tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

    Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind. This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...... Mwangalie ndani ya macho mmh, aah, mpeleke kando, na umwambie (na umwambie)....... Commit a crime...
  2. Alichosema Netanyahu ni sawa na anayosema Zelensky na ni kukiri kuwa Israel haiwezi tena kupigana na Hizbullah.

    Hapo jana Benjamin Netanyahu,waziri mkuu wa Israel amemlalamikia raisi Biden wa Marekani kwamba amezuia shehena ya silaha tangu mwezi Mei na hiyo ndiyo sababu ya kudorora kuipiga Rafah ili kufikia malengo. Kwenye video fupi ya malalamiko hayo Netanyahu amejipa moyo kwamba katika ziara ya karibu...
  3. Mo Dewji: Nitatoa majina ya wajumbe wa Bodi Saa 2:30 Usiku

    Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku. Unahisi jina gani halitokosekana? ===== Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
  4. Safari ya Maanguko: Jinsi Betting Ilivyomfikisha Alex Kwenye Umasikini na Safari Yake ya Kuinuka Tena

    Hapo zamani za hivi karibuni, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye John. John alikuwa na rafiki yake wa karibu sana aitwaye Alex. Alex alikuwa kijana mwerevu, mwenye kipaji, na mwenye ndoto kubwa za kufanikiwa maishani. Alipokuwa shuleni, Alex alikuwa akiota kuwa mfanyabiashara mkubwa na kupata...
  5. G

    Simu yangu iliyoharibika nimeiweka ndani kwa miezi minne lakini kwa amani nayoipata sitamani tena kuitengeneza, peace of mind ni kitu muhimu sana

    Simu yangu iliharibika, gharama za kuifufua zilikuwa ni kubwa sana kwangu, nikasema nitulie kwanza nijichange nije kuifufa hapo baadae. simu mpya nayotumia ina namba mpya ya whatsapp, ni wachache sana wanaijua. Namba yangu ya wharsapp iliyozoeleka sijaitumia miezi minne. Kwa sasa amani...
  6. Q NET imerudi tena kwa kasi sasa inafanya utapeli mikoa ya kusini (Songea, Mtwara ,Njombe, Iringa)

    Nashindwa niandike kwa namna ipi ili ieleweke kwamba hakuna pesa za bure, vijana tufanye kazi hata kama ajira hakuna Ila tufanye kazi tu hizo hizo za windani umachinga . Ipo hivi.. Pwani-mlandizi mtaa wa tanesco kalibu na idara ya maji pale (Mara yangu ya kwanza kufika), QNET wamekodi nyumba...
  7. C

    Papa Fransis kikaangoni tena, arudia kauli yake dhidi ya ushoga kwenye kikao cha faragha

    Roma — Papa ametumia tena neno la dharau dhidi ya mashoga ambalo tayari alikuwa ameomba msamaha mwezi uliopita, shirika la habari la ANSA lilisema Jumanne. Vyombo vya habari vya Italia vilihusisha papa kutumia neno chafu la Kiitaliano linalotafsiriwa kama "f*****ry," tarehe 20 Mei wakati wa...
  8. A

    PreGE2025 Prof. Mkumbo mitano tena Ubungo

    Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena? CCM oyeeee!
  9. Wasomali wanyukana tena baina ya koo, 55 wauawa

    Wote dini moja ya kiislamu, lugha moja ila kama ilivyo kwa binadamu lazima atafute sababu za kuuana, hawa wanauana baina ya ukoo kwa ukoo. ================== A violent clash over the weekend between two clans in central Somalia has killed at least 55 people and injured another 155, residents...
  10. Una kitu/kifaa chochote haukihitaji tena au umechoka kukitumia? Karibu nikusaidie kukiuza haraka🙏

    Wakuu i hope mko poa wote. Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni gharama sana , na wewe labda unacho na haukihitaji tena, na bado kiko vizuri, basi utasema price...
  11. Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Habari za muda huu wana JF, Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya. Mfano, Mimi niliwahi kutembelea...
  12. A

    Hamas kafanya tena, amevuka mpaka wa Israel na Kushmbulia Camp ya Jeshi

    Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital...
  13. Tetesi: Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi

    KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba usiku huu. Huenda kufikia kesho yakatokea mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try Again' na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Rashid Shangazi wamegomea uamuzi wa Rais wa heshima wa...
  14. Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

    Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar. Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji...
  15. Mauaji ya watu wenye ualbino yameanza tena kipindi hiki cha uchaguzi

    #HABARI Jeshi la polisi mkoani Kagera linawahoji watu 3 akiwemo baba mzazi wa mtoto Asimwe Novart (2) kwa tuhuma za kuhusika na kuibwa kwa mtoto huyo Mei 30 nyumbani kwao katika Kitongoji cha Mbale wilayani Muleba. Mtoto huyo mwenye ulemavu wa ngozi aliibwa baada ya mama yake mzazi kulaghaiwa...
  16. SoC04 Ajira sio ndoto tena, ni haki: Kutetea haki ya kila kijana kupata ajira bora nchini Tanzania

    Utangulizi: Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
  17. L

    Fred Lowassa ampongeza Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuwa alimtendea haki Baba yake 2015. Amuomba akasimamie kanuni zisikanyagwe tena

    Ndugu zangu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara akitokea Mkoani...
  18. Narudia tena akili ya mbantu haiwezi kufanya biashara. Graphic designer kadengua kazi ya zaidi ya laki 5 then baadae anaitaka tena

    Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote. Bajeti ya sista kwa picha ni sh. Elfu 5 kwa kila picha. Mimi huyo nikaenda mpaka kwa ofisi ya brother mmoja anafanyaga...
  19. Arusha: Vibaka wameanza kuwavamia hadi wanafunzi wadogo na kuwapora vitu vyao. Mdogo wangu ni miongoni mwa walioporwa

    Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule. Wengine wamevamiwa walipokuwa nje ya shule kwa manunuzi kidogo , wamenyang'anywa kila walichokuwa nacho kuanzia kadi ya benki hadi...
  20. Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…