timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi kwa kuuza bidhaa zenye nembo ya timu

    Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi ndani ya msimu mmoja.
  2. JamiiForums Tanzania Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

    Na @abubakarkisandu Zanzibar. Jana katika Michezo ya mwisho ya kuitafuta timu moja itakayopanda Daraja la Kwanza Kanda Unguja kutoka Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Mchezo nambari 113 ulichezwa katika Uwanja wa Mau B timu ya Umoja wa Mbuzini ilishinda jumla ya mabao 50-0 dhidi ya New...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

    Tozo ya miamala imepiga mpaka kumbukumbu zimeruka
  4. JamiiForums Tanzania Timu ya Riadha ya Tanzania yafuzu kupeperusha bendera Olimpiki

    Watanzania Felix Simbu, Failuna Matanga na Gabriel Geay, wamefanikiwa kufuzu viwango vya Olimpiki na wanatarajia kuondoka nchini Julai 27, 2021 kuelekea Japan kwa ajili ya mashindano hayo yatakayofanyika mwezi Agosti Timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania imekabidhiwa bendera ya Taifa, tayari kwa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni timu gani Kenya yenye udhamini mnono zaid wa fedha? Je, ni giant Gor Mahia au wababe AFC leopard?

    Habari zenu wakubwa, Kwasasa soka la Africa mashariki linainuka kwa kasi sana angalau sasa wadhamin wanaweka pesa ya maana. Mfano kwa hapa Tz giant Yanga kaingia mkataba mnono na kampuni ya Azam media kwa engagement ya kurusha shughuli za yanga like mazoezi Mahojiano ya wachezaji wa Yanga...
  6. M

    JamiiForums Tanzania England vs Darnmark: Kawaida ya Euro 2020, timu bora lazima iage mashindano leo!

    Kuna mapinduzi makubwa kwenye soka la kileo kama ilivyodhihirika kwenye mashindano ya Euro 2020 mwaka huu. Timu bora si lazima ishinde na mara nyingi timu bora imekuwa ikizidiwa mbinu na kutupwa nje ya mashindano. Jana timu bora sana ya Spain ilizidiwa mbinu na Italia na kutupwa nje!! Hali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Yanga na Simba acheni kuvaa fulana za timu zetu wiki nzima

    Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Unaweza kuiua timu yako kwa kuwa unaamini uwezo wa timu pinzani?

    Mechi kali kama ya leo ya Simba na Yanga huwa na vimbwanga vingi kila shabiki akizungumzia umaridadi wa timu yake. Mbali na hilo, kuna suala la hela. Je, unaweza kuiua timu yako kwa kuwa anaamini uwezo wa timu nyingine? Kama unaweza, kwa nini usihamie timu hiyo ambayo unaamini uwezo wake?
  9. JamiiForums Tanzania Usajili timu za bongo ni pata potea. Hakuna mfumo maalumu unaotumika

    Viongozi wa soka wa timu za ligi kuu hapa bongo hasa hizi kubwa wanapaswa kubadilika...maswala ya sajili za kubahatisha yamepitwa na wakati...Kama kweli tunataka kupiga hatua inabidi tubadilike kwenye hii angle. Ni bongo pekee ambapo usajili wa mchezaji hauzingatii CV yake bali upepo alioamka...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Simba ikiongozwa na Gomes imeshafungwa na timu yoyote ya Tanzania?

    Nafahamu ya kwamba Simba ikiongozwa na Gomes imepoteza mechi 2 za kimataifa ugenini, Al Ahly (Misri) na Kaizer Chiefs (Afrika ya Kusini) lakini sina uhakika kwa mashindano ya nyumbani kama imewahi kupoteza mchezo wowote, mwenye taarifa zaidi anijuze.
  11. JamiiForums Tanzania Msipopeleka Timu tarehe 3 Simba SC inapewa 'points' 3 na kuwa Bingwa na mkipeleka Timu 'mnakufa' 5 kwa 0 Kazi Kwenu

