tcu

  1. JamiiForums Tanzania TCU: Wahitimu wa vyuo 2024, fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zaongoza kuwa na wahitimu wengi, matazizo ya kifedha sababu kukatisha masomo

    Wakuu, Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zinaongoza kuwa na wahitimu wengi, Pia usawa wa kijinsia unaimarika kwani idadi...
  2. JamiiForums Tanzania TCU ya Wizara ya Elimu unapofuta KOZI kwenye Vyuo Vikuu, toa sababu , Jamii izipime kama Zina mantiki au Uhuni tu wa Siasa dhidi ya KANISA !!

    Nina Wasiwasi sana Sababu za Kisiasa Dhidi ya KANISA ndio zinaweza kua Nyuma ya TCU kufuta baadhi ya KOZI chuo Kikuu cha SAUT !. Kwa sababu hizohizo KOZI bado zinaendelea kutolewa kwenye Vyuo Vikuu vingine Nchini . Kuichomekea UDOM, ili tuone na Chuo Kikuu Cha Serikali nacho kimeguswa, ni...
  3. JamiiForums Tanzania Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yafungua Dirisha la Udahili kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026

    KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA ΚΑΤΙΚΑ TAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu ndani na nje ya nchi kuwa dirisha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mnitumie kitabu cha TCU chenye courses na maelekezo yake

    Wakuu naomba mnitumie kitabu cha TCU chenye courses na maelekezo yake
  5. JamiiForums Tanzania Ofisi za TCU Dar zinapatikana wapi?

    Habari ya Leo wana jamii forums wenzangu, Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za TCU dar es salaam. Asante
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuhama diploma under NACTVET kwenda TCU?

    Habari Wana JamiiForums, The home of great thinkers. Moja kwa moja niende kwenye mada. Kuna dogo yeye anasoma chuo fulani Cha diploma kozi ya diagnostic radiography cha private. Sasa kutokana na kile chuo kutokuwa na facilities za kutosha anahitaji kuhama kwenda vyuo vingine vya serikali maana...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Connection TCU??

    Habari, wakubwa naombeni mwenye connection TCU anisaidie plz🙏🙏
  8. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa TCU na baadhi ya vyuo wasitishe kwa muda udahili wa kozi ya ualimu

    Juzi tumeona waziri mkuu Majaliwa kassim Majaliwa bila aibu akisimama na kuipigia debe taasisi ya VETA ianze kudahili wanafunzi wenye degree.. na hii kutokana na uwepo wa wahitimu wengi wenye degree wasiokuwa na Ajira na moja ya kozi yenye mshike mshike kwa sasa katika soko la ajira ni ualimu...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Naomba connection za Tcu

    Mwenye connection na tcu anisaidie
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO TCU mshirikiane na Vyuo Vikuu kuandaa Expo kwa ajili ya Vijana.

    Kama nchi hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati. Ingawa wengi hutazama suala hili kama ni sehemu ya vijana kuumiza vichwa katika tafakuri zao ila bado...
  11. JamiiForums Tanzania TCU ianzishe Expo kwa ajili ya wahitimu wa kidato cha sita

    Hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati. Ingawa wengi hutazama suala hili kama ni sehemu ya vijana kuumiza vichwa vyao katika tafakuri zao ila bado linabakia...
  12. JamiiForums Tanzania TCU yaongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza katika Programu zenye nafasi 2024/2025

    1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katika awamu zote mbili kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 umekamilika. Majina...
  13. JamiiForums Tanzania TCU yafungua Dirisha la Udahili kwa vyuo Awamu ya Pili, kuanzia Septemba 3 hadi 21, 2024

    Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa Awamu ya Kwanza ya udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 imekamilika. Majina ya waliodahiliwa katika awamu...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi hapa Kozi zaidi ya 40 zinazoweza kusomwa na Muuguzi mwenye Diploma

    Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025 If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾 1. Bachelor of Science in Nursing - MUHAS, UDOM, St. John, Kcmc, KiU, Kairuki, Agakhan, ZU, miaka 2.5 - 4...
  15. JamiiForums Tanzania Tunawasaidia wanachuo kukamilisha maombi (applications) ya vitu mbalimbali, karibuni

    Hello good morning guys Leo tuna huduma zifuatazo;- 1. Heslb Loan application 2. Tin no application 3. Ajira portal(ajira za ualimu) 4. Birth and death certificate 5 .University application Karibuni kwa huduma 0711406248
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itupie jicho Chuo cha St. Joseph kwa madudu haya

    Kwenda: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania – TCU 23 Julai 2024 Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph kilichopo Mbezi Luguruni, Dar es Salaam, ambacho kinatoa kozi mbalimbali za sayansi, ikiwemo udaktari. Dhumuni la barua hii ni kuomba Taasisi yako tukufu kutembelea na kufanya ukaguzi wa matatizo...
  17. JamiiForums Tanzania TCU yafungua dirisha la udahili kwa waombaji wa vyuo vikuu kwa Mwaka 2024/25

    1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu ndani na nje ya nchi kuwa dirisha la maombi ya udahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025 limefunguliwa kuanzia leo tarehe 15/7/2024...
  18. JamiiForums Tanzania 𝗧𝗖U Admission Guide Book 𝟮𝟬𝟮𝟰/𝟮𝟬𝟮𝟱

    Rasmi TCU (Tume inayosimamia Vyuo Vikuu Tanzania) imerelease GUIDEBOOK ya Mwaka Huu 2024/2025 itakayowasaidia Wanafunzi Kuchagua Kozi kulingana na Ufaulu wao na kuzingatia Cutting points zilizowekwa na Vyuo Husika. Elimu Kuhusu Usomaji wa TCU guidebook nitaitoa Muda sio Mrefu hili kila mtu...
  19. JamiiForums Tanzania TCU mbona mnapingana na taarifa zenu?

    Wakuu habari ya majukumu! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Katika Bachelor's Degree Admission Almanac for 2024/25, TCU wametanabaisha kwamba ifikapo tarehe 30/06/2024 wataweka hadharani 2024/25 Admission Guidebook lakini mpaka kufikia leo 08/07/2024 (zaidi ya wiki moja) kwenye website...
  20. JamiiForums Tanzania Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…