timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Confirmed kutoka CAF kwa mwaka huu Timu za Africa Super Cup ni Nane tu Simba ipo na Yanga hawapo

    Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza. Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema )...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga tengenezeni timu yenye wafungaji wengi na siyo kumtegemea Mayele peke yake

    Jifunzeni kwa Simba, ukiangalia mgawanyo wa ufungaji kwenye Simba, utagundua kwamba wafungaji ni wengi na siyo timu nzima kutegemea mfungaji mmoja tu.
  3. JamiiForums Tanzania Tofauti ya timu inayoshiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho imeonekana kwenye Kariakoo Debry

    Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi 😆😆😆. Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

    Kila wakati Takwimu huwa zinasema tofauti na wana- Yanga wanavyoaminishwa na watu wao wanaowaamini. Juzi Kati hapa almanusra Manara awadanganye Yanga kwamba haijawahi kutokea Timu ya Tanzania kuongoza kundi kwenye mashindano ya CAF ikiwa na Pointi 13. Alipokumbushwa kwamba simba iliwahi...
  5. JamiiForums Tanzania Timu ya jeshi yapanda Ligi Kuu NBC

    JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya Kuichapa Timu ya African Sports Magoli Mawili Kwa Bila kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na...
  6. JamiiForums Tanzania Mkasa wa Yanga kuchapana bakora na kuvunja timu baada ya kupigwa 4-1 na Simba, Mwaka 1994

    Tukiwa tunaeleka derby ya kariakoo hapo kesho, sio mbaya tukakumbusha baadhi ya vituko, mikasa na visa vilivyowahi kutokea huko nyuma. Leo tuikumbuke mechi iliyowafanya Yanga (Gongowazi) kuchapa bakora na kupelekea kufukuza karibia wachezaji wake. July 2, 1994 katika dimba la Uhuru, Dar Es...
  7. JamiiForums Tanzania Jean Baleke atamani kuinywa Yanga mchuzi

    Jean Baleke (kulia) akifanya yake. STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi. Baleke amejiunga na...
  8. JamiiForums Tanzania Jamhuri Kihwelo (Julio) apata timu DSM

    Timu ya Manispaa ya Kinondoni imetangaza kuvunja Benchi lake la Ufundi kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake na kumtangaza Kocha Jamhuri Kihwelo 'Julio' kuchukua mikoba ya Thiery Hitimana. ''Bodi ya timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC FC) baada ya kukaa kikao mapema leo asubuhi imeamua...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga Haina ugomvi na Fei Toto, bali na Timu inayomtaka

    Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu. Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana kuweza kumuonea Faisal Salum. Yanga haitapendi kuua kipaji Cha mtoto Fei, LAKINi Yanga inafahamu...
  10. JamiiForums Tanzania Baleke ukitaka nyota yako ing'ae isaidie timu yako kupata ushindi mechi ya dabi

    Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema. Baleke ukitaka nyota yako ing'ae focus na mechi ya dabi sababu ni mechi kubwa iliobeba hisia za mashabiki wengi hapa Tanzania na nje...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi hata kama hamjui kusoma, je hata picha hamuwezi kuangalia?

  12. JamiiForums Tanzania Kichekesho: Yanga ndio timu kubwa Afrika Mashariki

    Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia. Tuendelee na pasaka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea imefulia kama TP Mazembe ilivyofulia: Hata vilaza wanajipigia tu timu hizo mbili!!

    Wolverhampton Wanderers 1 - 0 Chelsea HT 1-0
  14. JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni utajiri wa timu ya SINGIDA BIG STARS.

    Ni wazi SINGIDA BIG STARS ilianza kuonesha ukwasi baada msingida mshika kibubu chetu kuteuliwa, huyu mheshimiwa alianza na matengenezo ya viwanja vyetu vya mpira vilivyoporwa na CCM kukarabitiwa kwa kutumia pesa za serikali! Leo nimesikia klabu hiyo imemlipa mchezaji shs 100,000,000/=! Ili...
  15. JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: Timu Maarufu za Ndondo kutoka mitaa yetu

    Kama Mada Inavyosema. Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero. Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na...
  16. JamiiForums Tanzania Morocco Derby: kati ya Wydad na Raja ipi ni timu yenye ushindani zaidi?

    Kwa haraka haraka huwa nasikia hizi timu mbili ndio kama Real Madrid na Barcelona za huko Morocco, Kwa wale mnaofuatilia soka na kubahatika kuweza kujua ubora wa hizi timu tunaombeni mtumegee uzoefu wenu.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kucheza robo fainali, timu za Shirikisho zilitakiwa kucheza Play off na timu ya nafasi ya 3 Champions league, CAF wanakosea

    Huu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League Hata CAF walitakiwa kufanya utaratibu huu ili kuzichuja timu vizuri Mfano Monastir...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaupiga mwingi, mafanikio ya msimu mmoja tu ndani ya michuano ya CAF ni kielelezo cha ubora wa timu yenu

    Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye kundi lake, kipindi icho ilikuwa ni yanga ya kuungaunga sana. Lakini baada ya uwekezaji mkubwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Timu dhaifu tupu ndio zimebaki shirikisho. Hakuna inayoizidi Simba kwenye rank za CAF 2023

    Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa Yanga wenu hapo? Tp mazembe kashinda mechi 1 tu makundi ndio wa kuzungumzia. Clab bingwa yamebaki...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mngependa kukutana na timu gani kati ya hizi tatu kwenye robo fainali ya kombe la losers? Rivers United, USM Alger au Pyramids

    Chei chei! Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo. Yanga amemaliza kama kinara wa kundi Dada....ila anakwenda kukumbana na hatari kubwa mbele yake kwani alitegemea labda atapata vibonde ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…