timu ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Awesu Awesu ni mashine hajaitwa timu ya Taifa ila Feitoto kaitwa. Kuna shida pale Taifa Stars

    Huyu kocha Morocco tumwangalie vizuri, anashida ya ku chagua kikosi. Feitoto ni nuksi timu ya Taifa. This is known. Next time tunamwomba Awesu Awesu. Achana na Fei toto. International games ANAPOTEZA muda.
  2. Orketeemi

    Beki wa Simba Valentino Nouma hajaitwa timu ya taifa

    Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa. Najiuliza Je nin kimetokea?
  3. D

    Feisal toto kwanini anaitwa timu ya Taifa na hana kiwango wala msaada timu ya Taifa . bora Awesu Awesu

    I will be short. when did Fei toto ever help taifa stars in anything?? Kwenye mechi yeye ndo mzingo wa timu. hana analofanya anazunguka tu kwenye mechi then anatolewa. Morocco anaona nini kwa Fei toto? Mechi kibao hana hata assist timu ya Taifa. then kila list yupo ila kiwango Hana. ni...
  4. USSR

    Baba yake Mbwana Samatta amuijia juu kocha Morocco kuhusu kumwacha mwanaye kwenye kikosi cha stars

    "Inaonekana kuna aina Fulani ya chuki kutokana na mafanikio ya mwanangu Mbwana, bado Mbwana ana nafasi kubwa sana katika timu ya taifa, Samatta na Msuva ni wachezaji muhimu sana kwenye taifa letu, kwa asilimia kubwa wao ndio wamesababisha tufuzu kucheza AFCON zote mbili "Kwenye kombe la dunia...
  5. Labani og

    Taifa stars Yanga waitwa 7 Simba wachezaji wa 3

    Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025). Ally Salim(Simba SC) GK Aboutwalb Mshery (Yanga) GK Yona Amos (Pamba SC) GK Lusajo Mwaikenda (Azam FC) Nathaniel Chilambo...
  6. BigBro

    TANZIA Kocha Sven-Goran Eriksson amefariki Dunia

    Aliyekuwa meneja wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven-Göran Eriksson, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Eriksson alitangaza kuwa ana ugonjwa wa saratani usiotibika mnamo Januari mwaka huu. Mswidi huyu alikuwa kocha wa kwanza wa kigeni kuinoa timu ya taifa ya England. Aliongoza...
  7. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Riadha Olimpiki yatua Dar, kesho kupaa Paris, Ufaransa

    Pichani : Kutoka kushoto ni Magdalena Shauri, Gabriel Gerald Geay , Jackline Sakilu na mwisho ni Nahodha Alphonce Felix Simbu. TIMU ya Taifa ya Riadha itakayoiwakilisha Tanzania katika michezo ya Olimpiki Paris 2024, imewasili jijini Dar es Salaam leo Agosti 6 ikitokea kambini jijini Arusha...
  8. Melubo Letema

    Timu ya taifa ya riadha ipo kambini jijini Arusha, tayari kwa safari ya Olimpiki Paris, Ufaransa

    BAADA ukimya wa muda mrefu , Timu ya Taifa ya Riadha ipo kambini Sakina , Arusha tayari kuanza kuendela na maandalizi ya mashindano makubwa ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai 26 hadi Agosti 11 huko Paris Ufaransa. Tanzania itawakilishwa na wanariadha wanne ambao wanakimbia mbio ndefu...
  9. Lady Whistledown

    Kocha wa Timu ya Taifa ya England ajiuzulu

    Gareth Southgate ametangaza rasmi kujiuzulu kwake kama meneja wa timu ya taifa ya England baada ya kuwa madarakani kwa karibu miaka minane. Southgate, ambaye alianza kazi yake mwaka 2016, ameiongoza England hadi fainali ya Euro 2024 na nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2018. Shirikisho la...
  10. Godee jr

