tour

  1. Beira Boy

    Niko hapa Chicago downtown nafanya tour aisee panatisha

    Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo niko hapa Chicago downtown nafanya tour kwa njia ya you tube aisee ni pazuri sana sijapata kuona uzuri wa namna kama hii katika miji dunian Kuna siku moja nitaibuka huko Chicago nipaone live kabisa siyo kwa njia ya you tube tena One day yes...
  2. Mhaya

    IShowSpeed asitisha Tour yake Nchini Namibia

    Nyota wa YouTube kutoka Marekani, IShowSpeed, amefutia ratiba ya ziara yake nchini Namibia kama sehemu ya safari yake ya “Speed Does Africa”, baada ya mamlaka za anga kushindwa kutoa vibali vinavyohitajika kwa wakati, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Namibia. Ziara iliyopangwa kufanyika...
  3. Mhaya

    Tanzania yatemwa kwenye Tour za IShowSpeed Africa Tour, Rwanda na Kenya zala Shavu

    Darren Jason Watkins Jr. (aliyezaliwa tarehe 21 Januari 2005), anayejulikana pia kwa jina la kisanii IShowSpeed au kwa kifupi Speed, ni YouTuber na mtiririshaji wa maudhui mtandaoni kutoka Marekani. Yeye ni miongoni mwa watiririshaji wa maudhui yya mtandaoni na miongoni mwa watu mashuhuri wa...
  4. Mad Max

    Mchekeshaji Asmah wa Cheka Tu kanunua Mitsubishi Outlander: Kaleta na Outlander Tour!

    Kuna msanii wa kike wa vichekesho wa Cheka Tu, kipaji chake kimemlipa sasa amenunua ndinga, Mitsubishi Outlander 3rd generation ya mwaka 2016 hadi 2017. Inavyoelekea Wasanii wa comedy mambo yao yanaenda vizuri maana naona vijana wanatungua mandinga tu. Kila lakheri kwake. Outlander ni moja...
  5. jerryempire

    Natafuta noah road tour ama field tour

    Habari Natafuta noah road tour ama field tour tu offer ilokuwepo ni 13m isiwe imechezewa rangi niko dar nipe gari unayoijua tufanye biashara 0659756647 CALLS/WHATSAPP
  6. T

    Tour de France 2025

    Wazee,kama kuna mpenzi wa mashindano ya baiskeli, naomba anijuze wapi ya mwaka huu 2025 ni live(king'amuzi gani). Hata Livestream nimetafuta hamna kitu.
  7. chiembe

    Gerson Msigwa, wape waandishi wa habari free tour ya uwanja wa Benjamin Mkapa watembelee kila mahali, usiwabane waone maeneo unayotaka

    Naona kama masuala ya uwanja huu yako restricted kwa free media tour. Nashauri Msigwa awaache waandishi wa habari wapite kila kona ikiwamo vyooni, vyumba vya kubadilishia nguo, VIP, waangalie viti, namba za viti, quiality, ticketing system na kila kitu wakiwa huru na wataalamu wa uwanja tu...
  8. Prof_Adventure_guide

    Tour Guide wa Kisasa: Maarifa Yako Ndiyo Silaha Yako"

    Kazi ya kuwa tour guide si tu kuonyesha maeneo – ni kuwa na uwezo wa kusimulia, kuelezea kwa usahihi na kuvutia, hadi mgeni ajione sehemu hiyo kwa moyo, si macho tu. Maarifa ya historia, utamaduni, na maisha ya watu ndio yanakufanya utofautiane na wengine. Unapozungumza kwa ufasaha, kwa lugha...
  9. Prof_Adventure_guide

    Tour Guide Feki, Leseni Feki – Mfumo Mnaulinda Weh, Lakini Sisi Tutaumbua Mpaka Mwisho

    Jamani hebu tuwe real kidogo... tusiwe wanafiki walahi! Hii sekta ya utalii na utamaduni imeingiliwa na watu wa ajabu ajabu, yaani watu wa mtaani wanavua magwanda ya boda boda, kesho unamkuta anakwambia “Hey I’m your professional guide, welcome to Tanzania” – kumbe jamaa hata hajui tofauti ya...
  10. Prof_Adventure_guide

