thrdc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    THRDC NA MAIPAC yawanoa waandishi wa habari za mazingira

    Arusha. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Bbinaadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya Kusaidia Jamii za Asili (MAIPAC), imeanza kuwanoa wanahabari Kanda ya Kaskazini na Kati, kuandika vyema Habari za uchunguzi za mazingira. Uzinduzi wa mafunzo hayo, umefanyika leo...
  2. Bawabu wa pili

    PostGE2025 THRDC: Maridhiano yafanyike katika njia za ukweli, haki na uwajibikaji

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa taifa kuanzisha mapema mchakato wa maridhiano na uponyaji baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyotokea kuanzia Oktoba 29 na siku zilizofuatia. Kwa mujibu wa Wakili...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 THRDC: Iundwe Tume ya Ukweli, Uwajibikaji na Upatanishi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetaka kuundwa kwa Tume ya Ukweli, Uwajibikaji na Upatanishi akisema ndiyo njia pekee ya kulivusha taifa kutoka katika mgawanyiko mkubwa na majeraha ya kijamii yaliyosababishwa na matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025...
  4. McLaren

    PostGE2025 Onesmo Olengurumwa wa THRDC: Kuna waliokamatwa kwenye maandamano ambao ni chini ya miaka 18. Tunashauri waliokamatwa wote waachiwe

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kuachiliwa huru kwa watu wote waliokamatwa au kushikiliwa kutokana na tuhuma zinazohusiana na Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mratibu wa Kitaifa wa THRDC, Onesmo Olengurumwa, amesema tathmini ya awali inaonyesha kuwa zaidi ya...
  5. M

    PostGE2025 THRDC & TLS: Tunalaani vitendo vya mauaji na ukatili vilivyofanywa dhidi ya raia wasio na hatia wakati wa maandamano

    Tamko Kuhusu Matukio ya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 (29 Oktoba hadi 04 Novemba) 1.0 Utangulizi Tamko la Mtandao Wa Watetezi Wa Haki za Binadamu Tanzania na Chama Cha Wanasheria Tanganyika Kuhusu Matukio ya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Wakati wa Uchaguzi...
  6. M

    THRDC Walaani mwandishi wa Watetezi TV kukamatwa na kupigwa akiwa kazini

    Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith, Aliyechukuliwa tarehe 31/10/2025 na askari waliovalia kijeshi wakatiwa maandamano amepatikana ametupwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    THRDC Yalaani Polisi Kuwashikilia Waandishi wa Habari Arusha Zaidi ya Saa 24 Bila Dhamana

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umelaani vikali Suala la Jeshi la Polisi kuwashikilia kwa zaidi ya saa 24 waandishi wawili wa habari Arusha, bila kuwapa dhamana. Waandishi hao ni Baraka Lucas wa Jambo TV na Ezekiel Mollel wa Manara TV, ambao walikamatwa Septemba 6, 2025...
  8. S

    GE2025 Mkurugenzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa aibua mjadala kukatwa jina la Luhaga Mpina vikao vya CCM

    Unfortunately sijajua tunataka wabunge wa aina gani - nilisifia hizi kanuni mpya za chama upande mmoja kuwa imeongeza watu wengi kupiga kura na kupunguza rushwa ila nikaonyesha hatari ya utaratibu wa kurudisha majina matatu inaweza italeta shida sana kwa wale wabunge wanaosimamia haki za jamii...
  9. N

    THRDC: Walaani matumizi ya nguvu yaliyotumiwa na Jeshi la Polisi dhidi ya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kusikitishwa na kulaani vikali kile ilichokiita ukiukwaji wa Haki za Binadamu uliofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima jijini Dar es Salaam, baada ya tukio la kuwapiga, kuwaumiza na kuwakamata...
  10. N

    THRDC: Serikali na Kanisa la Ufufuo na Uzima wakae meza moja wamalize mvutano

    DMtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito kwa Serikali, kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani na Jeshi la Polisi, kukaa meza moja na uongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa lengo la kuhitimisha mvutano unaoendelea kwa njia ya mazungumzo ya amani na maridhiano. Pichani...
  11. upupu255

    SI KWELI PreGE2025 THRDC yasema viongozi wa dini wasiingilie siasa

  12. McLaren

    PreGE2025 Mkurugenzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa: Ilani ya CCM imejibu mchakato w Katiba Mpya

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema wao kama asasi za kiraia kila uchaguzi wamekuwa wakiandaa ajenda za wananchi kupitia ilani ya asasi za kiraia na kukabidhi kwa vyama vya siasa kabla hawajaandaa ilani zao. Ngurumwa amesema kuwa Ilani ya...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda wanashikiliwa na Jeshi La Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam. Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili...
  14. I

    PreGE2025 Olengurumwa : Tuwe na tume maalum ya kudumu ya kuchunguza matukio ambayo vyombo vya usalama vinatuhumiwa "wasijichunguze wenyewe"

    Kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa May 4, 2025 kuhusu kufuatilia na kuchunguza tuhuma zilizotolewa na Mwananchi (ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa) kupitia Mitandao ya Kijamii, akiwatuhumu askari Wawili kuwa walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi huku wakitaka...
  15. W

    PreGE2025 THRDC: Wanahabari wapewe maarifa ya kisheria kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umewakutanisha wanahabari 150 kutoka maeneo mbalimbali nchi ili kuwawezesha kuelewa sheria za uchaguzi,maadili ya kazi,usalama kazini na wajibu wao katika kulinda haki za binadamu kipindi cha uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025. Akizungumza...
  16. N

    PreGE2025 THRDC: Serikali isikilize sauti ya upinzani, matumizi ya nguvu hayawezi kutuletea mshikamano

    Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC),Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kuwa wamesikitishwa na tukio la kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA leo Aprili 24, 2025, wakati wakielekea Mahakama ya Kisutu kushiriki usikilizaji wa kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Antiphas...
  17. M

    PreGE2025 THRDC yapendekeza mambo 10 ya muafaka wa Kitaifa kufanikisha Uchaguzi wa Amani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kupatikana kwa Muafaka wa Kitaifa utakaoliwezesha taifa kuelekea kwenye uchaguzi kwa umoja, utulivu na mshikamano. Kwa mujibu wa THRDC, muafaka huo ni muhimu kwani utatoa fursa ya kushughulikia changamoto na dukuduku...
  18. Roving Journalist

    PreGE2025 THRDC: Tumesikitishwa na kukamatwa kwa Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini, DPP aondoe shtaka hilo Mahakamani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha mashtaka kuondoa kesi hiyo au kubadili hati ya mashtaka ili kumuwezesha kuachiliwa kwa dhamana...
  19. The Palm Beach

    THRDC waunga mkono na kuifafanua kwa ufasaha movement ya Watanzania ya NO REFORMS, NO ELECTION inayoongozwa na CHADEMA

    https://youtu.be/cQ8my9Fu7jU?si=8G2_TzDMHKYELqgD ➡Huyu hapa ni Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya kiraia ya kulinda na kutetea haki za binadamu - Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) Bwana Onesmo Olengurumwa akifafanua dhana dhima ya kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya kikanuni...
Back
Top Bottom