teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi. MTU Kama mirradayo , diamond n.k Max Melo Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
  2. JamiiForums Tanzania NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Tanzania tuna teknolojia inayoweza kuangalia Saratani inayoweza kujitokeza miaka 10 ijayo mwilini

    Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Sekta ya Afya imepiga hatua kubwa nchini kutokana na maendeleo mbalimbali yaliyofanyika kutokana na uwekezaji uliofanywa na Serikali. Dkt. Godwin Mollel amesema Shilingi Trilioni 6.7 zilizotolewa na Serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Teknolojia ni nini?

    Guys nisaidieni kujua maana ya teknolojia
  5. JamiiForums Tanzania Walimu na kada nyingine zikipelekwa Qatar yatajirudia ya madereva, bado tuko mwaka 47 wakati wenzetu wanakimbia na teknolojia!

    Wakuu, Katika kada karibu zote tuko nyuma sana kitekknolojia, hata ambao ungetegemea wawe updated nao mambo ni yale yale. Mfano waandishi wa habari, mambo yanabadilika kila leo, sasa tuna mitandao ya kijamii na nyenzo za kadhaa ambazo ukilinganisha na vinavyofundishwa huko vyuoni ni huzuni na...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna siku wapinga teknolojia watakuja wengi hapa JF kulalamika ajira

    2025 kama naona ndio ajira zinaelekea mwishoni nchi nyingi sana na afrika. Sasa hakuna ulazima wa kuendesha magari wakati magari yana jiendesha. Uwezi kuajiri wafanyakazi wengi wakati kuna mashine zinazoweza kufanya kazi zaidi ya wafanyakazi. Jeshini na polisi nako naona marobot yanaanza...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati

    Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alipokutana na Mwenyeji wake...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asimulia Madereva 75 wa Tanzania walivyofeli kuendesha magari Qatar

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam...
  9. JamiiForums Tanzania Teknolojia Inatu-Cheat Live! AI Ina-Drain Ubongo Wetu Bila Hata Kutugusa!

    Wacha nikwambie kitu moja straight up bila kuzungusha — hii AI ni kama dope mpya ya kizazi cha dot com. Inakufanya ujione mwerevu, lakini deep down ina-slow kill akili zako. You feel me? Yani mtu anakaa home, hawezi hata kuandika paragraph bila kumtumia ChatGPT. Bro, that’s soft! That ain’t it...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Teknolojia Inatufanya Tuishi Maisha ya Kujitenga Zaidi?

    Habarini wana JF; Hebu tuchangamshe genge Kama Title inavyosomeka hapo juu, Katika dunia ya sasa, teknolojia imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Simu zetu mahiri, mitandao ya kijamii, na majukwaa ya mawasiliano yamerahisisha sana kuwasiliana, lakini swali linabaki: Je, tunazidi kujitenga...
  11. JamiiForums Tanzania Kama waafrika ndio wangegundua teknolojia zinazotusaidia leo, hadi sasa zingekua mali ya wachache, wangeficha.

    We fikiria, Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri. Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia? Yani kwanini watu wa kijijini watembee kwa miguu umbali mrefu km ungo upo? Kama internet ingegunduliwa Africa, watu...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

    Wakuu, Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya. Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Je, teknolojia inatuimarisha au inatufanya kuwa wazembe?

    JE, TEKNOLOJIA INATUIMARISHA AU INATUFANYA TUWE WAZEMBE? Teknolojia imeleta maendeleo makubwa, lakini pia imeibua changamoto. Inawezesha maisha rahisi kwa kurahisisha kazi, kuongeza ufanisi, na kurahisisha mawasiliano. Watu wanapata elimu mtandaoni, fursa za ajira zimeongezeka, na dunia...
  14. JamiiForums Tanzania JINSI TEKNOLOJIA INAVYOSAIDIA WATU WENYE ULEMAVU.

    Jinsi Teknolojia Inavyoboresha Maisha ya Watu Wenye Ulemavu Katika dunia ya leo ya kidijitali, teknolojia si tu nyenzo ya maendeleo bali pia mkombozi mkubwa kwa watu wenye ulemavu. Iwe ni ulemavu wa kuona, kusikia, kutembea au kujifunza, kuna suluhisho nyingi zinazorahisisha maisha na kuongeza...
  15. JamiiForums Tanzania Nachukizwa sana na baadhi ya nchi zinazoadhibu mitandao ya kijamii kwa kisingizio cha kuvunja Sheria, madhumuni ya nchi hizi ni kudhoofisha teknolojia

    Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria. Mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Kama sayansi na teknolojia zingekuwa zinatokea CCM hata hii JF isingekuwepo

    Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli. Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Waandishi wa habari msilemazwe na kufubaa na teknolojia, ya akili mnemba

    "Nawaonea wivu kwasababu sisi tulikuwa tunatuma habari kwa simu. Baadaye zikaja teknolojia nyingine. Ninyi mmepiga hatua lakini hata nyie msilemazwe na kufubaa na teknolojia, hata hii akili mnemba imeundwa na binadamu na inachukua maudhui kutoka kwa watu. Nawashukuru wadau wote na mliotoka nje...
  18. JamiiForums Tanzania TRA lazima iwajibike na imekurupuka, uwezo wa NBAA ni mdogo sana kwenye tansia ya teknolojia na engineering

    Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ya kisasa: Haki, teknolojia, na siasa za amani—tunapokwenda kwenye uchaguzi mkuu

    TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba 202504102000008606 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu kwa njia ya mtandao, kupitia tovuti rasmi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke akipigwa picha za uchi, au kuvujisha picha za uchi huyo asitegemee kupata mwanaume wa maana maisha yake yote ndo imetoka hiyo

    Mwijaku anachofanya ni kuua destiny za hawa watoto wa kike. Mfano hawa mabinti wote unafikiri nani atakaa aoe wanawake wa sampuli Kama hizi. Ukiachana na Mwijaku kuendeshwa na ngono Ila bado hajui kuwa privacy is power . Mwanake Anategema past yake ili aolewe Ila mwanaume hategemei past wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…