timu ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. technically

    Imani za kishirikina kwenye timu ya Taifa

    Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ? Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024 Aisee inasikitisha Sana
  2. Mwachiluwi

    Sioni kama kuna haja ya kuendelea kutumia wachezaji wazee kwenye Timu ya Taifa

    Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho Samata kwasasa hana...
  3. Half american

    Timu ya taifa ya wanawake Iran yaondolewa michuano ya ASIAN CUP baada ya kuchezesha wanaume

    Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
  4. covid 19

    Simba na Taifa Stars: Changamoto na Nini Kifanyike Kuleta Mabadiliko ya kweli

    Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
  5. JanguKamaJangu

    FA yamuwania Guardiola kuinoa Timu ya Taifa ya England

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anatajwa na vyanzo mbalimbali kuwa yupo kwenye listi ya makocha wanaowaniwa na Chama cha Soka cha England (FA) kuinoa timu ya Taifa hilo. Uamuzi huo unaweza kuchukuliwa kwa kuwa kocha wa muda, Lee Carsley amejulishwa hatapewa ajira ya uhakika kuendelea...
  6. DELETED ACCOUNT

    Wachezaji wa Tanzania wajenge utamaduni wa kustaafu kwa hiari kuchezea Timu ya Taifa

    Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa. Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
  7. S

    Timu ya Taifa ya Nigeria imepewa funzo kutoka Libya

    Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg ) Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika Libya wakatelekezwa airport masaa 12 bila msosi Ule msemo wa you punch me once i punch u triple...
  8. USSR

    Rais Samia unaona sahihi mechi za soka za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za kulipia, uzalendo uko wapi?

    Kenya match zote za timu za taifa honeshwa bure, Uganda match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure. Rwanda , Burundi na nk match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure Tanzania hakuna kitu ni utapeli wa kizalendo Soma Pia: DR Congo VS Tanzania |...
  9. FK21

    Kikosi kikipangwa hivi Taifa Stars anashinda leo dhidi ya DR Congo

    kutokana na kuangalia wachezaji waliotwa KIKOSI kikianza ivi kitamshangaza mkongo 1. YONA AMOS - anajiamini japo Kuna goal mechi na Yanga kama aliamua tu kujishushia heshima 2. LUSAJO MWAIKENDA- No comments✓ 3. MOHAMED HUSEIN - 4. IBRAHIM BACCA -japo h uyu jamaa simkubali I bet Leo...
  10. dr namugari

    Naiombea Timu ya Taifa ifungwe na Guinea na tuendelee kufungwa mechi za Simba na Yanga mpaka tuwe na kauli moja na kuwajibika

    Taifa limekuwa la kutekana kuuwana huku tukijinasibu kuwa ss ni kisiwa cha amani, amani ipi? watu wanatekwa wanauwawa na kisha bado viongozi wanaongea porojo alfu wanakimbilia kwenye mipira kuficha ualifu wao na ushetani wao, sasa nasema taifa 🌟 ipigwe vzr magoli ya kutosha hadi tuwe na kauli...
  11. Labani og

    Taifa stars inaweza beba Hadi world cup kama ipo chini ya benchi la ufundi la Yanga SC

    Salaam wakuu.... Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi So Kwa huu...
  12. D

    Wallace Karia amegeuza timu ya Taifa ya kwake na washikaji wake. Ingawa kafanya makubwa ushikaji utamgharimu

    Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC wameitwa na Simba mwezao wakae pale. In short wale kama kikundi cha ovyo kinacho sababisha mpira wetu...
  13. D

    Taifa Stars tumefika AFCON last year na kikosi hiki hiki acheni excuses, kocha asepe

    Last year tumechezaAFCON na kikosi hiki hiki . Watanzania acheni siasa kocha asepe tutafute kocha mpya, kocha hana uwezo shida yetu ni kuprogress AFCON sio kuingia AFCON acheni siasa I will be short Soma Pia: FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium |...
  14. ngara23

    Timu ya Taifa Ethiopia ni imara, kutoa sare, Taifa stars ijipongeze

    Watanzania wengi wamekariri Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team. Ethiopia ni hivi majuzi kampiga Egypt The Pharaoh goli 2 bila Taifa stars haijaifunga Ethiopia mechi 7 mfululizo, Sasa maajabu Gani...
  15. SankaraBoukaka

    Kama Makocha watatu wazalendo wanaweza kutufanyia vile dhidi ya Ethiopia, basi CCM ni noma

    Hakika lililofanywa na makocha wetu wa Taifa Stars Moroko, Mgunda na Julio ni kutupotezea muda na kutoheshimu hisia zetu. Kwahiyo Mgunda na Julio ndo wamemshauri Moroko kuwa Novatus na Mao wanaweza kucheza namba 6 na 8 na tukaweza kuwa na kiungo kinachonyambuka, kwamba Kibabage anaweza kucheza...
  16. A

    Kocha Abdel Amrouache arudishwe haraka. Hawa hawatufikishi popote

    Habari ndugu zangu, Kundi letu lipo wazi mno.. ( Tanzania, DRC, Guinea na Ethiopia) Ngoja niwakumbushe jambo, kuelekea Afcon ya 2019, Tulianza na kocha mzawa Salum Mayanga. Tukadroo 1-1 mchezo muhimu wa kwanza na Lesotho tukiwa nyumbani. Tukafukuza kocha...tukamleta kocha mpya mnigeria...
  17. USSR

    Kwanini mechi za Taifa Stars ziwe za kulipia viingilio? na Vipi kuhusu pesa za goli la mama?

    Kama mnatoa ruzuku kule Baraza la Michezo la Taifa BMT na wizara ya michezo inapata pesa za kuendesha timu za taifa iweje watanzania walipie kuona matches za timu yao ya taifa . Kama mnalipia hadi bao la goli za vilabu inakuwaje matches za timu ya taifa hakuna na tulipie kuona na kutaka kuona...
  18. W

    Luis Suarez atangaza kuacha kuchezea timu ya taifa ya Uruguay

    Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez (37) ametangaza rasmi kustaafu soka la Kimataifa WASIFU WA LUIS SUAREZ KATIKA TIMU YA TAIFA URUGUAY Jina Kamili: Luis Alberto Suárez Díaz Tarehe ya Kuzaliwa: Januari 24, 1987 Uraia: Uruguay Nafasi: Mshambuliaji 'Striker' Umri: 37 Mwaka alioanza...
  19. kavulata

    Bila kujua, wasemaji wa Simba, Yanga na Azam wanaidhoofisha Taifa Stars

    Timu ziko nyingi kwanini iwe wasemaji wa Azam, Simba na Yanga tu wahamasishe timu ya taifa? Kama ni kwaajili ya kuwa na mashabiki wengi lakini kuna ushahidi gani kuwa Azam ina mashabiki wengi kuliko KMC na Coastal Union? Pili, kuna wasemaji ambao huwa wanajigamba hadharani kuwa timu zao zimetoa...
  20. kavulata

    Benchi la ufundi la Timu ya Taifa liwe bora kuliko la vilabu

    Taifa stars ifundishwe na walimu wenye ubora na uzoefu mkubwa kuliko wachezaji wanakotoka kwenye timu zao. Hii itachechemua fikra za wachezaji kuhusu timu yao ya Taifa. Mwanafunzi wa chuo kikuu kufundishwa na mwalimu wa secondari haiamshi hamasa ya mwanafunzi kutaka kujifunza. Timu yetu ya Taifa...
Back
Top Bottom