Kuna mwenye taarifa za majibu ya nafasi za TMO TASAF?

mimi mtakatifu

JF-Expert Member
Oct 11, 2019
207
482
Nilifanya oral na written interview ya TASAF, ila mpaka leo imekuwa kimya.

Kwa mwenye taarifa yoyote atujuze kama watu walishaitwa kazini au tuendelee kusubiri.

Adios!
 
isee kweli hawa tasaf nimefanya interview hapo mpaka nimesahau hakuna cha majibu wala utumishi hawana majibu..
 
Back
Top Bottom