Ligi ya TFF ina timu ambazo zimethibitika hata CAF kuwa zinafanya uchawi michezoni hadi zikapewa adhabu na CAF. TFF wanajua kuwa kuna timu ziliomba uongozi wa uwanja wa taifa iwaruhusu wafanye uchawi kwenye mechi za kimataifa. Tff inafahamu kuwa kuna timu zimewahi kumwaga chumvi uwanjani...