Kenya had 78.3 million mobile phones linked to its networks as of the end of December 2025. Of those, 29,620,022 were feature phones and 48,726,982 were smartphones.
There are already about 20 million more smartphones than feature phones, and the difference is growing every quarter.
A year...
Kama umeweza kusoma mchezo wa hapa bongo kwenye designing ya hardware au software products kumejaa utapeli.
Kwasasa kuna low quality work mno hasa kwenye kazi za mobile application, websites yaaani app au web ya mbongo utaijua tu nyingi zipo hovyo mno ingawa wahandisi wazuri wapo lakini...
Habari wakuu
Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that.
Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata connection hasa za whatsapp ili kukutana na wataalamu mbalimbali katika group hizo.
ASANTENI SANA.🙏🙏🙏
EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?
Utangulizi
Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi, hasa mtandaoni. Wauzaji wa kemikali za ujenzi, wakandarasi, mafundi pamoja na wamiliki wa majengo...
Router zenye uwezo mkubwa bei yake ipo juu sana. Sasa nikaanza kufanya research ya kama PC ikiwa na Windows OS ya kawaida kama inaweza kufanya kazi kama Router. Nilihangaika mpaka kuja kupata majibu kuwa kama unataka kutumia PC yako kama Router basi inabidi usasishe (install) OS ambayo ni...
YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private.
Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia,
Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu.
Angalia video yake sio poa 👇
Na Mwandishi Wetu.
KAMPUNI ya Mati Super Brands Ltd kupitia tawi lake la Mati Technology imezindua teknolojia mpya ya ndege nyuki (drone) zinazotengenezwa nchini, zenye uwezo wa kuboresha sekta ya kilimo na huduma nyingine za kijamii.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mati Group of Companies, David...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tcra) imetoa mwongozo mpya itakayoweza kubadilisha namna ambavyo Watanzania wanavyopata huduma za simu.
🗯️ Mwongozo mpya utoaji wa mawasiliano ya moja kwa moja toka kwenye simu kwenda kwenye satellite, iliyotolewa julai 2025, huruhusu simu za mkononi...
🔷 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – GPMSC TECHNOLOGY & BANKING COMPANY 🔷
---
GPMSC TECHNOLOGY & BANKING COMPANY, taasisi inayoongoza kwa huduma za kibunifu za kiteknolojia na kifedha, ikiwa ni kampuni na benki ya kisasa yenye makao makuu Bugarika, Mwanza – Tanzania, inatangaza nafasi za kazi kwa...
Kampuni ya GPMSC Technology company.
Inatoa nafasi 24
Vigezo
1. Uwe Mwanza.
2. Accountant Nafasi 4
3. HR nafasi 4.
4. Wanasheria nafasi 4.
4. Secretary nafasi 4
5. IT nafasi 4
6. Afisa mahusiano, nafasi 4
7. Wote muwe na TIN number binafsi za TRA. NIDA number.
8. Cheti ni kwa Secretary.
9...
Kuna kitu mpk leo najiuliza perform ya dogo ukimuona ni kweli alikuwa anajitambua kabisa kwa sasa naigiza au nyingi NI edit Tu za computer kumbuka movie unatoka hata ai tools ilikuwa bado kuanza.
Karibuni Sana wells technology wachimbaji wa visima vya maji safi na salama borehole
gharama za uchimbaji kisima ni kwa mita
Dar es salaam na pwani mita moja 90,000
Mikoani mita moja 140000
Gharama zinacover uchimbaji mpk kufunga pump
mawasiliano 0657710078
. 0769509666
Jaman watanzania nahamasisha muamko katika teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology ) kwa sababu kuna baadh ya nchi za Afrika zimepiga hatua katika hii teknolojia na zinaitumia katika ustaw wa Jamii na nchi zao,..
Nchi kama Kenya, .Ghana, Nigeria na kadhalika zimesharasimisha...
Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia...
Matatizo mengi yanasababishwa na uwezo mdogo wa Elimu
Elimu ya kikoloni
Wenzetu wanaendelea kwa kasi Kwa sababu ya elimu yao ibo vizuri
Na technology
Ni bora mtu asomee kitu atakachobobea awe mtaalamu zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.