    Siasa isiwepo Timu ya Taifa

    Nashukuru Mungu timu yetu imeshinda leo. Ombi langu ni kuwa wanasiasa wasijaribu kutia pua yao kwenye timu yetu. Huwa mnatugawa sana na sipendi hichi kitu. Naomba mambo yabaki kama yalivyokuwa leo. Tuwaamini wachezaji na makocha tafadhali.
  11. NALIA NGWENA

    Dickson Job na Ladack Chasambi wametemwa kwenye kikosi Cha timu ya Taifa

    DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada. MAONI YANGU : Dicksoni Job na ladack Chasambi wamekua na...
  12. SOVIET UNION

    Kuna ya Adidas, Nike na Puma kwenye timu ya Taifa ya Brazil

    Haya mambo ya jezi kumbe ni biashara kubwa sana? Brazili inapiga kama Bilion 80 kwa mwaka kutoka Nike.
  13. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Mbio za Nyika yakwama Airport, wakati wa Kuelekea Belgrade Serbia, Uganda Yashinda Dhahabu

    Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na Changamoto ya kupatikana kwa Visa. Wanariadha hao ambao walitarajiwa kuondoka jana tarehe...
  14. kavulata

    Tatizo la Makocha wazawa Timu ya Taifa ni Malezi yao Mabaya

    Malezi anayopewa mtu utotoni kwenye mambo na matukio mbalimbali ndani ya familia, jamii na taasisi mbalimbali kama za kidini, shule na mpira vina uhusiano mkubwa na tabia na ufanisi wa mtu huyo wakati wa utu uzima. Kama utotoni ulipigwa sana kuna uwezekano mkubwa na wewe kuwa mpigaji wa watoto...
  15. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Riadha kutuwakilisha All African Games, Ghana

    Timu ya Taifa ya Riadha wameondoka leo na kuagwa na Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania Silas Lucas Isangi na Kaimu katibu mkuu wa RT Wakili Jackson Ndaweka katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Wanariadha hao 8 wakiwemo wa Mbio za Uwanjani, Mbio ndefu na Mrusha mkuki, wameondoka kwenda...
  16. kavulata

    Timu ya Taifa imechaguliwa kishabiki na kimaokoto zaidi kuliko uhalisia

    Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi wala muda mrefu. Ni timu ambayo imeteuliwa kwa kubalance idadi ya wachezi kutoka timu fulani na nani...
  17. Greatest Of All Time

    Timu ya Taifa ya Romania ilienda World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa wakiwa wamepaka Bleach karibia wachezaji wote

    Nimeona wananchi kesho wana mechi ya ligi ya mabingwa afrika, ni mechi muhimu sana kiasi wakaamua kuipa jina “Pacome Day” huku wakinogesha na style ya nywele ya mchezaji wao Pacome. Style hiyo kutumiwa na wachezaji wengi wa timu sio ngeni katika shughuli za michezo hasa kabumbu. Mwaka 1998...
  18. MK254

    Iran: Vijana wakamatwa kwa kushangilia anguko la timu ya taifa

    Ayatolla na dini yao wanaendelea kupoteza vijana kwenye taifa la Iran, wanalazimisha ila ndio hivyo, Iran ilishindwa kwenye mechi ya mpira, halafu vijana wakajitokeza kushangilia hilo anguko maana wamechoka na utawala wa kijinga, sasa kumetokea kamata kamata ya vijana wote walioshabikia. Halafu...
  19. Mjanja M1

    Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria atishiwa maisha

    Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa mwaka huu 2024 nchini Ivory Coast. Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini...
  20. GENTAMYCINE

    Kwanini iliyotolewa ni Timu ya Taifa ya Mali ila Walionuna na Wanaoumia ni Mashabiki wa Yanga SC?

    Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na yenye Heshima kama ya AFCON kuanzia hatua za Nusu Fainali. Hongereni sana Simba Sports Club na hakika...
Back
Top Bottom