toyota

  1. Toyota imetajwa kuwa gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani ikifuatiwa na BMW, Benz ni gari isiyoaminika kabisa

    American consumer reports inasema Toyota ni gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani zikifuatiwa na BMW. Mazda, Honda na Audi. Magari ya Kimarekani kama Ford, Tesla nk ni magari yasiyoaminika kabisa nchini Marekani.
  2. A

    Rav4 Massawe, vipi vya kuzingatia kuinunua mkononi?

    Habari zenu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada naomba maelezo kuhusu kununua gari hiyo pichani yaani rav4 1995-2000 mkononi (used)uliyotumika hapa Tanzania ni vitu vipi vya kuzingatia, Budget ni mil 7
  3. Inahitajika Toyota RunX

    Wakuu kherii! Inahitajika gari tajwa hapo juu. Iwepo dar. Iwe rangi nyeusi. Tukikubaliana bei nakuja na fundi kukagua gari fast tunafanya biashara. Nicheck 0747282028
  4. E

    Car4Sale Toyota hiace inauzwa

    Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana ndugu mteja. Mawasiliano 0718982463.
  5. Naomba kufahamu kuhusu Toyota Altezza

    Habari wakuu, Nimekuwa nikipitia nyuzi nyingi kuhusu magari tofauti lakini sijabahatika kukutana na uzi ukijadili Toyota Altezza na Subaru Legacy ni gari ambazo natamani kununua. Naomba kufahamishwa pros and cons zake, binafsi sina uzoefu au ujuzi wa magari, hivyo nategemea kupata maoni yenu...
  6. N

    Msaada kwa wanayoijua Toyota Urban Cruiser

    Naomba mwenye kuijua hii gari , Nimetokea kuipenda saana, Spea,mwendo,Mafuta nk
  7. Toyota Corolla Rumion 2022 New Model

    Mzigo mpyaa
  8. Toyota yasema taarifa binafsi za wateja wake 296,000 zimedukuliwa

    Kampuni hiyo ya kuunda Magari imesema taarifa zilizovuja ni pamoja barua pepe 296,019, namba za wateja wanaotumia mfumo wa T-Connect na namba za simu zinazounganisha magari kupitia mtandao. Wateja walioathiriwa na kuvuja kwa taarifa hizo ni kutoka duniani kote na hasa waliojiandikisha kwenye...
  9. Car4Sale Toyota Land Cruiser Hardtop 160,000,000/= (With full registration)

    TOYOTA LANDCRUISER HARDTOP Model: 2022 Stock No: 0083 Engine Capacity: 4164CC Mileage: 0KM(ZERO KILOMETRE) PRICE: 160,000,000/= (With full registration) Call/WhatsApp 0747744895 Welcome
  10. R

    Nahitaji gari la kukodi aina ya Toyota fortune new model, Toyota everest new model, Toyota Prado new model

    Tarehe 13 October 2022 nitakuwa na send off ya bint yangu. Mwenye gari la kukodisha aina hizo hapo juu na liwe rangi nyeusi tuwasiliane. Root itakuwa kutoa ukumbini (Baracuda Hall) Tabata Baracuda saa za asubuhi kwa ajili ya kupambwa gari. Baadae jioni litamfuta Kimara Korogwe (salon) na...
  11. P

    Nahitaji Toyota Succeed

    Salama wadau? Nahitaji Toyota succeed no D isiyo na tatizo. Iwe hapa Dar. Dau langu mi 7.5 kamil, sina zaidi. Tuwasiliane 0624 210 241
  12. Nimepata shida ya haraka naitoa Toyota Cluger : DFU kwa Tsh. Milioni 18 tu

    Nimepata shida ya haraka, Naitoa #Toyota Kluger FU kwa Tsh. Milioni 18 tu #Eng ; vvti 2az #Eng ; capacity 2360 #KL. ; 89600 ☎️0747744895 Karibuni
  13. Toyota yaihama Urusi rasmi, kisa vikwazo vilivyowekewa nchi hiyo

    Kama ambavyo imekua desturi sasa, Toyota ni mojawapo wa makampuni ambayo yamehama Urusi rasmi, nchi inaendelea kutumbukia kwenye shimo kiuchumi, huku Putin akikusanya wanywa gongo wakapambane pale wanajeshi rasmi wameshindwa..... Amid Russia's ongoing war with Ukraine, Toyota announced it will...
  14. Toyota Ipsum

    Wasalaam wakuu,moja kwa moja kwenye mada. Mimi Napenda Sana hili gari Aina ya Toyota ipsum old model,yaani hii gari ipo moyoni sio siri. Naomba kujua bei yake kutoka Japan mpaka Dar au kama nikitaka kununua kwa mtu,inachezea bei gani?Ila iwe nzima plate namba walau iwe DS.
  15. K

    Car4Sale Magari makali

    ONDOKA NA GARI KWA BEI NAFUU SANA KARIBU WHATSAPP KWA MAELEZO ZAIDI 1.TOYOTA SPACIO ENGINE 1zz Engine cc 1970 Full Ac Full Document Bei Mil 8.8 2.RAUM NEW MODEL 2004 REG #DE Low Milleages. Engine 1nz CC 1490 Full Ac Full Document All duties and tax payed Bei Mil 8.8 3.TOYOTA IST 2004 REG #DR...
  16. Kwanini engine za Toyota zenye herufi zinazoishia FE zinadumu sana (roho ya paka)

    Magari ni kama rav 4 old model yenye engine 3S-fe na magari yenye engine za G Kavu pia engine zinaishia na FE, siri ni nini ??
  17. Car4Sale Gari unauzwa Toyota Raumu 8M

    Gari unauzwa , 8M but still negotiatable 0686124826
  18. Nahitaji gari IST (1290Cc) ncp60

    Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rangi bajeti yangu 10.5M. Sitaki iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali.
  19. W

    Car4Sale Toyota Passo inauzwa

    Habari nauza toyota Passo Maelezo : Toyota passo Cc 990 Piston 3 Rangi Pearl New tyres Full ac Iko kwenye hali nzuri kabisa ,Haina changamoto yeyote , Price : 6M MAWASILIANO: 0754200363 Wahi chap
  20. Chimbo la spare OG Tanzania kwa magari Mjapan yasiyo Toyota

    Wakuu nadhani ni Tanzania pekee ukiwa na gari sio Toyota spare zake kupata ni mlolongo kidogo. Nchini Kenya, Uganda au Rwanda gari yoyote una miliki na spare zipo ila Bongo ndo kipengele kingine. Nimeanzisha uzi huu tupeane tarifa ni wapi (maduka yapi) kwa TZ Dar/Mwz/Arusha/Mbeya mtu anaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…