toyota

  1. Car4Sale Toyota Chaser kwa milioni 3 tu

    Tunamalizia ushindi wa Simba na sherehe za 8-8 kwa kukuletea chuma kali kwa bei mtelezo Toyota Chesa hyoo ipo posta DAR full Ac Tair Safi bei imepoa mil 3 top njoo chap 0713-096-076 Wahi chap tuache comments zisizo na mashiko.
  2. Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Wish

    Wadau naombeni ushauri wenu, Nataka kununua toyota rush,kwa matumizi binafsi na kwenda kazini. Vipi kuhusu durability,spea,ulaji mafuta, mwendo barabarani, matatizo yake nk.
  3. 2023 Toyota Crown

  4. Asante sana Toyota Cars

    Nimetoka sehemu na gari yangu, kufika home nacheki tairi ya nyuma kushoto, dah yote imelowa oil Kumwita fundi anasema ni oil ya diff, seal ya ekseli imekufa. Nikicheki mfukoni, mambo yako ovyo vibaya sana, fundi akatoa oil seal, kwenda dukani wananiambia sh 5000/(elfu tano), nilijua labda...
  5. E

    TBS chunguzeni ubora wa hili gari unatia shaka

  6. A

    OBD kwa old car like Premio 2004 or IST

    Ningependa kujua hii device hapa TZ naweza pata wapi? Asante.
  7. N

    Car4Sale Toyota Noah inauzwa

    Toyota Noah Namba T.169 DGH inauzwa. Ipo Dar es Salaam Ni 4 Wheel Drive Ya Mwaka 1996 Imetembea KM 276,907 Bei Tsh.9,100,000 Mhitaji anakaribishwa namba 0765451014 Asanteni
  8. K

    Car4Sale Agiza au nunua gari kutoka kwetu

    Ondoka na hii Toyota Rumion 2007 ✅CC 1490 ✅2WD ✅Black Mettalic ✅ Automatic ✅Utumiaji wa Mafuta 16.2km/l ✅Bima bure(Third party) ✅BEI:17M Pamoja na usajili LIPA 5M Gari ikifika malizia ama lipa nusu gharama nyingine lipa kidokidogo kwa mwaka mzima(mkopo) Ipo #MillesMotors Sinza Mori...
  9. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  10. Toyota Probox hii ina shida gani?

    Wakuu, Toyota Probox hii ina kama mwaka mmoja toka niingize nchini toka Japan. Imekuwa ikifanya vizuri toka nimeinunua ila hivi karibuni, ilianza kupunguza nguvu, haiendi zaidi ya 80KM/HR barabarani na kwenye mlima haizidi 40km/hr. Mlio wa gari pia umebadilika sana na inakula sana mafuta sasa...
  11. T

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO. TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU. ●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi ●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu ●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
  12. Toyota kusitisha uzalishaji wa magari kutokana na marufuku ya kutoka nje mjini Shanghai

    Kampuni ya uzalishaji wa magari ya Toyota imesema itasitisha shughuli za uzalishaji katika viwanda vyake nchini Japan mwezi huu kutokana na marufuku ya kutoka nje kwa #Covid mjini Shanghai. Hii ni kampuni kubwa ya pili ya magari kutangaza kuwa inaathiriwa na marufuku ya kutoka nje ya Covid-19...
  13. G

    Toyota Mark II 4 cylinder kwa 2.5m inafaa?

    Naomba wataalamu mnisaidie mada tajwa hapo juu nimekutana na markII namba A jamaa anataka 2.5M is he correct? Vip vipul na ulaji wa mafuta mim ni mgen kwenye magar
  14. R

    Nissan Dualis na Toyota Alex

    Wanajamvi nawapongeza kwa maoni yenu mazuri juu ya masuala mbali mbali. Nahitaji kununua gari. Naomba kufahamu kati ya Nisan Dualis na Toyota allex ipi ya kuchukua apa na kwasababu zipi.
  15. Mwenye Toyota Allion nzuri au Premio pitia hapa

    Natafuta gari tajwa hapo juu mwenye nayo isiwe ya udalali. Nahitaji gari safi ilionyooka bila vipengele offer yangu 9M. Nicheki DM fasta angalizo gari iwe number D yeyote ile ila gari iwe imetunzwa vizuri. Kama gari yako imepasuka vitasa au dashboard na body iliobondeka bondeka kausha. Hii ni...
  16. R

    Kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari nzuri?

    Wanajamvi Salaam. Nahitaji kununua gari kwa mara ya kwanza, naomba kufahamu kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari bora na kwasababu zipi. Natanguliza shukrani za dhati kwa majibu yenu mazuri.
  17. Aliingia na "shangingi" Toyota Landcruiser akarudi na Bodaboda "toyo"! nyumbani!

    Meya wa manispaa ya Moshi Juma Raibu aliingia ofisi na Toyota Landcruiser ila baada ya wajumbe 18 kumkataaa huku 10 wakitaka aendelee na kazi idadi kubwa ikashinda kutokana na tuhuma kadhaa zinazomkabili ilibidi akubali kuvuliwa wadhifa wake na kurudi nyumbani na "toyo" a.k.a bodaboda huku...
  18. Tatizo la engine kumisi ukikanyaga accelerator kwenye baadhi ya gari za Toyota

    Hii kitu nimekutana nayo sana kwenye familia tatu za engine za toyota NZ engines[1NZ-FE, 2NZ-FE] AZ engines[1AZ, 2AZ] na ZZ engines [1ZZ sanasana] Sitotaja gari zinazotumia hizo engine sababu hata nikianza kuzitaja ni nyingi sitamaliza, lakini huenda zaidi ya 50% ya gari ndogo ambazo watu...
  19. Nataka kubadili Tairi kwenye gari la Toyota IST Size 195/60R16 kwenda size kubwa inayofaa

    Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari. Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana. Ni size gani itafaa? Sitaki tairi za Kichina.
  20. Car4Sale Toyota premio milioni 9 tu

    Toyota premio Year 2003 Cc1490 Gari safi njoo ukague Ipo arusha Mil9 tu ☎️ 0718909429 more photo and details
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…