tbc

To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa TBC wanachekesha kama sio Ndugu zako

    UKIWAANGALIA WATANGAZAJI WA TBC UNAONA KAMA WANAFANYA COMEDY YA KUSIFU NA KUABUDU. Yaan wanaongea vitu vile vile kila siku wao ni watu wa makongamano, dira ya 2050 na Bwawa la Mwl Nyerere. Full sanaa
  2. JamiiForums Tanzania Masauni LIVE TBC: COP12 na Mazingira ya Pwani

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Hamadi Masauni atakua LIVE kwenye kipindi cha JAMBO TANZANIA cha TBC kwa ajili ya kuzungumzia wenyeji wa Tanzania katika Mkutano wa 12 wa mkataba wa Nairobi (COP12) kuhusu usimamizi wa mazingira ya Pwani na Bahari ya Hindi
  3. JamiiForums Tanzania Nimeota TBC 1 Inaonesha maudhui ya ngono.

    Wahusika Jimama moja nene hivi zurizuri na kijana mwembamba mrefu. Muda: kipindi cha taarifa ya habari. Nini tafsiri yake?
  4. JamiiForums Tanzania Bunge na TBC Watembelea Maktaba

    https://youtu.be/d1X_lLqZVAk?si=AHfXAvK0LKDsyy2m
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Wazalendo Wanao Angalia TBC, Usikose Kuangalia Mambo Mazuri ya UDSM, UDOM, IGOABROAD na Mbolea ya FEMI Leo Saa 4:00 usiku na kesho saa 3:00 Asbh

    Wanabodi, Niko hapa jijini Dodoma kwenye maonesho ya 88 kitaifa, uwanja wa Dr. J.S. Malecela, Nzunguni Dodoma, ambapo kuna mambo mazuri sana. Asubuhi niliwaletea https://www.jamiiforums.com/threads/live-from-uwanja-wa-dr-j-s-malecela-nzuguni-dodoma-kilele-cha-nane-nane-dodoma-kuchele.2460870/...
  6. F

    JamiiForums Tanzania TBC isijidanganye kwa jina la serikali

    Siku moja tulikuwa katika kikao chenye wajumbe kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya shughuli iliyokuwa irushwe na vyombo vya habari. Mapendekezo yakaanza kutolewa kuhusu vyombo vya habari vitakavyoalikwa. Kila chombo kilitajwa kimoja baada ya kingine. Ilipofika zamu ya TBC, mjadala ukaibua swali...
  7. JamiiForums Tanzania Wimbo maalum kwa Taifa la Tanzania. Nakala TBC, Uhuru fm, Azam TV na ITV na Channel ten

    https://youtu.be/oE6XHuIYiDw?si=z9HOvhkevw48eGvq
  8. JamiiForums Tanzania Dk. Ayub Rioba: Chombo cha habari kama TBC kinatakiwa kisimamie maslahi ya nchi

    Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dk. Ayub Rioba amesema mwaka 2010, wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika viwanja vya Jangwani, matangazo ya moja kwa moja ya tukio hilo yalikatwa wakati aliyekuwa mgombea urais wa chama...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ayub Rioba: Anayesema TBC tunaripoti zaidi serikali kuliko umma atuletee utafiti

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, ametetea utendaji wa chombo hicho cha habari cha umma dhidi ya ukosoaji kuwa kinairipoti zaidi serikali kuliko wananchi, akieleza kuwa serikali iliyowekwa madarakani na umma inao wajibu wa kuzungumza na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Gerson Msigwa atueleze kwanini anatumia chaneli za mabebru kutazama kombe la dunia na kutuachia TBC1 yenye ubora duni

    GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
  11. R

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa unaangalia Azam, TBC, Star Tv and the like ukawa CLASS CONSCIOUS

    Ndilo tatizo la watanzania and in particular Watanganyika. Ni mazwazwa kwa sababu hakuna anayeangalia Tv stations za nje kama Al Jazeera, CNN, BBC, Kenyan TVs. Ukishaangalia Azam, TBC, basi umekwiaha. And watawala are taking advantage of this. Ukishashindwa kuwa class conscious, basi unaingia...
  12. JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana TBC kuonesha kombe la dunia

    Hamjambo Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress...
  13. JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba wa TBC Baada ya Kuchukua Mamilioni ya Kustaafu Sasa Arudi Na Ziara ya URUSI!

    ANAANDIKA AYOU RIOBA , MSTAAFU TBC ANAYEKULA MAFAO KWA MRIJA:- Ziara ya Rais SSH Urusi ni muhimu sana, hasa tukizingatia historia ya mataifa yetu! Ninafahamu fika kwamba ndugu zetu mabeberu watachukia. Tanzania na Urusi zina historia kubwa kimahusiano. Tuna Watanzania wengi waliosomeshwa Urusi...
  14. JamiiForums Tanzania TBC Watembelea Maktaba Kutafuta Historia ya Mwami Theresa Ntare

    https://youtu.be/-rxfkdYqDjM?si=xaqGeZoMg-LGLW6U
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Resty Bura kumrithi Dr Ryoba Ukurugenzi Mkuu TBC

    Mfanyabiashara maarufu duniani Resty Bura anatajwa kurithi nafasi iliyoachwa wazi na Dr Ayoub Ryoba pale TBC. Ikiwa ni kweli tunamtakia mema kuendeleza TBC.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Umeondoka TBC na mabilioni, vipande 40 vya fedha ukawasaliti Watanzania, lakini hukumu ya HAKI ya Mungu inakusubiri

    Ulitumia TBC kukandamiza upinzani hasa Chadema, ambao walikuwa wanatekeleza haki ya kikatiba ya kitoa na kupata habari kupitià TBC. Ukawanyima fursa hiyo na kuwa CHAWA No. 1 wa CCM. Leo umeondoka na Mungu anakusubiri akupe hukumu stahiki! All in all kwa vile ulifanya ikamndamizaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Ayub Rioba astaafu na kuaga TBC baada ya muda wake kuisha

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dk Ayub Rioba amestaafu baada ya muda wake kwisha. Ameandika katika ukurasa wake wa Facebook: Tarehe 19 Machi Rais Dkt. JPM aliniteua kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBC. Alivyofariki JPM, nilipitia vita ngumu sana ya wale walioamini...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu

    Ajira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu, tukiuliza wanatuamia watatulipa, lakini kwa experience iliyopo posho ya kujikimu Watu hawalipwi hadi Mwaka unapita. Pia, posho za watumishi hazilipwi kwa wakati mabosi wakiulizwa wanasema posho ni hisani. Wakati watu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania TBC imekuwa television ya Waislam na siyo taifa tena

    Muda huu tumewekewa Mubashara katika hii Television ya TAIFA mashindano ya kusoma Quaran yanafanyika Kondoa Dodoma, wakati Kuna tukio kubwa la KITAIFA NA KIKANDA kinaendelea pale AICC - ARUSHA hatupati kujua kinachoendelea tena EAC SUMMIT. HUU NI UJINGA SANA, MAMBO YA IMANI WAACHIE TV ZA DINI...
  20. JamiiForums Tanzania Anaesema TBC wanarusha matangazo yao HD huyo hana tofauti na taahira

    Embu kwanza nicheke Yani ni kituko kama unaangalia sinema za Dj mack Uzi tayari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…