Kwa Tsh. Milioni 5 nifungue Uwakala wa Benki ama ninunue Toyota Probox niipeleke ruti za vijijini?

kayanda01

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,086
913
Wasalaam.

Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.

Nawaza hizo ideas mbili, aidha (a) Kufungua Uwakala wa Bank ama (b) Kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) na kuipeleka route za vijijini.

Location: Ndani ya Mkoa wa Geita.

NB: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo, sijawahi kuzifanya kabla.

Ushauri wenu wazoefu.
 
Wasalaam.

Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.

Nawaza hizo ideas mbili... aidha (a) kufungua uwakala wa bank ama (b) kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) nakuipeleka route za vijijini.

Location: ndani ya mkoa wa Geita.

N.B: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo. Sijawahi kuzifanya kabla.

Ushauri wenu wazoefu.
Kula bia bwege wewe
 
yani probox kwa mil. 5?
Wasikutishe ,mie niliuza yangu kwa 4M na ilikuwa nzima,ishu ilikuwa Ni usimamizi. Niliyemuuzia anapiga mzigo mpaka muda huu.

Kwa ushauri wangu Kama wewe Ni mtu usiyeogopa kupoteza pesa aka risk taker ,nunua probox Ila Kama Ni mwoga weka miamala,ukipata location nzuri na usimamizi mkuu iyo hela unasogea,nadhani huwezi ukakosa like 1M+ kwa mwezi hapo kampuni zote za pesa
 
Wasalaam.

Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.

Nawaza hizo ideas mbili... aidha (a) kufungua uwakala wa bank ama (b) kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) nakuipeleka route za vijijini.

Location: ndani ya mkoa wa Geita.

N.B: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo. Sijawahi kuzifanya kabla.

Ushauri wenu wazoefu.
fungua uwakala wa bank na mitandao ya simu mambo ya magari hayaeleweki unaweza ukashangaa limewaka moto au limepata ajali sikushauri
 
Wasalaam.

Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.

Nawaza hizo ideas mbili... aidha (a) kufungua uwakala wa bank ama (b) kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) nakuipeleka route za vijijini.

Location: ndani ya mkoa wa Geita.

N.B: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo. Sijawahi kuzifanya kabla.

Ushauri wenu wazoefu.
Huu mtaji ni mdogo kwa biashara zote mbili. Uwakala ili ukulipe lazima mtaji uwe mkubwa na mzunguko uwe mkubwa. Mzunguko wa 5m kwenye uwakala unaweza ambulia 150,000 or less kwa mwezi. Commission sio kubwa kwenye miamala.

Upande wa probox kwa 5m utapata iliyochoka sana hivyo hela itakayozalishwa itaishia kwenye matengenezo
 
Wasikutishe ,mie niliuza yangu kwa 4M na ilikuwa nzima,ishu ilikuwa Ni usimamizi. Niliyemuuzia anapiga mzigo mpaka muda huu.

Kwa ushauri wangu Kama wewe Ni mtu usiyeogopa kupoteza pesa aka risk taker ,nunua probox Ila Kama Ni mwoga weka miamala,ukipata location nzuri na usimamizi mkuu iyo hela unasogea,nadhani huwezi ukakosa like 1M+ kwa mwezi hapo kampuni zote za pesa

Katika utafutaji wa pesa, nothing is risk-free. Siyo muoga wa kupoteza ... am risk taker.

Asante kwa insights.
 
Wasalaam.

Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.

Nawaza hizo ideas mbili... aidha (a) kufungua uwakala wa bank ama (b) kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) nakuipeleka route za vijijini.

Location: ndani ya mkoa wa Geita.

N.B: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo. Sijawahi kuzifanya kabla.

Ushauri wenu wazoefu.
Hakuna biashara ya kibwege kama hiyo ya magari. Anzisha biashara ya uwakala.
Na uhakikishe tu huingii kwenye 18 za matapeli/majambazi.

Kwa mtaji huo, ukipata chimbo zuri hata Milioni unaweza kulaza kwa mwezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom