Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu.
Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia.
Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
Asili ya TISS ( Usalama wa Taifa) pamoja na mambo mengine ni CCM. Wanaosema TISS asili yake ni Special Branch ya zama kabla ya CCM kuundwa wanaupotosha ukweli.
Baada ya kuundwa kwa CCM, vyombo vyote vya dola viliwekwa chini ya hatamu za CCM. Kwa ivo ilikuwa huwezi kuajiriwa kwenye vyombo vya...
Yani Usalama wa taifa wa Venezuela bure kabisa siyo wazalendo. Wamehusika asilimia kubwa Maduro kukamatwa.
Yani badala ya kumlinda mkuu wa nchi wameacha maadui waende hadi chumbani kwake tena wakiwasindikiza.
Bure kabisa.
Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3;
1. Kiuchumi
2. Kijamii
3. Kisiasa
Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana...
Internet haisahau.
Miaka 12 iliyopita katika kesi ya Lwakatare, aliyekuwa mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwatuhumu mpiga picha wa Rais Kikwete wa wakati huo, Issa Michuzi, Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Waziri Mkuu wa sasa, Mwigulu Nchemba na bwana Joseph...
Yale mambo sijui nyerere aliweza kufanya kwa kificho kuweka usalama wa taifa anaotaka kwa sasa yamepitwa na wakati ndio matekeo ya leo yani hata magaidi yalivyoingia mkuranga wao walikuwa wapo wapo tu.
Kinacho waogopesha ni nini hii idara ikawa wazi kila mwenye taalamu anaweza kujiunga na nyie...
Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10.
Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili.
Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli.
Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
Kama familia inataka autopsy ni haki yao, kama vipi serikali hii haramu isigharamie mazishi ijitoe!
Alafu hawa TISS wa Mombo na Abdul ni wajinga sana - yaani mnapeleka watu wenu hadi vikao vya familia na wanawashtukieni haraka 🙄 mambo ya kizamani haya!.
Mi niliwaambia hiki kifo cha Jenista siyo...
LENGO hapa ni wote tuone Kwa namna gani Safari za Elimu zinaathiri utendaji kazi wa vyombo hivi, na hii itatupa Mwanga kwenye Katiba Mpya, Watu wa aina gani waongoze Vyombo vyetu vya Usalama.
Mimi dakika ninaamini, Ujinga wa MTU yaan Uwezo wake Mdogo wa Akili huenda sambamba na Roho Mbaya na...
Mnaweza mkadhani mna TISS Taasisi ya kujivunia
Sasa Idara kama TISS ambayo ni Jicho la Nchi, imejaa Machawa,
Wenyewe, Utendaji kazi wao UNATEGEMEA NGUVU TU .
Yaan ni mpaka wamkamate MTU A, wampe Kichapo mpaka awaambie MTU B Yuko wapi.
Mnaóna ya OKTOBA 29, Tuliwakamata BILA wao kutarajia...
Toeni vitisho sanaaa
Toeni matangazo
Tumieni Propagandaaa
Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa.
Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi
Kagueni vitambulisho
Tangazeni hali ya Hatari
Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
Mimi naomba tu nchi wafadhali na mashirika ya fedha duniani, waungane wasitishe mikopo na misaada kwa asilimia 100 kama ambavyo umoja wa ulaya teyari umeonyesha mfano.
Uchumi uvurugike, tushindwe kununua hata kilo ya unga na hata mishahara iiwe shida kulipa, halafu tuone kama hivi vyombo vya...
Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa.
Jambo la pili...
Tunawakaribisha sanaaa kwenye MAANDAMANO ya Tuliouliwa Ndugu zetu, karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya sisi tunaowatafuta Maiti zetu, Karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya Sisi ambao Maiti zetu zimechomwa na kuyeyushwaaaa hata zisionekane.
Karibuni Sanaa sanaaaaa .
Na sisi Maandalizi yetu...
Wananchi kwa pamoja tunatakiwa kuungana kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama wala dini zetu kama kweli tumeumizwa na vifo vya wapendwa wetu basi vyombo vya dola baadhi ya Taasisi mihimili vinaitaji kukombolewa...
Kwa yanayoendelea Mkuu wa hii Taasisi kuhusishwa na tuhuma nzito za rushwa na ufisadi, pamoja na wafanyakazi wengine kadhaa.
Kwa yanayoendelea hadi siri za nchi zinafika kwa majirani zetu kuhusu maofisa wa hii Taasisi wanavyotumiwa na Wanasiasa kufanya mambo ya hovyo ikiwemo kununua programs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.