timu ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chibike

    Nashauri timu ya taifa ya Senegal wajitoe mashindano yote yanayosimamiwa na Wala rushwa CAF

    Hakika ndio mana Legend wa timu ya taifa ya England Jamie Caragher aliwahi kusema japo alitukanwa matusi yote Duniani kua mashindano ya CAF ni mashindano madogo. Hilo limedhihirika siku ya leo baada ya maamuzi ya kushangaza na mabovu kua eti Senegal sio mabingwa wa CAF, wanyang'anywe kombe lao...
  2. onemediaonline

    Makonda: Serikali yampitisha Gamondi timu ya Taifa

    #onemediaupdates🇹🇿 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake aliouonyesha kwenye Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 iliyofanyika...
  3. Bawabu wa pili

    Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  4. Waufukweni

    Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  5. DELETED ACCOUNT

    Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

    Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari. Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi...
  6. kavulata

    Timu ya Taifa ipate kocha mwingine, Hamad Ally awe saidia kocha

    Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale. Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa...
  7. ngara23

    Kwanini Watanzania hawaendi uwanjani inapocheza timu ya taifa

    Tanzania tumepata bahati ya ku host mashindano Makubwa ya CHAN 2025 pamoja na Kenya na Uganda Kwa wenzetu Kenya tunaona viwanja vinajaa na TV zinawekwa kwenye maeneo ya wazi, Watu wana hamasa mno Hapa kwetu Tanzania tumeonekana hata kufika watu 10, 000 kwenye uwanja wa kubwa watu 64, 000...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    Ukiondoa wachezaji wote wa Yanga, timu ya taifa inapwaya

    Lakini ukiondoa wale wa upande wapili timu inaendelea kukiwasha.
  9. M

    Inawezekana Tanzania haijawa Tayari kwa mashindano makubwa ya kimataifa yanayoihusu timu ya Taifa

    Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
  10. Mstahiki Mea

    Hiyo bilioni tuiombe kwenye uwekezaji timu ya taifa

    Baada ya hicho kibunda kuwekwa kama timu ya taifa itaweza kutwaa kombe la Chan kili nikiitazama hakuna namna tunaweza kushinda hilo kombe . Hivyo hakuna namna hii pesa itapatikana badala yake tuionbe itumike kwenye uwekezaji wa kuboresha timu ya taifa kama kuboresha benji la ufundi kupata...
  11. Just Pray

    Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, ateuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Brazil

    Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Brazil. Atachukua rasmi majukumu yake kuanzia Mei 26.
  12. D

    AFRICA: Kwanini Morocco wapo vizuri sana pande zote. Timu ya Taifa na vilabu huko CAF??

    Egypt - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF South Africa - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF Nigeria - Timu ya Taifa nzuri, clubs hola CAF. ....and the list goes on. Morocco - Timu ya Taifa bora, vilabu bora CAF. NB: Tunapozungumzia timu za Taifa na ubora wao tunamaanisha world cup...
  13. U

    Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026

    Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Equtorial Guinea utakaochezwa Februari 20, 2025 uwanja wa Azam Complex, Chamazi. @twigastarstz
  14. Waufukweni

    Crescentius Magori afafanua masharti magumu ya FIFA kwa wachezaji waliobadili Uraia ili waweze kucheza Timu ya Taifa

    Crescentius Magori, ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, ametoa ufafanuzi muhimu kuhusu mchakato wa kubadilisha uraia ili wachezaji waweze kucheza katika Timu ya Taifa ya Tanzania. Kupitia ujumbe, Magori amesisitiza kuwa wachezaji wenye uraia wa nchi mbili wanapaswa kukidhi...
  15. K

    Mnaosimamia timu ya Taifa mnatuonea

    Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa seriously mnawakilisha bendera ya Taifa letu,michuona insignia kwenye record,mnatumia Hela zetu...
  16. Damaso

    Je, Kwa Nini Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Ni Kilimanjaro Stars Badala ya Tanganyika Heroes?

    Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
  17. Waufukweni

    Kocha Timu ya Taifa, Hemed Morocco awafukuza Mkoko, Lanso kambini kwa utovu wa nidhamu

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Suleiman 'Morocco' amewaondoa kambini nyota wake wawili kwa utovu wa nidhamu. Katika taarifa iliyotolewa na ZFF, nyota waliofukuzwa ni Ibrahim Mkoko anayekipiga katika klabu ya Namungo FC na Abdallah Said (Lanso) wa KMC. Utovu wao wa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Timu ya Taifa ya Ivory Coast timu bora ya Taifa ya wanaume

    Timu ya Taifa ya Ivory Coast ambao ni mabingwa watetezi wa AFCON , wametajwa kuwa timu bora ya Taifa kwa upande wa wanaume
  19. M

    Kazi waliyopiga wachezaji wa Yanga kwenye mechi 2 timu ya taifa napenda nijue walichomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa timu ya taifa?

    Vijana Dicksoni Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize walipiga kazi ya uhakika wakiwa na pumzi Ile Ile mwanzo mwisho mpaka nikajiuliza Hawa wamechomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa kwenye kambi ya timu ya taifa kama tulivyoaminishwa na wajinga wachache ama imekuwaje? Pumzi za...
  20. Dabil

    AFCON inayokuja Mzize asiitwe timu ya Taifa kwa utovu wa nidhamu

    Ni utovu wa nidhamu kugoma kufanyiwa sub,wengine wanasema kocha alidhani amepata injury,lakini utaona kocha akikasirika na kuongea kwa Mzize kugoma kutoka. Hamna mchezaji mkubwa zaidi ya timu hata Samata na Msuva hawajafanya alichofanya Mzize leo.
Back
Top Bottom