Najaribu kuperuzi wavuti wa BBC Swahili ila siwezi kuufikia, Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio ila baada ya kutumia vpn nimeweza kuufikia.
Swali kwa TCRA: Je mmefungia baada ya repoti ya BBC eye au?
Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
#WaziriMkuuNchemba #PMNchemba
Ili kujilinda dhidi ya utapeli wa ununuzi mtandaoni, zingatia dalili hizi za tahadhari:
1. Bei zisizoeleweka
Ofa zinazoonekana kuwa nzuri kupita kiasi, kama punguzo kubwa sana la bei za bidhaa ghali, ni ishara kubwa ya utapeli.
2. Anuani (URL) za kutia shaka
Kagua kwa makini jina la tovuti...
Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake.
Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine wakajitokeza kusema wikipedia unaweza kuandika hata wewe.
Katika tovuti kubwa ukitafuta habari za...
Tovuti hii imeanzishwa na kijana wa mzee kibao ili kusudi kuweka rekodi ya watu wanaozidi kupotea na kutekwa. Kama kuna mtu unamfahamu na ametekwa wasilisha taarifa zake kwa administrator wa tovuti hii.
Jina la tovuti : Tanzania Memorial | Tunakumbuka Majina Yao
Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za...
Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za...
Haijawahi kutokea katika historia ya mpira wa Africa tovuti kutembelewa na watu wengi kwa wakati mmoja kama jana
Baada ya CAF kutoa tamko la kubadili uwanja ,tovuti yao ilitembelewa na waru zaidi ya bilioni 1.3
Kweli Simba ni brand kubwa
Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu:
Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED!
This website is down due to the client's failure to pay for hosting for the past 5 years.
It will be back online once this is resolved!
Kama ni kweli kwanini Millard Ayo...
Wadau wa Korean Drama kwasasa ni tovuti gani zimebaki ambazo unaweza pakua bure.
Tovuti ambayo inakuwa na high quality.
Nkiri iweke kando Kwanza ina low quality na Drama nyingi hakuna
Ukienda kutazama tovuti za Baadhi ya wilaya nchini Tanzania utakuta taarifa za mwaka 2022, jambo ambalo linakatisha tamaa na kutoa taswira mbaya kwa halimashauru husika inawezekanaje mwaka 2025 unakutana na taarifa za mwaka 2022 hiyo inaonesha kuwa wasimamizi wa hizo tovuti hawatendi haki wala...
Anayedaiwa kumiliki na kuendesha tovuti haramu ya kusambaza filamu maarufu ‘FMovies’ mapema mwezi uliopita alitambulishwa baada ya kukamatwa na Polisi wa Mji wa Hanoi nchini Vietnam kufuatia uchunguzi wa muda mrefu.
Phan Thanh Cong, 34, raia wa Vietnam aliyekamatwa na mshirika wake, Nguyen Tuan...
Habari za wakti huu;
Je Biashara yako inahitaji TOVUTI?
Je Biashara yako inahitaji mfumo wa Utunzaji wa kumbukumbu na uhasibu?
Je Biashara ya inahitaji mfumo wa kutoa risiti za EFD?
Je Biashara inahitaji kitu au huduma yoyote ya kiteknolojia?
Kama Jibu ni Ndio
Wasiliana nasi kwa simu au...
Hiki ni kipindi muhimu sana katika chama chochote cha upinzani hasa tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa 2024.
Lazima chama kionekane kipo active katika kipindi hiki muhimu kwa kwa kuhakikisha taarifa zake za mabadiliko ya kisiasa yapo muda wote kwa wananchi.
Ndani ya tovuti kunakuwa na mawasiliano...
Vidakuzi ni data zinazokusanywa na tovuti unazotembelea na kuhifadhiwa kwenye kivinjari chako, zikijumuisha taarifa kuhusu shughuli zako kama kurasa ulizotembelea na muda uliokaa kwenye tovuti.
Jinsi ya kufuta Vidakuzi 'Cookies' vya Kivinjari Chako
a. Safari (Mac): Nenda Preferences > Privacy...
Introduction: Why Blogging in 2024?
Starting a blog in 2024 offers incredible opportunities for personal expression and financial gain. With advancements in technology and digital marketing, blogging has become more accessible and rewarding. Whether you're aiming to share your passion, build a...
Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknolojia ya kisasa,
Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili,
hakuna noma, bonyeza kitufe hicho , change language, oh Yes!,
Gharama ni ya kawaida tu , sababu nina njaa. Lete...
Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa,
Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili,
hakuna noma, bonyeza kitufe hicho , change language, oh Yes!,
Gharama ni ya kawaida tu , sababu nina njaa...
Yani wasifu ungekuwa unafatiliwa kuhusu tovuti ya bunge unaweza kushika mdomo wazi yani unakuta mtu anaweka ana PHD ambayo ujui kaipata kichochoro gani na mda gani.
mmoja mbunge X kuna chuo kaweka alichosoma ukitafuta sehemu zote unaona ni kiwanda cha kutengeneza dawa za mifugo.
Hii nchi...
Habari,
Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli. Ningependa kupata mawaidha kutoka kwenu ya nifanyeje ili nianze Pata mauzo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.