tazara

The TAZARA Railway, also called the Uhuru Railway or the Tanzam Railway, is a railway in East Africa linking the port of Dar es Salaam in east Tanzania with the town of Kapiri Mposhi in Zambia's Central Province. The single-track railway is 1,860 km (1,160 mi) long and is operated by the Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA).
The governments of Tanzania, Zambia and China built the railway to eliminate landlocked Zambia's economic dependence on Rhodesia and South Africa, both of which were ruled by white-minority governments. The railway provided the only route for bulk trade from Zambia's Copperbelt to reach the sea without having to transit white-ruled territories. The spirit of Pan-African socialism among the leaders of Tanzania and Zambia and the symbolism of China's support for newly independent African countries gave rise to TAZARA's designation as the "Great Uhuru Railway", Uhuru being the Swahili word for Freedom.
The project was built from 1970 to 1975 as a turnkey project financed and supported by China. At its completion, the TAZARA was the longest railway in sub-Saharan Africa. TAZARA was also the largest single foreign-aid project undertaken by China at the time, at a construction cost of US $406 million (the equivalent of US $2.67 billion today).TAZARA has faced operational difficulties from the start and was kept running by continued assistance from China, several European countries, and the United States. Freight traffic peaked at 1.2 million tons in 1986, but began to decline in the 1990s as the end of apartheid in South Africa and the independence of Namibia opened alternative transport routes for Zambian copper. Freight traffic bottomed out at 88,000 metric tons in Fiscal Year (FY) 2014/2015, less than 2% of the railway's design capacity of 5 million tonnes per year.

View More On Wikipedia.org
  1. mirindimo

    Kama tunataka matokeo makubwa TAZARA tupafumue pale kiutendaji

    Ukifika Ofisi za Tazara unaweza kukuta nusu ya wafanyakaza hawapo kazini hata wiki nzima na kwao hiyo ni normal kabisa. Mkurugenzi akitoka tu na wao hupanga lini niende ofisini lini nisiende nitoke saa ngapi, kama kweli tunataka matokeo yenye tija na hizi reli tulizozijenga kwa hela nyingi za...
  2. konda msafi

    Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

    Muda huu soko lililopo mbele ya Daraja la TAZARA au Mfugale upande wa kushoto kama unatokea Buguruni linateketea kwa moto. Jina la soko silikumbuki vizuri, sijui linaitwa Vetinari. Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe. Nimepita muda huu nimekuta soko linateketea. Zima moto na gari lao wapo ila...
  3. FRANCIS DA DON

    Napendekeza kazi za kuhesabu idadi ya watu (Sensa 2022) ifanywe na wajumbe wa nyumba 10 , pesa zitakazookolewa zikajenge flyover TAZARA

    Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za...
  4. Lord Denning

    Hadi leo najiuliza, ilikuwaje tukajenga SGR kwenda Burundi na kuacha kuboresha TAZARA kuwa SGR ambapo tungefika Congo kirahisi sana

    Siku Saba zilizopita shirika la habari la Ujerumani DW wametoa makala nzuri sana kuelezea upekee wa Reli ya Tazara inayotoka Tanzania hadi Ndola nchini Zambia. Wameelezea upekee wa reli hii na namna inavyopita kwenye mbuga maarufu za Selous na Mikumi na inavyopita mwenye milima ya Iringa hadi...
  5. Jamii Opportunities

    Senior Civil Engineer at TAZARA - 2 posts

    The Tanzania Zambia Railway Authority (TAZARA) is a Statutory Institution owned by the two Governments of the United Republic of Tanzania and the Republic of Zambia on a 50/50 share holding basis, with its registered head Office being in Dar es Salaam, Tanzania. The Authority has two Regional...
  6. Lee

    KERO TAZARA (Mfugale FLYOVER) kutofatwa sheria na utaratibu wa barabarani hasa wakati wa usiku imekuwa donda sugu

    Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila...
  7. mgt software

    Upanuzi wa Ubungo na TAZARA sasa Ilala na Mbagala wameondoka bila malalamiko, kwanini Kariakoo na Posta

    Wana JF, Kama kuna kitu kinakera ni kuangushiana jumba bovu. Katika upanuzi za barabara za mwendokasi na madaraka, tumeshuhudia wafanyabiashara wengi wakipisha ujenzi bila shuruti kwa kuwa wanajua ni suala la muda tu wataondoka. Watu hawa unatafuta sehemu ya kuamishia biashara zao bila...
  8. Lycaon pictus

    Tukitumia maexpert kutoka nje inaweza kusaidia kuendesha mashirika kama TAZARA?

    Zamani kuna historia kuwa Mobutu alipoona uchumi unaenda hovyo akaajili mbobezi kutoka Ulaya kuwa gavana wa benki kuu. Jamaa akaja na mipango mizuri sana ya kuokoa uchumi. lakini alikuta vikwazo kibao, Mobutu alikuwa anaifanya benki kuu kama kibubu chake. Wakashindwana jamaa akasepa. Mkapa...
  9. N

    Fikra mpya na mageuzi ya kiutendaji yanahitajika TAZARA

    Ndg zangu watanzania, ninapenda kutoa maoni yangu kwa shirika la reli Tanzania na Zambia yaani Tanzania Zambia Railway( TAZARA). Usafirishaji wa abiria umekuwa changamoto kubwa kutokana na ajali za mara kwa mara zinazozipata treni za mizigo na hivyo kupelekea treni za abiria kushindwa...
  10. I

    Njia ya TAZARA imeanza kuhujumiwa rasmi?

    wakuu sana. hizi taarifa za treni zinazotumia njia ya TAZARA kuacha njia zimekuwa nyingi mno. nadhani kila mwezi kuna taarifa moja au mbili za treni kuacha njia ama upande wa Tanzania au ule wa Zambia. taarifa za hivi punde zinasema kuna treni imeacha njia Mlimba. juzijuzi tu hapa zilitoka...
  11. Kaplizer

    Nani wa kulaumiwa Madudu haya ya TAZARA?

    Wakuu hivi tangia Mh Magufuli afondoke hivi kuna shirika limekua la ovyo kuzidi hili TAZARA. Just imagine tupo stesheni toka saa 9 mchana lakin tren kuondoka saa 5 usiku. Mama Samia pamulike kwa jicho la tatu Sana hapa. Wafanyabiashara tunaotegemea huu usafiri unatutesa sana.
  12. FRANCIS DA DON

    Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

    Napendekeza wajenge flyover juu ya Tazara flyover ili zinazotokea Buguruni kwenda bandarini nazo zipite juu. Nakaribisha maoni
  13. William Mshumbusi

    Nyerere na Wachina waliwezaje kujenga reli ya TAZARA kwa miaka minne tu KM zaidi ya 2000?

    Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi? Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana. Ilijengwa kwa miaka tokea '70 mpaka '75 tu. Yenye taaluma za zege Kama hii ya kisasa. Kilomita zaidi ya 1800...
  14. mkiluvya

    TAZARA kusafirisha mizigo na vifaa vya ujenzi mradi wa umeme rufiji

    Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limekamilisha ujenzi na ukarabati wa Stesheni ya Treni Fuga uliohusisha Stendi kubwa ya kupokea mizigo na vifaa vya ujenzi wa bwawa la kufua Umeme Mto Rufuji. Akizungumza katika ziara ya kutembelea ujenzi wa huo, Meneja wa Shirika hilo nchini...
Back
Top Bottom