Nkuruvi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 563
- 536
Wakuu,
Toyota Probox hii ina kama mwaka mmoja toka niingize nchini toka Japan. Imekuwa ikifanya vizuri toka nimeinunua ila hivi karibuni, ilianza kupunguza nguvu, haiendi zaidi ya 80KM/HR barabarani na kwenye mlima haizidi 40km/hr.
Mlio wa gari pia umebadilika sana na inakula sana mafuta sasa hivi. Gari yenyewe ni 4WD. Shida itakuwa ni nini wakuu?