tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. KENYATTA: Nilikuwa tayari kuachia madaraka ya Urais ili kuepusha umwagikaji wa damu 2017

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema alikuwa tayari kuachia madaraka ya Urais baada ya Mahakama Kuu kuufuta ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2017, angefanya hivyo ili kuzuia umwagikaji wa damu lakini Naibu wake, William Ruto alimshawishi kutofanya hivyo. Mahakama iliagiza kurudiwa...
  2. Marekani ipo tayari kuishauri Tanzania kuhusu usalama wa mpaka wake na Msumbiji

    Serikali ya Marekani ipo tayari kutoa ujuzi na ushauri kwa Tanzania katika masuala ya kiusalama ili kuimarisha ulinzi kwenye mpaka wake na nchi ya Msumbiji. Katika mahojiano maalumu na BBC Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright alieleza namna ambavyo Marekani inavyoguswa na tishio la...
  3. Miundombinu tayari kwa shirika la umeme Kenya kusambaza intaneti

    Tunakwenda vizuri. Kenya Power will start offering fixed internet services by June next year in a shift that will put it in competition with telcos and trigger fresh price wars in the battle for the market. The State-owned power utility has been piloting the fixed internet provision to a...
  4. NATO yaanza mikakati ya kuweka tayari wanajeshi 300,000 wenye uwezo wa kuitikia wito upesi

    Yaani "NATO Response Force", uwezo wa kuhusisha wanajeshi 300,000 kwenye mapambano ndani ya muda mfupi. Hii ni baada ya kugundua kuwa Urusi ana uwezo mdogo sana kivita, mpaka sasa kainchi kadogo kamemsumbua. === NATO Secretary-General Jens Stoltenberg on Monday said the military alliance is...
  5. Tupo tayari kuunda "NATO" ya kiarabu: JORDAN

    Itapendeza sana ikiwa hivi 1 Oman 2 Emirates 3 Saudia Arabia 4 Qatar 5 Bahrain 6 Kuwait 7 Egypt 8 Jordan 9 Algeria 10 Morocco 11 Tunisia 12 Palestina 13 Lebanon Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie. Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada...
  6. Rasimu ya Warioba ipo tayari, tupate Katiba Mpya ndani ya mwaka huu tuwakatae wabunge vibogoyo na bunge lao lisilofaa

    Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa. Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi na huku wananchi wakiwa na maisha magumu. Hatusikii bunge likifanya kazi yake kama bunge ya...
  7. Tumia elimu yako kutengeneza mwenyewe

    Habari zenu wadau! Bila Shaka mko vizuri, poleni na majukumu ebana, nashangaa sana na sifurahi nimwonapo kijana msomi, tena aliyezaliwa kijijini akihangaika mijini na maisha ya kuungaunga na elimu yake kichwani.. unaanzajaje kuondoka kijijini sehemu ambako kuna fursa chungu nzima, et unaenda...
  8. Wako wapi wale wanawake ambao walikuwa tayari kufa kwa ajili ya watoto wao?

    Wakuu habarini za majukumu? Ninatumaini jitihada za kujipatia mkate wa kila siku zinaendelea salama... Siku ya leo nimeitumia kwa asilimia kubwa hapa stend ya mabasi ya kwenda mkoa baada ya basi nililokuwa ninalisubiria kuchelewa kufika na hivyo nikajikuta nazoeana na baadhi ya abiria niliokuwa...
  9. Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Habari Zenu Wakuu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi. Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
  10. J

    SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

    BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan, Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money"...
  11. J

    Self Microfinance mkeka tayari

    Mkeka wa self microfinance umetoka huko tayari baada ya muda mrefu hatimaye
  12. Adebayor: Watanzania mpo tayari?

    Tayari Adebayor amepost instagram akiwauliza watanzania kama wapo tayari, Je ni timu gani imekaribia kumnasa huyu striker. Na siku 3 zilizopita alipost akifanya online conference na Mo.
  13. Rwanda yasema iko tayari kulipiza kisasi dhidi ya DR Congo

    Rwanda imelaumu Jeshi la MONUSCO la Umoja wa Mataifa kwa ukimya wake wakati huu ambapo mgogoro wa taifa hilo dhidi ya DR Congo ukiendelea. Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Dkt. Vincent Biruta amesema hawatavumilia pindi wakishambulia na wapo tayari kulipa kisasi wakidai kuwa DRC walirusha...
  14. Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

    Wapendwa samahani sana, Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka? Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
  15. M

    Marekani yamtishia China: Eti Marekani itaipigania Taiwan kama China ikitaka kuichukua kwa nguvu

    Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu wa kujiingiza vitani na taifa lolote lenye nguvu ya nyuklia kama China!! Kwa asili Marekani ni...
  16. Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

    Kwa kitendo Chao cha kupeleka maombi kutaka kujiunga na nato ,mzee Putin amefunga koki za kupeleka gesi na tayari amewakatia umeme Sasa ngoma inogire raia wa finland
  17. 63% ya wanawake Tanzania wako tayari kupata chanjo ya COVID19

    Taarifa ya NBS imeonesha wanawake wenye utayari wa kupata chanjo ya UVIKO ni wengi zaidi kuliko wanaume. Ambapo 63% ya wanawake ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo wakati ni 53% tu ya wanaume ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo. Kwenye upande wa maeneo watu wa...
  18. Q

    Mnyika: Niliongea nao wakasema wako tayari kushirikiana na chama, lakini tuwaachie Ubunge

    Mnyika anasema “Baada ya kutokea yaliyotokea nilikutana na Bulaya na wenzake ili dhamira yangu iniongoze, sawa wamekosea, lakini je, wapo tayari kutubu na kurudi?” Anasema, “Nilichokigundua baada ya kufanya mazungumzo nao, mdomoni wanasema wanakipenda Chadema na wapo tayari kurudi na kushiriki...
  19. M

    CCM mnapongeza wafanyakazi kuongezwa mishahara kwani imeongezwa tayari? Acheni siasa za kitapeli

    Wewe mwenezi wa CCM taifa unajitambua kweli? Mishahara haijaongezwa maana bado kuna majadiliano wewe unaleta uongo.
  20. Ukristo: Mungu hajakataza kuoa mke zaidi ya moja, dhana ya mwili moja si kuwa na mke moja, hata ukilala na malaya ninyi tayari ni mwili moja

    Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu. Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…