    Hayati Rais Mstaafu 'Genius' Benjamin William Mkapa aliwahi kusema kuwa Siku zote Kupanga ni Kuchagua. Mna Maamuzi mawili tu ya ama msipeleke Timu katika 'Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ili Kanuni zifuatwe na Simba SC apewe alama (points) 3 na Goli 3 atangazwe 'Bingwa' rasmi. Au muamue kupeleka...
  12. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

    Habari wanabodi, Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka. Kwa sasa naona...
  13. JamiiForums Tanzania TFF isione noma kusema Simba SC tumezibabea timu 3 kushiriki CA

    TFF inasema timu zimeongezeka baada ya "Tanzania" kukusanya alama nyingi. Ni sawa, ila kwani kuna ubaya gani mkisema baada ya Simba Sc Lunyasi timu tishio Afrika na mabingwa watarajiwa wa CAF,kukusanya alama nyingi. Naiagiza Serikali itoe tamko kuipongeza Simba Sc
  14. JamiiForums Tanzania Yanga 3- Ruvu Shooting 2: Ni Kweli Golikipa Metacha B.Mnata anahisiwa kuwa mzembe ama kutumika "kuiuza" timu?

    Kongole kwa wachezaji wetu, Mechi hii imetuonesha KUIMARIKA kwa kikosi chetu kila muda unavyozidi kwenda. Baada ya mpira kuisha ,ilionekana baadhi yetu mashabiki wa kilabu chetu pendwa tukimzomea KIPA wetu Metacha B.Mnata kutokana na kukasirishwa na magoli aliyofungwa. Je Metacha Mnata...
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC msipokuwa makini na hii 'Mind Game' ya Yanga SC kuwa hawatoleta Timu 03 Julai, 2021 tunaenda kuumbuka kwa kufungwa nao

    Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wanachama mpaka Mashabiki wa Simba SC kuwa tuweni makini mno na hii Mbinu ya Nje ya Kisaikolojia ya Mchezo (Mind Game) inayofanywa na Yanga SC hasa kuelekea Mechi yetu nao tarehe 3 July, 2021 kwani tukienda nayo na tukaiamini na Kuwaamini Yanga SC naona Simba SC...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars vs Malawi: Mdau wa Soka una maoni gani kwa timu yetu?

    Maingizo mapya, Poulsen anatuonyesha Vijana wanaweza kufanya mambo mazuri. Wewe kama mdau una maoni gani?
  17. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Timu bora Yanga haipati matokeo kwenye viwanja vibovu

    Viwanja vyetu vingi vya michezo hapa Nchini ni vibovu sana labda ukiacha tu Majaliwa Stadium iliyoko kule Ruangwa na ubovu wa viwanjwa hivyo unasababisha Timu bora kama Yanga inashindwa kupata matokeo inapokwenda mikoani kule” “Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye nyasi...
  18. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Timu yake waingia Kanda ya Magharibi, ni katika muendelezo wa Operesheni Haki

    Wakuu msituchoke, tuliahidi kuwafikishia kila kitu kitakachojiri kwenye ziara za Mkakati mpya wa CHADEMA inayoitwa OPERESHENI HAKI, hii ni kampeni ya kuchagiza upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi . Baada ya kupita kwenye kanda kadhaa sasa imeingia kwenye Kanda ya Magharibi...
  19. JamiiForums Tanzania Hatimaye Siri imefichuka, Timu Burnaboy dhidi Ya Diamond Platnumz

    Diamond Platnums amechaguliwa kuwania tuzo za BET , akiwa ni yeye pekee tokea pande za Africa mashariki.... Kipengele hcho yupo sambamba na mkali Burna boy tokea Nigeria..! Kinachoshangaza ni kuwepo Kwa makundi yanayompinga kumpigia Kura kutokea hapa hapa nchini kwake Tanzania mahali ambapo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde: Serikali isiendeshe Timu zetu za Taifa kwa kuungaunga

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya kuzisaidia Timu zetu za Taifa zinapokwenda kuwakilisha nchi. Ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Michezo hapo jana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…