tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bado hatujawashinda maadui wetu watatu, limeibuka tatizo jipya katika nchi yetu

    Inasikitisha kuona watu wanakufa kwa ajili ya Nyege na Uchi so sad hivi vijana wanakosea wapi? Adui ujinga Adui maradhi Adui umaskini Adui Nyege
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kuna tatizo Gani Rais Museveni kumpandisha Vyeo Kijeshi Mwanae Muhoozi kama ana Uwezo na kakidhi Vigezo?

    Mbona hamkushangaa Rafiki yenu aliyewajengea Msikiti na Misikiti Hayati Ghaddafi alipompandisha Vyeo Mwanae? Mbona hamkushangaa Hayati Rais Laurent Kabila alivyompandisha Vyeo Mwanae Joseph Kabila? Kwanini kila mara Rais Museveni akimpandisha Vyeo vya Kijeshi Mwanae Muhoozi mnawashwawashwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenye kila watu 8, mmoja ana tatizo la Afya ya Akili Tanzania

    Sababu inayochangia hali hiyo ni mabadiliko katika Malezi, Msongo wa Mawazo wa Kushindwa Kuhimili Changamoto, Ongezeko la Magonjwa yasiyoambukiza na Matumizi ya Vilevi hususan Pombe, Bangi na Dawa nyingine za Kulevya. Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Rehema Madenge aliyemwakilisha Waziri wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo lolote kupenda vitabu 'vinavyohubiri' mafanikio?

    Kwa sasa kumekuwa na mlipuko mkubwa wa kusoma vitabu hivi vya mafanikio na miongozo binafsi(self-help books). Usomaji wowote ule ni mzuri kuliko kutosoma kabisa. Hivyo usomaji wa vitabu hivi ni jambo zuri. Lakini ni kama mlipuko hivi, kila kona kila site kila sehemu watu wanazungumzia vitabu...
  5. JamiiForums Tanzania Hii sasa imekuwa kero! TRA, chukueni hatua kurekebisha tatizo la taarifa za marejesho mtandaoni (e-Filling Returns)

    Jamani watu wa mamlaka tafadhalini hebu chukueni hatua za makusudi kurekebisha hili tatizo la taarifa za marejesho mtandaoni (e-Filling Returns) Kusema ukweli imekuwa kero isiyovumilika tena, inapofika tarehe za marejesho mtandao unazidiwa inaweza kuchukua zaidi ya siku moja mpaka 5 pengine...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ladha ya chumvi mdomoni

    Nawasalimu kwa ujumla wenu. Kama heading inavyojieleza, nlikuwa naomba kwa wale wanaojua chanzo cha tatizo na tiba yake. Nina wiki moja hapa mdomoni kuna ladha ya chumvi, nilijaribu kwenda hosptali ila sioni msaada kwa tiba nliyotumia.
  7. JamiiForums Tanzania Uchunguzi; Tatizo la walioajiriwa ni utegemezi; usimpe pesa mtu ambaye hajaitolea jasho

    UCHUNGUZI; TATIZO LA WALIOAJIRIWA NI UTEGEMEZI. USIMPE PESA MTU AMBAYE HAJAITOLEA JASHO Anaandika, Robert Heriel. Tatizo sio kuajiriwa, tatizo ni wategemezi, tatizo ni extended Family. Tofauti ya mtu aliyejiajiri na aliyeajiriwa IPO kwenye utegemezi. Waliojiajiriwa hawategemewi Sana...
  8. JamiiForums Tanzania Mwendo wa Kupigania Amani, Tatizo la kuondosha Silaha

    Wasalaam wanajamvi... Poleni na majukumu na Mwenyezi awawekee wepesi kila wakati mema yazidi kuongezeka kwa kila mmoja wetu JE MNAAMINI KUWA KUNA UWEZEKANO HALISI WA KUONDOSHA SILAHA ULIMWENGUNI? Uwezekano kama huo upo bila ya kujali kwamba tangu mwanzoni kabisa mwa historia yao, binadamu...
  9. JamiiForums Tanzania Jana ndo nimegundua tatizo lililompata jamaa yangu. Ndo tunampoteza hivi hivi. Inasikitisha sana kwa kweli

    Huyu jamaa zamani alikuwa serious mtu kazi. Mnapeana kazi kila mtu anamaliza kwa wakati mnafanya majumuisho mnasonga mbele. Hapa katikati amebadilika sana.mnaweza peana majukumu nyie mkamaliza yeye mkakuta anasua sua na kuwakwamisha sometimes. Ukimpigia anasema yupo busy sana mara sijui nini...
  10. JamiiForums Tanzania Kwako Waziri Gwajima, suala hili la ukatili wa kijinsia ambalo limekuwa tatizo katika jamii, ndoa nyingi zinavunjika

    Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Niende moja kwa moja kwenye dhumuni ya kukutafuta. Kuna hili swala la ukatili wa kijinsia ambalo limekuwa tatizo katika jamii linalopelea ndoa nyingi kuvunjika kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni na pia hupelekea magongwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wife akinikuta nasikiliza nyimbo zifuatazo huwa ananichukia sana, tatizo nini wadau?

