tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Hautapigwa Penalty Tena Kama Utazikumbuka Hizi Tarehe

    Wewe kama mfanya biashara mara kadhaa unaweza kuchelewa au kusahau ku file taxes zako kutokana na sababu kadha wa kadha. Lakini vipi kama nikikwambia Kuna tarehe 3 tuu ambazo ukizishika hauta Chelewa tena ku file taxes? Yes ni tarehe 7, 20 na 28 Ngoja nikuvunjie hapa chini ili ujue ni tarehe...
  2. Huku Polepole atakuwa na Press Conference mara tena Askofu Gwajima nae atakuwa na Press Conference nyie endeleeni tu kutufanya Watanzania ni Fools

    Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu? Halafu nikiwaambia hamna Akili...
  3. J

    Mwaka 2020 kwenye Kila Vizazi hai Vya Mifugo 100 Mifugo 27 ilikufa Mwaka 2024 Vifo Vimepungua hadi Mifugo 12 tu,Tunamtaka Samia Tena.

    SASA, KATIKA KILA VIZAZI HAI VYA MIFUGO 100 MIFUGO 12 TU HUFA KUTOKA MIFUGO 27 MWAKA 2020 KUTOKA NA SABABU MBALIMBALI. Rais Samia amepunguza kwa 225% Vifo vya Mifugo vitokanavyo na magonjwa mbalimbali Kwa kuanzisha mipango ya kutoa ruzuku ya mbegu na madawa(chanjo) Kwa Wakulima | Wafugaji...
  4. Msinitag, mimi siyo tena mshabiki wa Simba

    Naona watu wanafukunyua nyuzi na post zangu za nyuma na kunitag ili kunizodoa. Napenda kuwajulisha kuwa mimi siyo tena mshabiki wa Simba. Nimechukua likizo isiyo na muda maalumu katika mpira wa bongo. Pale nafsi yangu itakapokubali kurudi kufuatilia mpira wa Tanzania nitafanya hivyo ila nimeona...
  5. "Wamisionari walileta Biblia na kutuambia tufumbe macho tuombe. Tulipoyafumbua tena, tayari walikuwa wamechukua ardhi yetu."

    Kwa kweli, muunganiko wa viongozi wa kisiasa na wa kidini mara nyingi si wa bahati mbaya—ni wa kimkakati. Unalenga kudhibiti fikra, hisia, na nguvu ya watu kwa pamoja. Tukiitazama kwa jicho la kifalsafa, hapa ndipo tunakutana na kile wanazuoni wanakiita: “Ushirikiano kati ya upanga na...
  6. Sasa hivi maisha hayachangamishi tena; mbadala ni nini?

    Tanzania ya leo bila NBC premier league, maisha hayachangamsihi tena. SIasa za uchaguzi ndiyo zimekuwa za hovyo kabisa; tuna CCM inayoenedsha mambo yao kwa mabavu kifalme na CHADEMA inayoendesha mambo yao kipatapotea bila malengo thabiti yenye mvuto - lengo lao CHADEMA ni kuiondoa CCM...
  7. Chadema mkishinda uchaguzi ,watumishi wa umma waliostafu, wasirudishwe kazini tena!

    Watumishi wanastastafu, lakini BAdo, CCM na serikali yake wanaendelea kuwakumbatia, wanaungeza gape ya uhaba wa ajira, kuna wafanyakazi tangu enzi NYERERE wapo BAdo serikalini. Thinking tank ya CCM ,imekufa ndo maana watumishi wengi za serikali , walio stafu wanaogopa kusimama upande wa...
  8. Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

    Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo. Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa. Hakuwaacha hapo tu, kawaambia...
  9. Ni Izato, soyo tena Mbenge

    Imwe, Igele, Izato,.. kwa kabila la Wakikuyu, Ila kwa lugha ya Kiswahili maana yake ni Moja, Mbili, Tatu,... Kwa nini iwe Izato na wala siyo tena Mbenge kama vile ilivyokuwa hapo awali!? Sababu kubwa ni baada ya kubaini kuna huduma ya kiroho ya Kikristo yenye kuongozwa na Mch. Mbenge. Kwa...
  10. Serikali ya DRC yajiandaa kwa vita tena

    Kwa kinachoonekana, ni kuwa serikali ya DRC imejiandaa kuanzisha mashambulizi mapya kwa AFC/M23. Hapo jana, kundi la wanajeshi na mamluki, walitua uwanja wa ndege wa Kalemie, na Badae kuelekea Uvira. Uvira bado ilikuwa mikononi mwa FARDC,Wazalendo na jeshi la Burundi. Hapo, Doha, nchini Qatar...
  11. Hakuna tena ubabaishaji kwenye utengenezaji wa feed formulas kwa ajili ya mifugo

    Hakuna tena haja ya kutengeneza vyakula vya mifugo usovyojua matokeo yake kwenye ulishaji,mchawi computer,cha msingi unapaswa kujua ingredients zinazotakiwa kwenye utengenezaji wa vyakula vya mifugo,pia ujue viwango vya viini lishen Vya ingridient mojamoja kama...
  12. waandishi wa habari ni wanasiasa Wana vyama vyao ndio maana wanaandika habari za upande mmoja nchi yetu Haina Tena hazina ya waandishi tuna machawa !

    Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
  13. Iran yafunga anga lake kwa ndege za kiraia,je mtifuano kuanza tena!?

    Iran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya Marekani yakiripotiwa kutua uwanja wa ndege ben gurion kwa wingi Juzi mchambuzi mmoja wa siasa Iran...
  14. Matangazo ya Online: Siyo Tena Hiari, Ni Silaha ya Maisha ya Kidijitali

    Wakati wengine wanangoja “wateja waje wenyewe,” walioamka wanawalipia wateja wao waje sasa hivi. Dunia haingoji tena, matangazo ya online ndiyo silaha ya kila mfanyabiashara mwenye akili ya kiuchumi. Zamani biashara ilikuwa ya kupiga kelele sokoni au kuweka bango barabarani. Sasa dunia iko...
  15. Yuko wapi Lodi Music? Anajua sana!

    Nimejikuta hapa .. nikamkumbuka. Yuko Wapi now Lodi Music?
  16. K

    Hivi kweli CCM kupitia Tanzania mnaenda kukubali mama awe Rais tena miaka mitano mingine?

    Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku, Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri, Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka...
  17. Naishauri Iran Kama vita vikianza tena waanze kupiga base za Marekani zilizopo karibu naye

    just what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda. Hapo middle east Israel kapandikizwa,wakristo mtanisamehe.
  18. Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu

    Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu- katika "muda wa miezi kadhaa", mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia amesema. Rafael Grossi, mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), alisema mashambulizi ya...
  19. GE2025 Mbunge Salim autaka tena ubunge Jimbo la Ulanga

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga (2020 - 2025), Salim Alaudin Hasham amechukua fomu ya kuwania ubunge wa jimbo hilo akiomba dhamana ya ubunge wa jimbo hilo 2025 - 2030. Baada ya kuchukua fomu hiyo Salim amesema, “Wana Ulanga wameona kazi nilizofanya kwa miaka mitano, na nimeitikia wito wao wa kutaka...
  20. Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

    Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…