tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Gumzo kubwa leo: Uwe masikini au tajiri, hamia Burundi kama hutaki tozo

    Hii imekuwa ndio gumzo kubwa sana leo hii
  2. Mkalukungone Mwamba

    Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula

    Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula.
  3. GENTAMYCINE

    Hili la Tozo hadi kwa Wasusi na Wachoraji tunakoelekea nahisi kutakuja kuwa na Tozo kwa wanaoenda Gesti ili Mapato yaongezeke

    Ni aibu kwa Taifa kama langu kutojua kabisa Vyanzo vya uhakika vya Kuingiza mapato. Tukiwadharau na kuwaambia kuwa HAMNA AKILI mnakimbilia KUTUCHUKIA na kutuundia VIKAO vya VIMKAKATI vya Kutunyamazisha mkidhani kuwa AKILI za Wananchi wa Taifa langu bado ni zile zile za UPUMBAVU MKUBWA mlionao...
  4. A

    KERO TOZO ZA SERIKALI kwenye MIAMALA ya Simu zimerejeshwa tena?

    Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu. Serikali ilisema kwamba tozo hizo zingetumika kujenga vituo vya afya, madarasa, kutengeneza madawati nk (kama sikosei, naomba nikumbushwe)...
  5. SuperEnthusiasis

    Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    HAbari zenu wakuu. Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo. katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na kama milioni nane(8) ili niweze kumvua mtu fremu, bado tra, pia kodi ya hiyo fremu ni 300k kwa mwezi...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Nauli za ndege kupanda baada ya Tanzania kuanzisha ada ya abiria ya dola 90 kwa wasafiri wa kimataifa

    Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama ilivyopangwa. Serikali inapanga kuanzisha ada ya urahisishaji wa abiria kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia...
  7. Upekuzi101

    TANAPA wamezembea makusudi kutengeneza daraja kogatende ili wapitishe agenda ya kuweka tozo kwenye kivuko

    Baada ya sakata la tour guide kuwaruhusu watalii kushuka kwenye magari kutazama kivuko cha nyumbu ni kinyume na taratibu za uhifadhi pamoja na uongozaji wa watalii lakini ucheleweshaji wa kujenga kivuko hicho Ili kiruhusu watalii kuvuka upande wa pili wa mto Ili kuona vizuri uvukaji wa wanyama...
  8. K

    Napendekeza kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitachopita juu ya daraja la Magufuli

    Tumeambiwa kuwa Daraja limegharimu fedha nyingi takriban 716 billioni. Hizi ni fedha nyingi hivyo basi zinatakiwa zirudi polepole. Ninapendekeza kuwa kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitakachopita juu ya daraja la Dkt. Magufuli kama ilivyo daraja la Kigamboni. Nawasilisha.
  9. S

    Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
  10. A

    DOKEZO Wafanyabiashara wa Mkata - Handeni hatupingi kulipa kodi, tunapinga kunyanyaswa, kudhalilishwa na kukamuliwa kwa namna isiyo ya haki

    MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU – MKATA, WILAYA YA HANDENI Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii: Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio cha Wananchi wa Mkata, Wilaya ya Handeni, kufuatia tukio la tarehe 28 Mei 2025 ambapo Wafanyabiashara...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Rais wa Zimbabwe ameidhinisha sheria tata ya ulazima wa tozo ya redio kwa madereva wa magari

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ameidhinisha sheria mpya inayowalazimisha madereva wa magari kulipa tozo ya redio kabla ya kuweza kusajili au kupewa bima ya magari yao – hatua ambayo baadhi ya watu wameielezea kuwa kandamizi. Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Utangazaji ya nchi hiyo ya...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani: Ondoeni Tozo ya Mionzi kwa Wanunuzi wa Tumbaku

    MBUNGE CHEREHANI: ONDOENI TOZO YA MIONZI KWA WANUNUZI WA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Kilimo kuondoa tozo ya mionzi kwa nunuzi wa zao la Tumbaku, kwani inawaumiza sana wanunuzi ambayo inasababisha wakulima kupunguziwa bei ya kuuza zao hilo. Pia...
  13. JanguKamaJangu

    KERO Stendi ya Daladala Makumbusho ipo kwenye hali mbaya, inazidi kuchoka, Ushuru unatozwa lakini hakuna ukarabati

    Stendi ya makumbusho ni kati ya Stendi ambazo zimekuwa zikipokea daladala nyingi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, lakini stendi hiyo imekuwa ikipoteza hata ubora mdogo iliyokuwanao awali, ambapo kwa sasa imechakaa na imekuwa kero kwetu madeleva wa daladala. Licha ya daladala...
  14. K

    NINAISHAURI SERIKALI KWAMBA DARAJA LA KIGONGO -BUSISI LITAKAPOANZA KUTUMIKA KUWEPO NA TOZO

    Tumetangaziwa kuwa siyo muda mrefu Daraja JPM (Kigongo - Busisi) karibuni litafunguliwa na Mhe. RaIs wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Daraja hili limejengwa kwa gharama kubwa takriban Tshs.680bn. Watumiaji wa vivuko kwa hivi sasa wanalipa (1) Mtu mmoja Tshs.400 (1) Pikipiki Tshs.1,000 (3)...
  15. Dennis Robert Shughuru

    Tozo ni kilio cha wengi; zifuatazo ni njia ambayo ntatumia kuondoa au kupunguza kabisa tozo kwenye miamala ya bank na simu

    Msisitizo utakuwa kwenye kupunguza informal sector
  16. Inside10

    CAG: Tsh 1.14 Trilioni Zilizokusanywa Na TRA hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa. Kwa mujibu wa ripoti hiyo...
  17. E

    Je mtu akifa, tozo za kodi endelevu kama za ardhi, zinasimama ?

    Mwenye mali akifa, kodi za ardhi zinaendelea kuhesabiwa ? Nani anadaiwa ? Shauri la Mirathi limeisha baada ya miaka 7, Daudi umepewa nyumba ya marehemu babaako. Kupata nyaraka za umiliki mpya unaambiwa nyumba ina deni la kodi ya ardhi miaka 7. Nani alipe ? Kwanini ?
  18. Dr PL

    Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

    Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa. Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk. https://www.mawasiliano.go.tz/news/rais-samia-aridhia-kuondolewa-tozo-za-miamala-ya-simu...
  19. GENTAMYCINE

    Yawezekana hizi Tozo Umiza za Kuwaona hawa Manabii Matapeli waliopo Tanzania ndizo zinawafanya Watu waendelee kwenda na kuwaamini Waganga wa Kienyeji

    Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako ulilonalo Kwanza utoe Shilingi Laki Tano au Milioni Mbili. Kwanini GENTAMYCINE nisiendelee kwenda kwa...
Back
Top Bottom