timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tubadilike siyo lazima Nahodha wa timu awe Mzawa

    Kumekuwa na huu utaratibu wa muda mrefu wa timu za Simba na Yanga kuhakikisha nahodha na wakati mwingine nahodha msaidizi ni Watanzania. Sijajuaga dhana hii ilijengwa kwa sababu gani ila naona ilishapitwa na wakati. Kuna vigezo inabidi tuvizingatie katika kuchagua nahodha wa timu, kikubwa...
  2. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Naombea matokeo yabaki hivi hii timu ilinikera sana

    West ham alinipiga kimoja. Naona nae ameshapigwa naombea yabaki hivhiv ili waendelee kupumuliana. Zaidi ajitahidi draw
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nje ya pesa ya kuishia hatua flani, caf huwa wanatoa pesa za maandalizi, malazi na kujikimu kwa timu ambazo zinasonga mbele ?

    timu inapotolewa katika hatua fulani, ndiyo hupatiwa pesa iwe ni makundi, robo fainali, nusu fainali ama hadi imalize fainali. timu ikiishia makundi inapewa pesa, wanaosonga mbele robo fainali hawapewi timu ikiishia robo fainali inapewa pesa, wanaosonga mbele nusu fainali hawapewi timu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nashauri motisha ya Rais itolewe kwa timu za taifa na siyo vilabu

    Kutokana na vilabu kusheheni wachezaji wa kigeni, nashauri motisha ya rais itolewe kwa timu zetu za taifa zikiwemo ile ya mabinti iliyofanya vizuri sana kwenye mashindano ya soka la kimataifa na wanamichezo wanaoenda kuwakilisha nchi kwenye mashindano ya olympiki ili wajitahidi kupata medali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wenye timu yenu mjibuni Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe juu ya hii kauli yake

    Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa; "Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"...
  6. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Sir Jim Ratcliffe ni mwendawazimu anadai ni shabiki wa timu. Angeiacha club hadi Leo haina direction kuelekea dirishani?

    Nikumuangalia napata hasira sana. Namuona kama Mzee mia Tisa itapendeza r.i.p
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi pesa ambazo timu zinapata kwenye mashindano ya kimataifa zinakatwa kodi?

    Mfano Yanga kuingia tu Fainali ina uhakika wa dola lake nane. Ikichukua ubingwa itakunja dola milioni mbili. Simba kuingia robo Fainali ya Champions League walikunja dola mia kadhaa. Pesa hizi zinakatwa kodi?
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania George Job aliwahi kusema hatuna timu ya kufika Fainali ya Michuano ya CAF

    Njooni mumpike kama sio kumkaanga
  9. I

    JamiiForums Tanzania Rekodi za Yanga dhidi ya Timu za Afrika ya Kusini

    Wasalaam. Ninaomba mwenye rekodi za Yanga akicheza na klabu za Afrika Kusini hasa mechi zinazochezwa ugenini Afrika Kusini kama hii ya kesho. Nawasilisha.
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba, timu iliyopoteza mechi chache kuliko zote msimu huu

    Rekodi za Simba msimu huu zimebezwa sana kiasi kwamba watu wamekuwa wanazungumza mambo yasiyo na uhalisia ili tu ajenda zao binafsi ziaminiwe. Kuna takwimu nyingi zinazothibitisha kwamba Simba ya msimu huu haijafanya vibaya kama tunavyoaminishwa. Leo nakumbushia kuwa Simba mpaka sasa, zikiwa...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Baleke atakiwa na timu ya Ulaya

    ◉ TP Mazembe imepokea ofa rasmi kutoka Ulaya kwa Jean Baleke, imethibitishwa 100%. ◉ Klabu iliyowasilisha ofa hiyo ilicheza hatua ya makundi ya Ligi ya Europa msimu huu na mwaka ujao, itacheza Ligi ya Mabingwa ya UEFA. ◉ Mkataba unaotolewa ni wa miaka mitatu. ◉ Simba imearifiwa na ofa hii na...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Siasa zinaamua pia mpira: Kipindi cha Rais wa Pwani / Zanzibar GSM huwa anachapisha pesa, Timu anayoidhamini itaendelea kutawala hadi 2030

    Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy. Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira. Kipindi cha Magu hali ilikuwa ngumu sana, hapa nakumbuka alikuwa anasumbuliwa hata na kina Makonda Rais wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Marumo Gallants FC: Ni timu ya tatu toka mkiani kwenye ligi ya Afrika ya kusini. Hakuna cha kujisifu kuifunga timu mbovu

    Ukiifunga timu mbovu na chovu hakuna cha kujisifu ila ukifungwa na timu chovu kama marumo kila mmoja atakushangaa!! Ni timu ya mkiani huko bondeni!! TABLE DSTV PREMIERSHIP # Club W D L Goals +/- Pts 1 Sundowns 29 21 6 2 51:12 39 69 2 Orlando Pirates 28 15 5 8 35:20 15 50 3...
  14. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Kuna kocha anaenda kuachia timu kabla ya msimu kuisha

    Habari zenu.. Nina masikitiko sana msimu huu simba hawajachukua kombe lolote. Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa yanga mimi ni mwananchi kabisa na siwezi kuishabikia simba daima. Ila kinachoniumiza kumuoana huyu doto anachezewa sharubu kila anapoenda kucheza mpira. Huyu kocha aliyekuja,hana...
  15. Frank I Ritte

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya Walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen?

    Hivi ni kweli timu ya taifa ya mpira wa kikapu(basketball) ya walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen hamuoni mnaaibisha taifa?
  16. mngony

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Kocha Nabi unaweza kuwapa Ubingwa wa Shirikisho timu ya Yanga, na hata kufika mbali zaidi Ligi ya mabingwa mwakani

    Kocha Nabi namsifia sana kutokana kuitengeneza Yanga kucheza kitimu zaidi na mbinu zake katika kuzikabili mechi kubwa Tukiachana na usajili wa wachezaji wazuri, tuhuma za kuhonga na mbinu nyingine nje ya uwanja ni kwamba huyu kocha ni chachu kubwa sana ya mafanikio ya timu ya Yanga uwanjani...
  17. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

    Umofia kwenu! Msimu huu unaelekea ukingoni na ndio maandalizi ya msimu ujao. Timu mbalimbali zishaanza kutoa jezi mpya kuelekea msimu ujao. Kama ilivyoada, uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya mbalimbali ambazo zitakuwa zinatumika kwa msimu ujao. Karibuni...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

    Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rotation ya kikosi sio kwa kila timu, inategemea na ubora wa wachezaji wako

    Simba msije mkajaribu tena kuiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba, Ni ngumu kwa kikosi cha simba kukifanyia rotation kwa baadhi ya mechi vinginevyo inakuwa inatafutwa lawama tu, Timu pekee yenye uwezo wa kufanya rotation ni yanga pekee ambayo ina kikosi bora kuanzia wanaoanza mpaka wakaa benchi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea imekuwa "punching bag"!: Kila timu inajipigia tu!

    Watamkumbuka Abramovich! Yawezekana ni laana ya kumpora jamaa timu aliyokuwaanaimiliki na kuihudumia vizuri!! Hadi mapumziko Arsenal 3 - 0 Chelsea! Hapa naona mkono au wiki inanukia!!
Back
Top Bottom