timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Wachezaji 9 wa Arsenal wajiondoa kwenye Timu za Taifa kisa Majeraha

    Wachezaji tisa wa Arsenal sasa wamejiondoa kwenye majukumu ya timu zao za taifa. Orodha hiyo inajumuisha William Saliba, Gabriel Magalhães, Leandro Trossard, Jurriën Timber, pamoja na Eberechi Eze, Bukayo Saka, Declan Rice, Noni Madueke, na Piero Hincapié Bado haijawekwa wazi watakaa nje ya...
  2. kavulata

    Timu ya TRA inanuka Simba, haifai kuhamasisha ulipaji kodi

    Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote. Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia...
  3. M

    Ali Kamwe: Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu

    Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu
  4. Scared

    Naomba kuuliza hivi Italy timu kubwa na maarufu na ina mashabiki wengi ipi kati ya hizi Juventus, AC Milan, Inter Milan, AS Roma, Napoli

    Hapa nani mkubwa kuzidi wenzie maana hapo hizo timu huwa sielewagi nani maarufu. Na yenye mashabiki wengi kuzidi zote hapo
  5. Yoda

    CHADEMA ondoeni timu uwanjani tu, ndoto ya demokrasia Tanzania haifikiki bila CCM kugawanyika kutokea ndani

    Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia. Ukweli ni...
  6. Tajiri Tanzanite

    Simba msikubali hizi faini mnazopigwa na bodi ya ligi, wanaibeba timu masikini halafu pesa wanachukua kwenu

    Hapo vip! Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai. Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
  7. A

    KERO Waziri wa Madini tuma timu ifuatilie utendaji wa Kampuni ya Madini Musoma Vijijini inanyanyasa Wafanyakazi

    Ombi kwa Waziri wa Madini kuna kampuni ya uchimbaji dhahabu ipo Musoma Vijijini, Kijiji cha Kwitope inaitwa GDM, haitendi haki kwa sisi wafanyakazi, mshahara ni shida, mikataba ya ujanja, mtu hapewi stahiki zake kwa wakati akiondolewa kazini. Pia kuna kauli mbovu kwa wafanyakazi, watumishi wa...
  8. comrade_kipepe

    Hakuna timu kutoka Tanzania itakayovuka

    Ile damu iliopo ardhini bado inalia mpaka itendewe haki ndio mambo yatatulia. Na mwakani mwendo ndio huuhuu 👽 AZAM OUT 👽SIMBA OUT 👽YANGA (CCM DEPARTMENT OF SPORTS) OUT
  9. M

    Maisha yanaenda speed sana, Leo hii Simba ni wa kuvimba na kujisifu kwa kuinyanyasa timu inayoshika mkia ligi kuu ?

    Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya. Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
  10. onemediaonline

    Makonda: Serikali yampitisha Gamondi timu ya Taifa

    #onemediaupdates🇹🇿 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake aliouonyesha kwenye Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 iliyofanyika...
  11. kavulata

    Kwanini familia ya Dewji imegandamana na timu ya Simba?

    Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao. Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha...
  12. JanguKamaJangu

    Mtanzania Joseph Jr Michael asajiliwa na timu ya Vijana ya Celta Vigo ya Hispania

    Kijana wa Kitanzania, Joseph Jr Michael (JJ), amepiga hatua kubwa baada ya kusajiliwa na klabu ya Celta Vigo nchini Hispania kwenye timu ya vijana (Juvenil B) kupitia dirisha dogo la usajili la Januari 2026. JJ mwenye umri wa miaka 18 anayecheza nafasi ya mlinzi wa kati, amejiunga akitokea...
  13. The Father of All

    Tukatate timu siyo tume ya Samia ya malazimishano na maridhishano yaitwayo maridhiano

    Kichwa cha habari kiko wazi. Timu hii ya wazee wa hovyo haina maslahi ya nchi bali ya. muuaji mmoja aliyewateua. Ni aibu hadi sasa wanaamua kufanya uchunguzi kwa siri. Kwanini siri? Wanaficha nini? Na kwanini?
  14. B

    Timu yangu Simba,mkitoboa hapa kwenda robo rasmi nitaamini kweli mpira ni wa duara na hauna pembe.

    Japo mpira una dunda me ndo nataka nione huo mpira unavyodunda kwenye makundi kwamba mnyama aende Robo kama kawaida yake.
  15. Lycaon pictus

    Kwa nini CAF haiwazuii mashabiki wa timu za Africa kaskazini kumulika wachezaji kwa lasers?

    Huu ujinga ni aibu sana kwa watu waliostaarabika. Wanawaogopa au ni nini?
  16. Bawabu wa pili

    Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  17. Bila bila

    AFCON: Kuruhusu timu moja inunue tiketi zote ni hujuma.

    NI mara ya pili mfululizo timu zinazopambana na mwemyeji wa AFCON 2025 Morocco kulalamika mashabiki wake kunyimwa tiketi huku wenyeji wakitamba kununua tiketi zote. Inajulikana soka ni biashara, lakini soka ni burudani na burudani inakamilishwa na watu. Inakuwaje timu moja Kwa Kisingizio cha...
  18. M

    Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi Timu inapokea kipigo cha sita mfululizo viongozi wanachukulia poa tu Timu inaendeshwa kwa email badala ya...
  19. Chibike

    SIJAWAHI kuona timu MBOVU afrika na duniani kama morocco

    Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo. Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa mali amepewa rushwa na kwa mpira huo mbovu wa kubebwa basi nitamke wazi kua Senegal wanabeba kombe hili...
  20. DesertStorm

    Nawaombea sana moja kati ya timu za kiarabu ichukue AFCON, kila la kheri kwenu

    Nawaombea sana ndugu zangu waislamu wa Afrika ya kaskazini mmoja aibuke na ushindi/kombe. Morocco Algeria Egypt Tunisia Sudan Senegal Especially hao wa juu mmoja aibuke mshindi na wawakate midomo haters, maana kuna watu weusi hawawapendi waarabu, mara utasikia wanabebwa, mara wanajiangusha...
Back
Top Bottom