toyota

  1. D

    Nahitaji Toyota Voltz

    Mwenye nayo tuwasiliane iwe na sifa zifuatazo: 1. Engine 1ZZ 2. 2WD 3. Isiwe imerudiwa rangi Offer 10m Tuma pic 0715140001
  2. B

    Naomba nijue ubora na udhaifu kati Toyota Kluger na Harrier new model

    Wakuu habari za leo, Nina mpango wa kuagiza gari Japan, ninafikiria zaidi Harrier New model au Toyota Kluger za mwaka 2004-2006, nahitaji kujua ubora na udhaifu kati ya hayo magari mawili, na ushauri wa lipi niweze kuagiza. Pia anaejua kuhusu calculation za mapato TRA na kulitoa gari...
  3. Ukiacha body Toyota Noah nini kingine shida?

    Hizi Toyota Noah za namna hii watu wamekuwa wakilalamika sana kuhusu body yake kuwa si imara. Actually hii ni gari ya mizunguko ya town si ya kwendea shamba. Ukiacha malalamiko ya kuwa Body yake ni nyanya nini kingine tatizo kwa gari hii? Kuna ndugu yangu anataka inunua kama gari ya family...
  4. Car4Sale Toyota Land Cruiser inauzwa

    Diesel Auto Ipo katika hali nzuri, inatembea. Ipo Dar es Salaam. Bei 17mil. Mawasiliano 0784225000.
  5. L

    Car4Sale Toyota Harrier Lexus

    PRICE: 8,000,000 (maongezi yapo) Model: Toyota HARRIER Lexus Registration Number: A.... Colour:Silver Engine: Petrol 2994cc VTI Year 1999 Seat Capacity 5 Music redio Full AC Full documents (File) Clean Seats Trans Automatic Imported from Japan Kama upo serious , Whatsapp number 0764111116
  6. Car4Sale Toyota Rav4 old model

    1995 model 3s petrol engine Automatic Gear Transmission Full option PRICE IS 19.5 MILLION TSHS PLUS REGISTRATION Call/Whatsapp 0784225000
  7. Car4Sale Toyota IST 2004 Model for sale

    1490cc engine capacity Metallic black color TRD sports version Clean piece PRICE IS 13.8 MILLION TSHS PLUS REGISTRATION CALL/WHATSAPP 0784225000
  8. Ijue Toyota Coaster new model Fourth Generation

    The fourth Generation Toyota Coaster ilitambulishwa rasmi mnamo tarehe 22 December 2016 na kuwekwa sikoni Japan kwa ajili ta mauzo tarehe 23 January 2017. Gari hii inapatikana ikiwa na aina za injini zilezile za matoleo ya machaguo ya model zilizopita ambazo ni 3B,13B,14B,15B-T,1HZ,1HZ-T na...
  9. Suzuki Jimny 1.3L 2013 Vs Toyota IST 2007

    Habari za muda wakuu, Naomba ushauri juu ya haya magari mawili. Lipi ninunue 1. SUZUKI JIMNY 2013 1.3L, manual transmission. Hii gari ilinunuliwa mpya 0 km, hivyo usajili wake ni no. C. Ilikuwa ni ya shirika moja la kimataifa wao huuza gari likifika miaka 7 au km 70,000 mileage. Hivyo nina...
  10. Toyota Noah Old Model, 4doors, ipi ni nzuri kwa kupiga ruti za mikoani to Dar

    wanajamvi nataka ninunue toyota noah old model, milango minne, ili niwe nabeba abiria mbeya to Dar, sasa nasikie kuna aina nyingi za toyota noah. Mfano, field tour, town ace, super lymo extra nk, Sr40, Sr 50, Ipi ni nzuri kwa uimara, kusevu mafuta, uvumilivu kwenye ruti ndefu. Nawasilisha.
  11. Car4Sale Toyota Landcruiser HZj 78 series for sale

    Recently registered number DT Pick up single cabin African specs from Toyota Tanzania special for Africa 2010 model year 1hz diesel power with black top 16-valve New four tires by GT-RADIAL mounted with original cruiser rims Wide screen dashboard The car is clean with a very immaculate condition...
  12. User manual (mwongozo wa mtumiaji) ya gari aina ya toyota probox

    Wakuu, Naomba Mdau yoyote mwenye User Manual (Mwongozo wa Mtumiaji) gari ya aina ya Toyota Probox anisaidie. Nahitaji soft copy ya mwongozo huo. Waweza attach hapa. Asante
  13. Car4Sale Toyota vanguard for sale 32mil

    Recently regisered no.DUJ Black mettalic color 2008 model 5-seater passenger 2.4cc engine capacity 2AZ-FE VVTI Engine 4-cylinder 16-valve Automatic Gear Transmission •Low mileage 72,855km All four new tyres with original rim sports Clean and neat car The car has all necessary documents...
  14. VIDEO: Vita Kali ya Off-road, Toyota Land Cruiser vs European Vehicles

    Kuna vuta naona inaendelea kwenye forums mbalimbali kati ya wapenzi wa Toyota Land Cruiser dhidi ya wapenzi wa magari ya kimagharibi. Hapa nitaweka videos chache tu, wakishindanisha nguvu, uwezo wa kupita kwenye mazingira mabaya na kadhalika.
  15. Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

    Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy. Gari ambayo naweza enda...
  16. Majibu kwa Mdau aliyeuliza tofauti ya Toyota Harrier na Rav 4 Old Models

    Tofauti ya Harrier na Rav 4 Old Model 1. Uundwaji na Moboresho Harrier iliundwa baadae miaka ya 1998 ikadumu mpaka 2002 wakati Rav 4 iliundwa miaka ya 1995 ikadumu mpaka 1999. Hivyo Harrier ilifanyiwa maboresho kwenye upande wa luxury haswa kwenye viti kua na mfumo wa umeme na uchaguzi wa...
  17. Car4Sale Gari: Toyota Cresta for only 3.8million

    Toyota Cresta Automatic Gear Full Ac Full paid Full documents Cc 1980 Yom 1999 Engine Ni 1g Kavu Big music inside All Tyres are NEW Price Ml 3,800,000/ Note Gari Ni YANGU na Bei haipungui maana haina tatizo lolote inaonekana Muda wote Kimara Mwisho 0744033555
  18. M

    Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

    Inakuwaje wanajamvi! Kama mjuavyo Toyota land cruiser 200 series (viieite) wamesitisha utengenezaji kabisa. Sasa hivi utengenezaji utakuwa wa 300 series na picha zimeshaanza kuvuja itakavyokuwa. Sijapendezwa na Hizi picha kwasababu body itapunguzwa upande wa juu utashuka kidogo. Ila engine...
  19. K

    Hizi gari Toyota Prado ex naomba kujua kwa undani

    Mafuta KATI ya diesel na petrol ipi nzuri, Pia vipuri vyake, comfortability yake nk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…