    Wale Ma-Tour Guide na Tour Operators: Huu Ndio Uzi wa Kupiga Pesa Kiroho Safi kwa Digital Marketing, Wageni Waje Wenyewe

    familia, ma-savage wote wa hii game ya utalii — kama uko field kama tour guide, operator, dereva wa safari, au hata uko chuo unasomea tourism — hii ndo time yako ya kuamka kichwa baridi. Sahau story za kusubiri ajira serikalini au NGO, hizo ndo zile za watu wanaishi kwa matarajio na kuamka kila...
  11. T

    Ombi kwa Rais na Wizara ya Utamaduni – Royal Tour sehemu ya pili

    OMBI KWA RAIS NA WIZARA YA UTAMADUNI – ROYAL TOUR SEHEMU YA PILI Napenda kutoa wazo la dhati kwa Mheshimiwa Rais na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu kuanzishwa kwa Royal Tour Sehemu ya Pili, ambayo itakuwa ni sehemu muhimu katika kuonesha historia ya viongozi wetu wa jadi – Watemi...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 DJ wa Diamond, RJ the DJ atangaza "Mama Tour" kuzunguka zaidi ya mikoa 10 kumuunga mkono Rais Samia

    Wakuu DJ maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, RJ The DJ, ametangaza ziara yake ya muziki inayojulikana kama "RJ The DJ Mama Tour", ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kaulimbiu ya "Naungana na Mama, Mitano Tena." Ziara hiyo itapita katika mikoa...
  13. Dennis Robert Shughuru

    Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  14. Technophilic Pool

    Natafuta rafiki Anaependa Tour Tuwe tunasafiri kila mwaka kwenda nchi mbali mbali!

    Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company . Au mtu mwenye hoby kama yangu. So naishia kugairi kila mara Imagine sijafika hata BURUNDI tu. Kusafiri mwenyewe naona ni Risk sana hasa nchi za ugenini. Tuanze na nchi za Africa kwanza Mawazo tafadhari
  15. Stuxnet

    The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

    Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:- Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
  16. Prof_Adventure_guide

    I will describe the spotted leopard based on my 12 years of experience as a tour guide with a fearsome experience.

    The spotted leopard, scientifically known as Panthera pardus, is a highly adaptable and elusive big cat native to various parts of Africa and Asia. In the Serengeti National Park, these remarkable creatures exhibit several distinct characteristics: ### Characteristics: 1. Appearance: Spotted...
  17. ELI COHEN

    Unakuta tu amefika mji fulani kikazi anaanza kusema "duh huu mji una guest houses nyingi". Sasa unajiuliza jamaa akaenda kufanya sex tour ama nini😂

    Wewe umejuaje ni nyingi,😂😂😂 Shauri yako na wakati huu mtakondeana kama mshumaa kwa maana USAID wamed*nda hawatoi mavidonge ya bure
  18. Ndagullachrles

    Local Tour Oparetors Complains on KPAP

    Local tour operators’ complains: Tour operators in Kilimanjaro region, have asked the relevant authorities in the government to conduct an investigation and make an official statement on the claims of the existence of an institution that is running the campaign to defame the local tour...
  19. BLACK MOVEMENT

    Kule Paris Ufaransa ndiko Utalii unako Tangazwa haswa, kuliko ile Royal tour, Serikali iko busy na Yanga na Simba

    Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa. Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya...
  20. V

    Taylor swift's Euros tour concert

    Huyu binti ni balaa Ana mwezi mmoja yupo anaizunguka ulaya anakusanya paund Kwa miaka ya karibuni sijapata kuona msanii wa kike mwenye influence km huyu Anapendwa sana kwa nchi zilizoendelea ila naona kwa waafrica hajapenya labda south Africa tu ndio anaheshimika Uwanja wa bernabu wa real...
Back
Top Bottom