tasaf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Responded TASAF walengwa hawafikiwi na misaada kwanini?

    Hellow Tasaf mmekuwa kero sana kwa wananchi hasa vijijini mnaandika majina yenu ndio mnakuwa mnapokea ninyi hii sio sawa hata kidogo jana nimeshuhudia mwananch akirudi analia baada ya kwenda kupokea fedha za TASAF alitakiwa kupokea 30000 lakini kakatwa pesa kabakia 12000 je hii ni sawa...
  2. TASAF yasema dirisha la malipo kwa wanufaika limefunguliwa kuanzia Jumatatu Juni 5, 2023

    Baada ya Wadau wa JamiiForums.com kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro na Kilindi Mkoani Tanga kudai kuwa wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) hawajalipwa malipo yao pamoja na wengine kudai wazee wanatumikishwa kufanya kazi, mamlaka ya TASAF imefafanua. Mkuu wa Kitengo cha Habari na...
  3. TASAF inasaidia nini? Hili ni chaka la wapigaji

    Nionavyo Mimi, Kweli mpango ulikuwa ni mzuri kusaidia kaya masikini. Lakini kwa Hali inavyoendelea kama kuna pesa zimeliwa nchi hii basi ni hizi za TASAF. Zimeliwa kweli. Lakini hapa unamsaidiaje mwananchi kwa kumpa elfu hamsini? Hapa ni kutumia umaskini na ukosefu wa elimu ya mtu kama fursa...
  4. K

    DOKEZO Tanga: Wazee wanufaika wa TASAF wanafanyishwa kazi ndio wanapewa hela. Hivi ndivyo Serikali ilivyoelekeza?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana. Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo. Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni...
  5. Ni yapi maudhui Mfuko ya TASAF?

    Ndugu zangu naomba elimu ya malengo ya mfuko wa TASAF, maana hapa kijijini kwetu Nanyamba Mkumbwanana, hii hela hupewa vijana na kuambiwa wafukue barabara. Je, ndio malengo ya TASAF? Naomba elimu kidogo, na kama sioni maudhui ya mfuko huo, tunaomba tufanyeje ili zitumike kwa malengo kusudiwa.
  6. DOKEZO Responded Moshi: Wanufaika wa TASAF wanyimwa malipo yao kwa muda wa miezi mitano, watakiwa kukarabati barabara hadi zikamilike

    Wanufaika wa TASAF kutoka katika baadhi ya Kata za Machame Mashariki, pia baadhi ya kata zilizopo katika Wilaya ya Moshi na Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro wamekosa malipo yao tangu kuanza kwa mwaka huu Januari hadi sasa Mei 2023. Ndani ya hiyo kata hiyo kuna Kijiji kadhaa vikiwemo Narumu...
  7. Ridhiwani Kikwete Aelekeza Waratibu wa TASAF Kupatiwa Elimu

    MHE. KIKWETE AELEKEZA WARATIBU WA TASAF KATIKA HALMASHAURI KUPATIWA ELIMU YA KUWAHUDUMIA WALENGWA KWA UPENDO. Lengo la kuanzishwa kwa TASAF ni kuwawezesha watu wasiojiweza kabisa kiuchumi kuondokana na hali iyo duni kuwapa ruzuku itakayowasaidia kupiga hatua ya maendeleo kiuchumi, hivyo ni...
  8. Kamati ya Bunge Utawala Yaridhishwa na Jitihada za Mlengwa wa TASAF Wilayani Uyui

    KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA YARIDHISHWA NA JITIHADA ZA MLENGWA WA TASAF WILAYANI UYUI NA KUMCHANGIA 530,000/= KUMUWEZESHA KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo amesema kamati yake imeridhishwa na...
  9. Jenista Mhagama: Rais amedhamiria kila mlengwa wa TASAF aishi maisha Bora

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kila mlengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini anaishi maisha bora kama ambavyo Serikali imekusudia...
  10. K

    Rais Samia aongeza muda mpango wa TASAF, zaidi ya kaya 173,076 zaondokana na umaskini

