tiktok

TikTok, known in China as Douyin (Chinese: 抖音; pinyin: Dǒuyīn), is a video-sharing social networking service owned by Chinese company ByteDance. The social media platform is used to make a variety of short-form videos, from genres like dance, comedy, and education, that have a duration from 15 seconds to one minute (three minutes for some users). TikTok is an international version of Douyin, which was originally released in the Chinese market in September 2016. Later, TikTok was launched in 2017 for iOS and Android in most markets outside of mainland China; however, it only became available worldwide after merging with another Chinese social media service, Musical.ly, on 2 August 2018.
TikTok and Douyin have almost the same user interface but no access to each other's content. Their servers are each based in the market where the respective app is available. The two products are similar, but features are not identical. Douyin includes an in-video search feature that can search by people's face for more videos of them and other features such as buying, booking hotels and making geo-tagged reviews. Since its launch in 2016, TikTok/Douyin rapidly gained popularity in East Asia, South Asia, Southeast Asia, the United States, Turkey, Russia, and other parts of the world. As of October 2020, TikTok surpassed over 2 billion mobile downloads worldwide.Vanessa Pappas is the CEO of TikTok, having assumed the position following the resignation of Kevin A. Mayer on 27 August 2020. On 3 August 2020, US President Donald Trump threatened to ban TikTok in the United States on 15 September if negotiations for the company to be bought by Microsoft or a different "very American" company failed. On 6 August, Trump signed two executive orders banning US "transactions" with TikTok and WeChat to its respective parent companies ByteDance and Tencent, set to take effect 45 days after the signing. A planned ban of the app on 20 September 2020 was postponed by a week and then blocked by a federal judge. The app has been banned by the government of India since June 2020 along with 223 other Chinese apps in response to a border clash with China. Pakistan banned TikTok citing 'immoral' and 'indecent' videos on 9 October 2020 but reversed its ban ten days later on 19 October 2020. Then in March 2021, a Pakistani court ordered a new TikTok ban due to complaints over "indecent" content.Morning Consult ranked TikTok as the third fastest growing brand of 2020, after only Zoom and Peacock. In May 2021, TikTok appointed Shou Zi Chew as their new CEO.

View More On Wikipedia.org
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Vita ya makampuni ya mitandao kati ya USA na CHINA inaelekea kutamu

    Vita ya makampuni ya mitandao kati ya USA na CHINA inaelekea kutamu. Baada ya Hukumu ya kuifunga TIKTOK huko marekani hatimaye followers wa Tiktok wanahama kwa mamilionj na kujiunga na app nyingine ya kichina inayoitwa Red note. Sambamba na kuhama wamerekani wengi wanajikuta wanagundua kuwa...
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania “Wakimbizi wa TikTok” wa Marekani wafungua dirisha jipya la kuifuatilia China

    Huku marufuku ya TikTok ikikaribia, wanasiasa wa Marekani wanaoendelea kupinga China wamegundua kwamba App nyingine ya kijamii ya China ‘Rednote’ imezidi kuwa maarufu nchini Marekani. Katika siku za hivi karibuni, idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok wa Marekani wamejiunga na Rednote, na...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TikTok inajiandaa kufunga App yake kwa watumiaji wa Marekani Jumapili, Januari 19

    TikTok inajipanga kuzima huduma ya App yake kwa watumiaji wa Marekani kuanzia Jumapili hii ya Januari 19, iwapo Mahakama ya Juu haitazuia marufuku hiyo, kwa mujibu wa ripoti ya The Information. Soma: TikTok yapewa muda hadi Januari 19, 2025 iwe imeuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani au...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Je, Xiaohongshu[RedNote] utakuwa mtandao mbadala wa TikTok endapo utafungiwa January 19 ?

    Huu mtandao wa kichina Xiaohongshu kwa jina la kiingereza RedNote utaweza kuwa mbadala wa TikTok marekani kama utaweza kukufungiwa Januari 19 au ni nguvu ya soda tu kwa sasa. Xiaohongshu, also known as RedNote, has hit #1 on the US App Store following news of a possible TikTok ban on January...
  5. errymars

    JamiiForums Tanzania China yajadili mpango wa kuuza TikTok kwa Elon Musk

    https://fntaz.com/china-yafikiria-kuuza-mtandao-wa-tiktok-us-kwa-elon-musk/
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Trump aitaka Mahakama kuchelewesha ufungiaji wa Tiktok hadi atakapoingia Ikulu ili atafute suluhu

