tatizo la ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

    Hamjambo! 1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu. 2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume. 3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
  2. A

    KERO TTCL hawaajiri watu wanaofanya internship kwao, na hawalipi stahiki za watumishi wao

    Kumekuwa na changamoto ya ajira kwenye kampuni ya TTCL kwa zaidi ya miaka 3 sasa. Watu wanafanya sana kazi za internship bila kuajiriwa. Pia mikataba yao siyo mizuri; kwa zaidi ya miaka sasa intern wanalipwa tu posho, lakini hawana ajira za kudumu. Pia hawana bima wala NSSF. Watu wanaambiwa...
  3. H

    Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  4. Mafyangula

    GE2025 Aisha Madoga: Nikiwa mbunge wa Dodoma Mjini nitalitatua tatizo la ajira kwa vijana

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Bi. Aisha Madoga, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na wananchi, atahakikisha anashughulikia tatizo la ajira kwa vijana kwa kuongeza tija na thamani ya mazao, ikiwemo zao la zabibu. Akizungumza katika mikutano...
  5. M

    Vyuo vikuu vya USA usajili wa wanafunzi wamepungua sana sababu ya Tatizo la ajira (white color jobs) wanafunzi wengi wanakimbilia Blue collar jobs

    Tatizo la ajira limewakumba graduates wa Marekani mpaka kusababisha vyuo vikuu kuanza kukosa wanafunzi wengi tofauti na zamani. Kumbe hata majuu watu wanakimbilia VETA zao za huko, maana degree nyingi hazina faida kwenye soko la ajira
  6. profHarryEnock

    UJASIRI WA KUFIKIRI UPYA: SULUHISHO LA KUDUMU KWA TATIZO LA AJIRA TANZANIA

    Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Heche: Vijana wa Kitanzania Serikali hii haiwezi kuwatoa kwenye matatizo, tuungane mkono ili tupambanie maisha yetu

    Vijana Watanzania Serikali hii aiwezi kuwatoa kwenye matatizo, tuungane mkono ili tupambanie maisha yetu, kilimo kimefeli na kilimo ndio sehemu pekee inaweza kuwapa nyie ajira kwa uhakika. Hakuna utaratibu wowote wa kufungua viwanda, migondi yetu inakabidhiwa kwa wageni haswa Wachina, ukienda...
  8. Justine Mitumba

    Hili tatizo la ajira ni kubwa sana tukubali kuanza hata kwa mtaji mdogo

    Nawashauri vijana tukubali kuanza biashara hata kwa mtaji mdogo tafuta kizimba au sehemu mnadani omba bidhaa kwa mali kauli Ukihitaji ushauri zaidi ni Follow Justine mtasiwa au Justine mitumba.
  9. mcTobby

    Hivi inakuwaje nchi kama USA na baadhi ya nchi za ulaya hakuna Tatizo la ajira kama nchi zingine?

    Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia kupata kazi kwa ajili to make both end meets inakuwa ni ngumu na kuipata lazima u struggle...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hata Marekani haijamaliza tatizo la ajira, tutalifanyia kazi ili baada ya miaka mitano tuseme tumelipunguza

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira. Kauli hiyo ameitoa Aprili 5, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mbambabay, wilayani Nyasa, alipokuwa ziarani mkoani...
  11. Jipatie Siagi ya karanga

    Naomba kuisaidia serikali kuwapa wazo ambalo litasaidia kuondoa kupunguza tatizo la ajira kama sio kuliondoa kabisa.

    Habari wakuu. Mimi nipo na wazo ambalo naamini litapunguza tatizo la ajira Kama sio kuliondoa. Naomba Kama kuna kiongozi umu ndani tuwasiliane PM.
  12. ngara23

    Serikali iondoe Kodi kwenye uingizaji wa mashine za uzalishaji, ili kupunguza tatizo la ajira

    Vijana wengi wapo idle hawana kazi wana bet tu Naomba serikali iondoe Kodi kwenye uingizaji wa mashine za uzalishaji Vile vile Kuna ukiritimba wa uagizaji hasa wa zana za kilimo na pembejeo, Kuna matajiri wanapata vikwazo wakitaka kuagiza, maana Kuna viongozi wa serikali ndo wana hiyo nafasi ya...
  13. M

    Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

    Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema. Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana No need...
  14. ELI COHEN

    Kama ni wewe ni graduate na bado hujapata ajira, basi fanya shughuli zifuatazo

    Kimbia kajifunze ufundi wa ku-design gypsum boards, tv show case outlook, outlook ya kisasa ya maduka na interior design nyingine kwa pamoja. Kimbia kajifunze mji ulivyo, zunguka utafute nyumba, acha vipeperushi vya namba yako kuwa wewe ni dalali, kaa kitaa na wana upate dili za viwanja na...
  15. W

    Watoto walazimishwe kuanza hustling likizo na weekends, Kizazi cha vijana wa sasa jobless ni matokeo ya kusoma sana wakati hakuna ajira za kutosha

    Zile zama za kuwa na uhakika wa ajira ukiwa na elimu zilishapita kitambo sana. Hali imebadilika mostly kuanzia 2010 soko la ajira za kisomi limekuwa gumu sana, Ajira nyingi inabidi uwe na CONNECTION aidha uwe na mtu wa kukushika mkono au umjue wa kumpa rushwa uingie, Ni kweli wapo wanaoingia...
  16. Bulelaa

    Teuzi zinaendelea, Wastaafu wanaendelea kulamba asali huku wahitimu wakiendelea kulia mabarabarani

  17. M

    Tatizo la ajira lingetangazwa kama janga tu , inawezekanaje ajira 14648 za walimu ziombwe na watu zaidi ya laki mbili

    Nimeshituka sana tangu Jana kuaona ajira za walimu na idadi ya walioomba , kumbuka anayesoma ualimu ni either 1. Mtoto wa maskini 2. Uwezo mdogo shuleni 3. Kama hayo mawili hayapo Basi alikumbwa na matatizo flani kwenye maisha, mimi ni mwalimu ualimu hauwezi kuwa kimbilio , hii idadi ya...
  18. Kinghanje

    DOKEZO Tatizo la Ajira Tanzania linavyotumiwa na watu kutapeli vijana

    Hili ambalo kiongozi ACT wazalendo, amelizungumzia akribani mwaka sasa umepita BADO LIPO LINAENDELEA MAENEO YALE YALE mwenyewe ni muathirika na swala hili. Jamani eeh hii bado Inaendelea na Ni maeneo hayo hayo. Mm nimetoka kupigwa juz hpa. Nmesafiri from Njombe to dar. Maeneo hayo, nlipata...
  19. R

    Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania

    Habari za asubuhi wanajukwaa. Nikisikiliza habari za magazetini leo nimesikia eti makamu wa Rais Dk. Mpango amewataka wanaofanya utafiti watafiti tatizo la ajira kwa vijana limeanzia wapi. Kama mpaka leo kama kiongozi hujajua kama tatizo kubwa ni nani bora kunyamaza kuliko kuongea kauli kama...
  20. S

    woga na kuogopa mabadiliko vipo sambamba na watanzania

    Leo Tanzania vijana hawana ajira,mishahara kiduchu, gharama za maisha zipo juu watu wanatekwa wanauwa,ushoga n.k Leo uliza mshahara wa hawa askari wanaoranda mitaani kuzima maandamano lakini akuna anaehoji tunazibwa midomo na mbinu ndogo kama goli la mama Duniani huko vijana wanakiwasha kudai...
Back
Top Bottom