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deo Ndejembi amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wanufaika wa mradi wa kunusuru kaya maskini (TASAF) kwa kuuongezea muda mradi huo hadi mwaka 2025 ambapo awali ulikua uishie mwaka 2023. Moja ya manufaa ya mpango huo ni kuendelea...
  11. TASAF yasitisha mnada wa magari (Land Rover) 61

    TASAF imesitisha mnada iliYotangaza awali wa magari 61 aina ya Land Rover uliYokuwa ufanyike jana. Tangazo la TASAF halijaeleza sababu za kuahirisha mnada huo. =====
  12. Maajabu:Pesa za TASAF zapigwa kwa ajili ya ziara ya Mbunge

    IKUNGI-SINGIDA Katika hali isiyokuwa ya kawaida kuna taarifa kutoka jimbo la Singida Mashariki mkoani Singida kwamba Mbunge wa jimbo hilo Miraji Mtaturu ameshirikiana na baadhi ya viongozi wa Kata ya Ntuntu katika Wilaya ya Ikungi kukata pesa kwa ajili ya kunusuru kaya maskini almaarufu kama...
  13. Dar: Rais Samia akabidhi magari 123 kwa Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji kwa Shughuli za TASAF

    AMOS MAKALLA, MKUU WA MKOA WA DAR Kwanza niseme hali ya mkoa ipo salama, hali nishwari tunaendelea na shughuli zetu. Kwahiyo, hata ile operesheni ya panya buku na panya road imefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Kimya kabisa! Lakini, nikuahidi kuwa ni operesheni endelevu. …juzi tulipata matukio ya...
  14. Serikali iachane na malipo kwa masikini wa TASAF bali ianze kuwalipa pesa walemavu wote wasio na ajira

    Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
  15. TASAF jina la "Kaya Masikini" linawatisha "Watanzania wanyonge"

    Uhuru wa Maoni!
  16. TANZIA Mratibu wa Tasaf Wilaya ya Iramba, Adam Msangi afariki dunia ajalini

    Habarini Wadau Tunasikitika sana Kuleta Tangazo la Kifo cha Ajali ya Gari iliyotokea leo Iguguno shamba high way ya Singida Mwanza. Mr. Adam Msangi aliekuwa mratibu wa Tasaf Wilaya ya Iramba amefariki kwa ajali hiyo ya gari majira ya alfajili ya kuamka leo. Inauumiza sana kwani Mratibu huyu...
  17. TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa

    TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa Mkoa wa Mwanza ni miongoni mwa mikoa nchini yenye watu wanaoishi katika mazingira magumu na maisha duni. Mkoa huu ni kati ya mikoa nchini ambayo imeingizwa katika mpango wa kusaidia kaya zinazoishi maisha duni. Agosti 2012 Serikali ilizindua...
  18. S

    TASAF mbona mpo kimya kuhusu matokea ya usaili uliofanyika toka mwezi Novemba mwaka jana kupitia utumishi

    Kama kichwa cha thread kinavyosema hili shirika la TASAF lilitoa nafasi za kazi katika kada mbalimbali toka mwezi juni tukaja kuitwa kwenye interview kupitia utumishi mwezi November. Ila toka tulipofanya ile written na oral interview sasa huu unaenda mwezi wa 3 bilabila si utumishi wala tasaf...
  19. Kuna mwenye taarifa za majibu ya nafasi za TMO TASAF?

    Nilifanya oral na written interview ya TASAF, ila mpaka leo imekuwa kimya. Kwa mwenye taarifa yoyote atujuze kama watu walishaitwa kazini au tuendelee kusubiri. Adios!
  20. HESLB yatoa siku tano zaidi kuomba mkopo

    HESLB YATOA SIKU TANO (05) ZAIDI KUOMBA MKOPO Ni kuanzia Oktoba 1 hadi 5, 2020 Lengo ni kuwapa fursa vijana waliokuwa JKT kuomba Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawajulisha wanafunzi waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) hivi karibuni kuwa mfumo wa kuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…