    Rais Mteule Donald Trump, ametoa wito kwa Mahakama ya Juu kuchelewesha uamuzi wa kuufungia Mtandao wa Tiktok unaomilikiwa na kampuni ya ByteDance ya China, hadi atakapoingia rasmi madarakani na kuahidi kutafuta suluhu. Tiktok yenye watumiaji takriban Milioni 170 nchini humo, inakabiliwa na amri...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TikTok yapewa muda hadi Januari 19, 2025 iwe imeuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani au ifungiwe

    Mahakama ya Rufaa ya D.C. imetangaza uamuzi wa kuunga mkono sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok kutoka China, kuuza hisa zake za programu hiyo ifikapo Januari 19, 2025, la sivyo itakabiliwa na marufuku kote Marekani. Sheria hiyo, inayojulikana kama Protecting Americans from...
  9. nergomafioso

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfadhili/mwajiri/partner tutakaeweza kuanzisha channel ya youtube/podcast sehemu yoyote tanzania

    Mimi ni kijana umri 26 Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma, Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea, Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu...
  10. Kang

    JamiiForums Tanzania TikTok imeambiwa ifunge ofisi zake Canada

    Baada ya usalama wa taifa Canada kuifanyia tathmini App ya TikTok inayomilikiwa na kampuni ya kichina ya ByteDance wameiamuru kampuni hiyo kufunga ofisi zake Canada mara moja, app yenyewe itaendelea kupatikana Canada. TikTok ina wafanyakazi mia kadhaa Canada wengi wao sio raia wa Canada. Sababu...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Australia: Serikali kupiga marufuku watoto chini ya 18 kuwa na Insta, X, Facebook na Tiktok?

    Serikali ya Australia imeonyesha njia baada ya kupiga marufuku mtoto chini ya miaka 16 kuwa na akaunti ya. mitandao ya kijamii ili kulinda maadili. Nimezungumza na maelfu ya wazazi, babu na nyanya, shangazi na wajomba. Wao, kama mimi, wana wasiwasi kuhusu usalama wa watoto wetu mtandaoni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wajuzi nielimishe: Kuna tofauti gani kati ya Youtube na TikTok katika technology wanazozitumia, nani alimuigilizia mwenzake

    Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti! Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania TikTok itafungwa

    TikTok itafungwa 2025 TikTok itakutana na rungu nchini marekani ifikapo January 2025 itakua mwisho kutumika nchini marekani. Ikiwa byte dance atashindwa kuuza hisa zake kwa wamarekani. Karatasi aliyotia sign raisi wa marekani Biden kuwapa muda wachina waliounda app ya TikTok siku 270 kuweza...
  14. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa TikTok ndiye mtu tajiri zaidi wa Uchina

    Umaarufu unaokuwa kwa kasi kwa Mtandao wa TikTok umemfanya mwanzilishi mwenza wa kampuni mama yake, ByteDance, kuwa mtu tajiri zaidi wa Uchina. Kulingana na orodha ya Utajiri iliyotolewa na Taasisi ya Utafiti ya Hurun , Mfanyabiashara Zhang Yiming, sasa utajiri wake umefikia thamani ya Dola za...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha Utumishi kuchelewesha kutoa Majina ya Kuripoti kazini?

    Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano. Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa kabla ya kuripoti kazini. Hali hii imekuwa kama desturi katika utumishi wa umma. Kwa mfano, ajira...
  16. ZING SOKONI

    JamiiForums Tanzania Ukidate na Gen Z kuwa makini, utajikuta TikTok

    Uzi tayari
  17. W

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndubaro amuongezea faini babu wa TikTok

    Seif Kisauji 'Babu wa TikTok' Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ameongeza adhabu ya faini kutoka shilingi milioni 3 hadi milioni 5 msanii Seif Kisauji maarufu 'Babu wa TikTok' akimtaka msanii huyo aombe msamaha hadharani kutokana na kosa la kurusha maudhui ya sanaa...
  18. Lanlady

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Napendekeza Tanzania iufunge Mtandao wa TikTok

    Watumiaji wengi wa TikTok hawana maadili. Badala ya kumfungia mtu mmoja mmoja, ni afadhali wakafungia mtandao, hadi pale elimu itakapotolewa kuhusu matumizi ya mtandao huo. Binafsi sina account ya mtandao lakini kwa video zinazotumwa kwenye mitandao mingine kutoka kwa watumiaji wake; inaonesha...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na ukubwa wa biashara ya ukahaba Tiktok, kweli siku hizi haina haja kujipanga Riverside

    Jana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu msipoteze muda wenu kusubiri hela za Google, Facebook na TikTok kwasababu ni hela za chai, mtachelewa kufanikiwa

    Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni Bali maendeleo haya yalipatikana kwa kufanya kazi kwa bidii kubwa ndipo mafanikio haya yakapatikana Nyumba mnazoziona Salasala, Mbezi...
Back
Top Bottom