    1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana 2. Mpenzi Luta by Mutombo, pia na yenyewe anachukia, Wajuzi wa Mambo naomba ufafanuzi juu ya Hili niwe na amani na...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, sawa na Tanzania isiyokuwa na vyama. Nini tatizo?

    Wana JF, SALAAM! Nawauliza kuna tatizo gani nchini KWETU hususan kwa hawa wanaojiita watetezi wa wananchi kupitia forums za vyama vya siasa. Naona kila jambo linaloanzishwa na Serikali liwe zuri au baya linapita bila kikwazo. Mfano:- (a). Tozo. - hizi zimeanzishwa kimzahamzaha lkn mwisho wake...
  13. JamiiForums Tanzania Hili tatizo la mtandao wa tigo kusumbua ikifika saa mbili usiku ni mimi au ?

    Nimejaribu kuhamia mtandao huu kwa wiki ya pili sasa lakini sina hamu nao, yaani ikifika mida ya saa mbili usiku spidi ya internet inashuka sana kiasi kwamba hata kucheki video ni kwa kusua sua, mida hii ndio huwa napenda kutumia net lakini kwa hali nayokutana nayo ni mateso tu, si enjoy hata...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ugonjwa huu wa ngozi

    Habari za jumamosi ndugu zangu. Nimekuja hapa kuomba msaada wa ugonjwa huu wa ngozi. Uncle wangu ana hivi vipele mda sasa ila hakuwahi kusema miez miwili iliyopita alinionyesha..vipo kifuani haviumi wala haviwashi..viko kwa ndani na ni vigumu vigumu ukivishika. Nilimpeleka Hospital wakampa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupoteza kumbukumbu

    Nawasalimu na kuwatakia afya njema, naomba kujuzwa mzee wangu mwenye umri wa miaka 83 amepata hali ya kupoteza kumbukumbu hii haijitokezi mara kwa mara, anasahau mambo yanayotokea muda huu kama vile kukumbuka mtu aliyekuja na kuondoka baada ya kumsalimia lakini vile vya zamani vyote anavikumbuka...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanatendwa na michepuko kuwaharibia ndoa zao, tuwasaidie

    Nguvu za kiume ni janga. Tena wengi unakuta ni waliooa ambao pia walikuwa viwembe sana. Nina mashoga zangu watatu wamekuwa wakilalamika sasa juu ya waume zao kukosa nguvu kabisa Mpaka naanza waza au michepuko kuna dawa wamegundua wanawawekea waume wa watu wakirudi kwao jogoo asiwike? Kwanini...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Hii ndio taarifa ya motomoto.. ======= Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
  18. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mbinu za kuondokana na tatizo la Ajira nchini

    Tanzania ni moja Kati ya nchi nyingi duniani ambazo zimekubwa na tatizo la ukosefu wa ajira, Hali ambayo imepelekea matatizo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa ajira rasmi hupelekea makundi ya vijana wasomi wasio na kazi kuongezeka katika jamii zetu, hali inayopelekea kuongezeka kwa makundi ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya Ugonjwa wa Tinnitus (Mvumo/kelele masikioni)

    Habari wanaJF, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Kwa sasa ni mwanafunzi wa moja ya chuo kikuu nchini, nilipatwa na tatizo la kupiga makelele au mivumo masikioni mwaka 2016. Nimesumbuliwa sana tatizo hili la masikio jambo ambalo linanipa shida hata nikiwa darasani kuwa na usikivu hafifu...
  20. JamiiForums Tanzania Dr. Mpango alikuwa sahihi juu ya tatizo la hii nchi

    Imagine kiongozi mkubwa serikalini anaenda kwa mganga. Hii amwamu kila kiongozi anamganga wake ndio maana kila mtu muoga muoga kufanya maamuzi kwa faida ya watanzania. Dr. Mpango alishawaambia nyie viongozi acheni mambo ya imani za kishirikina, unakuta Mbunge, Waziri, Mkuu wa Mkoa au wa Wilaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…