu zimelenga kutumiwa kujenga barabara za vijijini. Soma: Serikali yatangaza...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je, hii ni tozo mpya kwenye akaunti za Benki?

    Habarini wana jamvi, natumaini mko poa sana. Leo katika mishe zangu ikaingia sms ya tozo, ikiwa na jina la PAYROLL LEDGER FEE na baadaye ikaja na ya VAT. Sasa nikapiga simu kwa bank husika kujua hii shughuli imeanza lini mbona sina experience ya hii shughuli na tulishaambiwa haya mambo hayapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…