tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania IJue U.T.I ,chanzo, dalili, madhara na tiba

    U.T.I NI NINI U.T.I. (yaani Urinary Tract Infection kwa kirefu) ni ugonjwa unaotokana na maambukizi (infection) katika mfumo wa mkojo (urinary tract). Maambukizi haya yanasababishwa na bakteria tunamuita E.coli ZIPI DALILI KUJUA UNA U.T.I 1. Kukojoa mara kwa mara na maumivu ukikojoa. Wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa GOUT, chanzo, dalili, madhara na tiba yake

    Gout/Jongo ni ugonjwa sungu wa jamii ya YABISI ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC. Mtaalamu wao wa tiba Hippocrates aliuita ugonjwa huu “Ugonjwa Wa Kumfanya Mtu Asitembee†na aliuhusisha...
  3. JamiiForums Tanzania Tiba ya kifafa hutegemea chanzo cha kifafa kama ifuatavyo

    Kifafa ni ugonjwa sugu wa neva unaosababishwa na mabadiliko ya ghafla ya mfumo wa umeme wa ubongo. Hali hii huleta mshituko na kusababisha mtetemeko (degedege), kukakamaa kwa mwili, na kupoteza fahamu Dalili za Kifafa Dalili hutegemea eneo la ubongo lililoathiriwa, lakini mara nyingi...
  4. JamiiForums Tanzania Ujue Mmea wa Mjaafari tiba za Vidonda vya tumbo

    Kutokea uzoefu wa elimu ya mimea tiba na uhusiano wake na elimu ya viungo vya mwili vilipo(Anatomy) na elimu ya mwili unavofanya kazi (Physiology), Huu ni muunganiko wa maarifa mengi yaliyo katika taarifa za kisayansi. Kwa mfano leo tuelezee uwezo-tiba wa Mjafari (Zanthoxylum chalybeum), lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa watalam wa tiba asilia. Je mtoto wa miaka 2 anaweza kutumia kitunguu swaumu?

    Habari wakuu. Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza?? Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote. BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
  6. JamiiForums Tanzania KWELI Inaelezwa kucheka ni tiba na huimarisha afya ya mwili

    Nimekutana na huu ujumbe Facebook je, kinachozungumzwa ni cha kweli? Kucheka si tu ishara ya furaha — ni tiba ya mwili na akili pia! Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa kucheka husaidia kupunguza msongo wa mawazo (stress), huimarisha kinga ya mwili, na hata kuboresha afya ya moyo. Wanasayansi...
  7. JamiiForums Tanzania Vaa KONDOMU. Kinga ni bora kuliko Tiba

    Vaa KONDOMU jikinge na maambukizi yasiyo na sababu. Kumekua na kawaida wanawake hawataki uvae condom wanataka upige kavu. Nakukumbusha vaa Condom.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Tiba ya ndoa hii hapa

    SIKILIZA kwa umakini utajifumza na ndoa Yako itastawi au utawsaidia wengi https://youtu.be/EE1cGJZuNmo?si=u8Fa9QNg-n9F9wkO
  9. JamiiForums Tanzania Maelezo ya jumla kuhushu miwasho na tiba yake

    Kuwashwa (Itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi unaokufanya utamani kukuna sehemu iliyoathirika unaweza Kuwashwa sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima KUWASHWA HUSABABISHWA NA NINI? Kuna sababu nyingi za Kuwashwa, ni pamoja na Kuzeeka kwa ngozi Kuvimba kwa ngozi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Amani za mioyo ni tiba kisaikolojia

    Habari ya muda mrefu wakuu…. Baada ya miezi mingi kupita hatimaye nimerudi tena Binti wa zamani do you see me?…… Hivi mnajua kuwa mioyo yetu inauhitaji wa amani muda wote hapa duniani,na je mnaju kuwa amani za mioyo zinachangia tiba kisaikolojia……anyway iko hivi katika maisha yetu...
  12. JamiiForums Tanzania Homa Sugu & Uchovu: Natafuta Tiba Asili

    Wakuu naomba msaada. Nina homa kwa siku 4 sasa. Mwili unachemka, viungo vinauma, najisikia mchovu sana na sina hamu ya kula. Nimemaliza dozi jana usiku lakini bado sijapata nafuu. Ningependa kujua kama kuna mtu amewahi kutumia natural remedies zilizomsaidia kupunguza homa, maumivu ya mwili...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya tonsils sugu bila kufanyiwa operation

    Tonsillitis ni ugonjwa unanisumbua karibu miaka 7 sasa ila currently zimefikia hatua mbaya. Nikimeza dawa siponi na nikichoma sindano zinapoa kisha zinarudi tena. Siwezi maliza mwezi au miezi miwili sijalala kitandani sababu ya tonsils. Nishajaribu dawa za kienyeji za kukoroga mchanganyo...
  14. JamiiForums Tanzania Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29. Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania TRAMEPRO Yasisitiza umuhimu wa Kulinda Urithi wa Mila, Utamaduni na Tiba Asili

    Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO) limetoa limesisitiza kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda urithi wa mila, utamaduni, tiba asili na mazingira kama nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya Taifa. TRAMEPRO inasisitiza kuwa maeneo ya mila, maarifa ya tiba...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Tiba ya Ngiri/Hernia kupitia Dawa za kihindi

    Aina nyingi za ngiri ama hernia zinatokea eneo la tumbo kati ya kifua na nyonga. Kwa watu wengi ngiri siyo tatizo linalohatarisha maisha japo ni tatizo lisiloisha lenyewe bila upasuaji ama dawa. Ngiri inasababishwa na kulegea kwa misuli na kupelekea nyama za kiungo kimoja kuota na kusukuma...
  17. JamiiForums Tanzania Ungependa utulivu? Tiba ya bure

    Hii mada ni maalum kwa wenye kupenda asili, ukimya utulivu na wenye kujitafuta kiroho ama kujitakasa Je umeshawahi kutembelea mwituni kwenye "Crystal clear water" yanayotirika kwa utulivu na sauti zenye mirindimo laini sana Sauti ya maji yanayotiririka katikati ya msitu ni moja kati ya midundo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuzorota kwa huduma za Tiba na Matunzo kwa WAVIU mkoa kwa Kagera kuanzia January 2026

    Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
  19. JamiiForums Tanzania Nitaelezea kisaikolojia chanzo na tiba ya Ile hali "mbaya" kimwili na kiakili unayosikia baada ya kuzini

    Hello bosses and roses... Ni muda sana sijaandika kuhusu spirituality na psychology lakini leo nmekutana na uzi wa jamaa mmoja analalamika kwamba hakuzini kwa miezi 6 ila baada ya kuzini tu anajisikia vibaya siku ya nne sasa. Iko hivi, kwanza kabisa kabla ya kuzini mara nyingi kuna moments za...
  20. JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la "Sinus Tachycardia" anayejua tiba yake aniambie nimechoka kuteseka

    Habari zenu, kwa mwaka sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la Sinus tachycardia, nimetumia propranolol miezi kibao ila zimenisaidia kupunguza maumivu tu ila sijapona. Mwenye tiba ya huu ugonjwa anipe suluhishi maana doctor aliniambia hiyo hali ukitumia dawa itatoweka ila hakuna kilichosaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…