tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Muuza madafu tena

    Cc Muuza madafu wa Ikulu
  2. Tajiri wa Simba haidi tena nguruwe octb 19 kila goli umekuwa kimya sana na simba yetu

    Huyu mmh anaipenda sana simba Na n mfanyabiashara maarufu sana huko dom April alihaidi kutoa nguruwe 5 kila goli nahisi alijua hawashindi Sasa this tym katoa pesa kwa kamara wa simbaaaa kwa kuisaidia simba Wanasimba tunaombaa ahaidi tenaa nguruwe tano kila goli na asiseme mpaka kushindaa...
  3. Napata mkojo mchafu pamoja na maumivu, kinyesi kigumu na homa kali, ni dalili ya ugonjwa gani?

    Habarini wakuu naomben msaada kabla sijaenda kusemwa na daktar kibofu kinaniuma, napata mkojo mchafu na maumivu pia wakat wa haja ndogo, natoa kinyes kigumu sana na ninasikia Homa kwa mbali. Hizi zitakua dalili za nini wakuu?
  4. W

    Trump: Sitagombea tena Urais Nikishindwa Uchaguzi huu

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (78), amesema hatarajii kugombea tena kwenye uchaguzi wa urais mwaka 2028 iwapo atashindwa katika uchaguzi wa Novemba 2024. Akizungumza na Sinclair Media Group, Trump aliulizwa kama anaweza kufikiria kugombea tena endapo atashindwa uchaguzi wa mwaka...
  5. R

    Siku nyingine tena, 23/9/2024, Mbowe et al should not be killed. Polisi msiue watu!

    Natoa rai kwa polisi , msiue watu! Msiue watu please! Rais Samia, usiue watu, epusha kumwaga damu ya watu wasio na hatia!
  6. S

    Tahadhali kwa wenye mamlaka: Watu wamekataa tamaa na hawaogopi tena risasi wala kukaa mahabusu au kwenda jela

    Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k. Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona...
  7. Serikali isitishe mishahara kwa watumishi waliorudi masomoni ni upotevu wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa

    Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa. Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
  8. L

    Kama wewe ni mwana Simba na kesho Simba inacheza halafu huendi kuisapoti kumkaanga Mwarabu naomba ukae pembeni na usiishangilie tena Simba, huna faida

    Kesho kwetu ni siku muhimu mno kuliko Simba day, kesho ndio ile Ubaya Ubwela yetu sisi. Sasa Kama ulkuwa ukienda uwanjani kuiangalia Simba ikicheza na Fountain gate, ukaenda Simba day ndugu yangu wa faida, kesho ndio cku muhimu kuliko cku zote katika maisha ya Simba msimu huu. Tusipokwenda...
  9. M

    Yanga akiingia robo fainali tena kile kichaka cha rank kinakuwa kimefyekwa rasmi!

    Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8 Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama ataishia makundi! Simba anazo alama 39, akiingia makundi anaongeza alama 1×5=5, ukijumlisha na alama...
  10. M

    KWELI Makamu wa Rais akishika nafasi ya Rais kwa muda wa miaka 3 au zaidi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu

    Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha kwa kufariki akiwa madarakani, kujiudhuru au sababu za kiafya. Mjadala umechagizwa na kauli ya...
  11. CHADEMA Someni Tena Thread Yangu ya Julai 2021; Sitisha Maandamano ya 23/09, Mnakosea Sana

    Hata kama wana sababu 1,000 za kuandamana wasitishe tu. Huu siyo wakati mwafaka wa kuandamana. Maandamano yapo kwenye JF na Twitter tu, ila mitaani watu wana mishe zao. Narudisha ushauri wangu wa Julai 2021, anagalieni mnapokosea...
  12. M

    Iran na Hezbollah wamegundua teknolojia mpya ya Mawasiliano ambayo Israel kamwe haitawadukua tena.

  13. Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
  14. M

    Shida ya maji yaanza tena kama ilivyo ada katika miezi hii ya September, October na November

    Kama ilivyo kawaida, inapofika miezi ya 9, 10 na 11 Shida ya maji huwa kubwa katika jiji la Dar es salaam. Cha ajabu jili jambo lipo kwa miaka nenda rudi, lakini Serikali hii dhaifu ya CCM, isiyojielewa, iliyoshindwa kusolve ishu za msingi kama maji halafu inadhani bado ina legitimacy mbele ya...
  15. Kwanini Mwanamke akigundua kakaa vibaya kwenye public na watu wameona hukosa tena confidence ila kwa wanaume wao hawajali kitu?

    Kuna mahala nilikuwa katika Kikao kidogo ndani ya Ukumbi na kuna Dada kwa kutokujua kuwa alikuwa anatuonyesha Video ya bure ya kilichopo katikati ya Miguu yake (ila Kimefunikwa) na alipojulishwa na Mwenzake akakaa vizuri na kutunyima Uhondo wazee wa Chabo na ghafla Confidence yake ikashuka na...
  16. Kipindupindu charejea tena Nchini Malawi, Watu 22 wameambukizwa, mmoja amefariki

    Serikali imetangaza kurejea kwa Ugonjwa wa Kipindupindu nchini humo ikiwa ni ndani ya miezi miwili tangu iliporipotiwa kumalizika kwa maambukizi. George Jobe, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Usawa wa Afya, amesema "Matarajio yetu tungepumua kwa muda mrefu zaidi, haswa ikizingatiwa mwaka 2022...
  17. App zetu za mikopo umiza mmezifanya nini tena wazee?

    Ah wapi! Sitoi salamu Serikali mbona mnatunyanyasa asee?. Mnataka sisi hela za nyagi tuzitolee wapi? Jamaa tumeshawazoea kupigizana kelele mikwara kibao. Leo nimeamua kutafuta bifu na bahari pesa miksa finiloan naona zote zimefungiwa. Kalaga Baho
  18. B

    Geita: Mchungaji wa GGIS atekwa wilayani Bukombe akiwa dukani kwake

    TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake. WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruiser yenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi wakamkamata kwa nguvu kwa kumvamia na kumuingiza kwenye ngari baadaye kuondoa gari kwa harakaharaka na...
  19. Trump atangaza kutoshiriki tena midahalo ya urais

    Mgombea urais wa chama Republican huko USA, Donald Trump ametangaza rasmi kususia midahalo yoyote ya urais inayomkutanisha na Kamala Harris. Uamuzi huu umekuja siku moja tu baada ya Trump kuhenyeshwa vibaya na mpinzani wake wa chama cha Democrat, mwanamama Kamala Harris kwenye mdahalo wa kwanza...
  20. iPhone 16 zimetoka muda wa kuumia tena umefika

    Hahh wale masista duuu Depal na nyie vibiuhandsom boy wa makumbusho mixer virasta na mkorogo muda wa kumkaribisha mgeni nyumani na chooni Msijali mwakani muda kama huu pia mtateseka kwa desing ileile na ai features Karibuni tuchangie mada tusiwasahau walionunua iphone 16 used makumbusho
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…