tcu

  1. M

    Hongera Prof. Makenya Abraham – Mwenyekiti Mpya wa TCU

    Hongera sana Prof. Makenya Abraham kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa TCU. Tunakupongeza kwa uteuzi huo na tunakuombea Mungu akupe hekima katika kuliongoza jukumu hili muhimu. Hata hivyo, kwa muda fulani kumekuwa na changamoto katika namna TCU inavyofanya maamuzi yanayogusa vyuo vikuu. Wakati...
  2. Think2

    Mwanza University yafungiwa na TCU, wanafunzi wahamishiwa CUHAS

    Serikali imekifungia chuo cha Mwanza university wanafunzi wadai pesa za takribani million 73 ambapo uongozi ulidai zitahamishiwa Bugando.. Kama mnavojua Watanzania njaa sana hiki chuo kuna wanafunzi wamepachikwa tu not qualified to study medicine hukoo Bugando watapokelewa na nani? It's...
  3. A

    KERO Wahitimu wa chuo cha Tanzania Institute of Accountacy waliomaliza 2022 taarifa zao hazipo TCU wala NACTE. Wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji

    Wahitimu wa chuo cha Tanzania institute of accountacy waliomaliza 2022 Taharifa zao hazipo TCU wala NACTE na wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji. Wakituma details zao kama namba za registaration na cheti hakitambuliki na deadline inakaribia january 11/2026 watu wengi watakosa fursa kwa...
  4. dogman360

    KERO Ila TCU inachofanya sio fair hata kidogo

    Mdogo wangu alikuwa kapata chuo Kozi ya Udaktari wa Binadamu (MD)Katika chuo cha Mwanza university. Tukawa tunasubiri dogo apate mkopo ndio tumkamilishie usajili. Dogo bana si akapangiwa mkopo, sasa nikawasiliana na chuo kwamba nakuja wakasema generate control number ufanye malipo kumbe hio...
  5. A

    KERO Tumekosa vyuo, TCU tafadhali fanyeni haki; mnaowachukua 1.3–1.6, sasa sisi wengine twende wapi?

    Jamani wanafunzi tumekosa vyuo naomba TCU wafanye haki yani kweli wanachukua 1.3 hadi 1.6, haya sisi wengine twende wapi sasa, yaani sina tafauti na mt 3 na 4 kweli sio sawa kabisa hata kama ufaulu mkubwa, unakuta kabisa nimekidhi kigezo wanasema eti pamejaa limited sasa ndio nini jamani na...
  6. T

    Mfumo wa Udahili wa Mwaka 2025/26 Umekuwa Kandamizi: TCU Acheni Watu Waamue Wanaenda Wapi

    Mfumo wa udahili wa mwaka 2025/26 na majibu yaliyotangazwa jana umekuwa kandamizi na unaumiza wanafunzi pamoja na wazazi. Wanafunzi wanapochaguliwa mara mbili au zaidi, wakijaribu kufanya confirmation kwenye chuo na programu wanayoitamani, wanapokea ujumbe “program imejaa”. Hii inakuwa kama...
  7. Roving Journalist

    TCU: Waombaji 146,879 wametuma maombi ya kujiunga Vyuo Awamu ya Kwanza ya Udahili wa Shahada ya Kwanza

    TAARIFA KWA UMMA KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA NA KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA PILI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 1.0 KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA YA UDAHILI 2025/2026 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wa Elimu...
  8. chiembe

    TCU inalinda namna gani ajira za waalimu wa vyuo vikuu binafsi "wanaokaza" katika taaluma ya wanafunzi, nasikia huwa wanatemwa kwa zengwe

    TCU kama inavyodhibiti uajiri wa waalimu, pia iweke mkono wake jinsi ajira zao zinavyokoma. Vyuo binafsi ni biashara kwa hiyo kama mwalimu "anakaza" Sana kwenye taaluma, kuna namna chuo "kinamtema" ili wateja(wanafunzi) wabaki. Je kuna namna dispute ya mwalimu na chuo juu ya academics inaweza...
  9. Just Pray

    TCU: Wahitimu wa vyuo 2024, fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zaongoza kuwa na wahitimu wengi, matazizo ya kifedha sababu kukatisha masomo

    Wakuu, Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zinaongoza kuwa na wahitimu wengi, Pia usawa wa kijinsia unaimarika kwani idadi...
  10. Carlos The Jackal

    TCU ya Wizara ya Elimu unapofuta KOZI kwenye Vyuo Vikuu, toa sababu , Jamii izipime kama Zina mantiki au Uhuni tu wa Siasa dhidi ya KANISA !!

    Nina Wasiwasi sana Sababu za Kisiasa Dhidi ya KANISA ndio zinaweza kua Nyuma ya TCU kufuta baadhi ya KOZI chuo Kikuu cha SAUT !. Kwa sababu hizohizo KOZI bado zinaendelea kutolewa kwenye Vyuo Vikuu vingine Nchini . Kuichomekea UDOM, ili tuone na Chuo Kikuu Cha Serikali nacho kimeguswa, ni...
  11. DuaZaMama

    Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yafungua Dirisha la Udahili kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026

    KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA ΚΑΤΙΚΑ TAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu ndani na nje ya nchi kuwa dirisha...
  12. B

    Naomba mnitumie kitabu cha TCU chenye courses na maelekezo yake

    Wakuu naomba mnitumie kitabu cha TCU chenye courses na maelekezo yake
  13. makonko

    Ofisi za TCU Dar zinapatikana wapi?

    Habari ya Leo wana jamii forums wenzangu, Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za TCU dar es salaam. Asante
  14. T

    Je, inawezekana kuhama diploma under NACTVET kwenda TCU?

    Habari Wana JamiiForums, The home of great thinkers. Moja kwa moja niende kwenye mada. Kuna dogo yeye anasoma chuo fulani Cha diploma kozi ya diagnostic radiography cha private. Sasa kutokana na kile chuo kutokuwa na facilities za kutosha anahitaji kuhama kwenda vyuo vingine vya serikali maana...
  15. I

    Connection TCU??

    Habari, wakubwa naombeni mwenye connection TCU anisaidie plz🙏🙏
  16. Mwizukulu mgikuru

    Ni muda muafaka sasa TCU na baadhi ya vyuo wasitishe kwa muda udahili wa kozi ya ualimu

    Juzi tumeona waziri mkuu Majaliwa kassim Majaliwa bila aibu akisimama na kuipigia debe taasisi ya VETA ianze kudahili wanafunzi wenye degree.. na hii kutokana na uwepo wa wahitimu wengi wenye degree wasiokuwa na Ajira na moja ya kozi yenye mshike mshike kwa sasa katika soko la ajira ni ualimu...
  17. I

    Naomba connection za Tcu

    Mwenye connection na tcu anisaidie
  18. Damaso

    DOKEZO TCU mshirikiane na Vyuo Vikuu kuandaa Expo kwa ajili ya Vijana.

    Kama nchi hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati. Ingawa wengi hutazama suala hili kama ni sehemu ya vijana kuumiza vichwa katika tafakuri zao ila bado...
  19. Damaso

    TCU ianzishe Expo kwa ajili ya wahitimu wa kidato cha sita

    Hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati. Ingawa wengi hutazama suala hili kama ni sehemu ya vijana kuumiza vichwa vyao katika tafakuri zao ila bado linabakia...
  20. Roving Journalist

    TCU yaongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza katika Programu zenye nafasi 2024/2025

    1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katika awamu zote mbili kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 umekamilika. Majina...
Back
Top Bottom