tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maandamano Yajayo yasipangiwe Tarehe, yafuate kwenye mikutano yote Public yenye viongozi wakuu

    Maoni yangu kwa Wananchi na Gen Z. Kwenye maandamano yatayofuata tufuate siku ambapo kuna public event ambayo lazima watu watatoka. Siku ya uchaguzi ilikuwa rahisi kwa sababu hawakuweza kuzuia watu wasitoke maana watu walitakiwa kwenda kupiga kura. Awamu nyingine iwe kwenye mikutano ya...
  2. JamiiForums Tanzania Zifuatazo ndio documents zilizotoka kimataifa kukubali maandamano ya D9 tarehe 9/12, tumieni hiyo fursa watanzania

    Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maandamano ya Amani dhidi ya Uongozi mbovu na kukosakana uwajibikaji pale Open University (Chuo Kikuu Huria) yatakuwa tarehe 18 December 2025

    Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana. Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

    Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani. Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ijumaa ya tarehe 5 December misikiti walipunguza sauti kwenye mawaiza wakati sio kawaida kwenu huko

    Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa. Nikashangaa maana sio kawaida.
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange alituaminisha kuwa Oktoba 29 kuwa Jeshi na polisi wote wapo kwetu sisi tutoke tu kisha wao wamalize

    Mzuka wana Jamvi ? Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuanzia tarehe 6 mpaka tarehe 8 hutaweza kufanya miamala ya TISS, au kwa lugha nyepesi, bank kwenda bank nyingine, Mtandao kwenda mtandao mwingine

    Hii ni taarifa ya bank moja nimepata, hii inaenda kuathiri miamala karibia yote. Chukua hatua mapema
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh: Wanaokusudia kuandamana tarehe 9 Desemba, sisi kama Waslam tutatoka kwenda kukabiliana nao

    Naona mashekh wanaendelea kukiwasha kuwajibu TEC lakini bila hoja za maana. Hii vita sasa ni mbaya kunakoelekea! =================== Wanaokusudia kuandamana tarehe 9 Desemba, sisi kama Waslam tutatoka kwenda kukabiliana na watu hao kwa sababu tunahitaji amani yanchi. Hapa Tanzania tunahitaji...
  10. JamiiForums Tanzania Wambura na Muliro, Tarehe 9 Dec ni Maandamano. Hili muwe nalo uhakika kabisa bila mashaka. Sasa mtachagua Mtuue kama mlivyotuua au tuwaondoe

    Mambo si mambooooo!! Vijana wadogo lakini Wenye Akili kubwaaaa ,Akili nyiiingi !!. Toeni Pesa Bank. Nunueni Vyakula Kwa ajili ya Wanafamilia. Waandamani tuonane Field !!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Movements restrictions na curfew kuanza rasmi tarehe 01/12/2025

    Huu ni utabiri wangu na hii itatangzwa kwa kushitukiza siku ya kesho usiku kupitia vyombo vya habari. Hint: Tarehe 01/12/2025, ni siku ya ukimwi duniani. Je, kuna lolote linaendelea serikalini kupitia Wizata ya Afya juu ya siku hii muhimu duniani? Kama hakuna,; je, ni kwanini. Nimetabiri...
  12. JamiiForums Tanzania Muda wowote kuanzia sasa huenda kikanuka, jaza mahitaji muhimu sasa usisubiri mpaka tarehe 8 December

    Tahadhari ni muhimu, Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali. Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa. Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili, Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Msigwa iambie Serikali yako na Vikundi vyake (Polisi na Mamuluki wao) tarehe 9 Dec ni Maandamano ya Uhakika, Wasithubutu hata Kuua Sisimizi!.

    Kwa Taarifa yenu, Tuliouliwa Ndugu zetu tumeshajipanga kuandamana. Mtangaze Curfew ya mapema, haitozuia lolote. Muanze kupiga Risasi mapema, haitazuia lolote . Maandamano yapo, No way Bwana Msigwa , rukaruka tu na Porojo zako ila MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YAKO PALEPALE. SASA , Onyo...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bodaboda na Machinga Dar: Desemba 9 hatufungui biashara

    Shirikisho la Vyama vya Madereva Bodaboda na Bajaji na Uongozi wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, wameahidi kutofanya kazi siku ya Disemba 9, 2025, kwa madai kuhofia kuingizwa kwenye mkumbo wa watu wanaofanya vurugu, kufuatia tetesi za kuwepo kwa maandamano yanayohamasishwa mitandaoni. Viongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Kuelekea D9 kampuni za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12

    Tanzania ya Sasa hivi ni ya moto sana, zamani yalipoitishwa maandamano watu walichukulia poa tu, Kwa kujua hakuna atakayetoka. Kilichotokea MO29, kimetoa blueprint ya maandamano nchini. Sasa Toka maandamano ya D9 yatangazwe, serikali imenywea kabsa inaogopa kutoa vitisho,na kufanya mazoezi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tanganyika ndio iliyopata UHURU tarehe 9 December, 1961 sio Tanzania, Tanzania haikupata UHURU

    Naona watu wanachanganya sana. Nimejaribu kuwakumbusha.
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Pemba: Itakuwa ni ajabu Muislam akiunga mkono maaandamano ya tarehe 9 Disemba

    "Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki. Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana...
  18. JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba: Watanzania Walikufa, Haki Itarudi!

    Tarehe 29 Oktoba, shit hit the fan, na Watanzania walikufa! Serikali inacheka tu, inadhani maisha ya watu ni joke. What the fck? Hawa watu walikuwa na familia, walikuwa na ndoto, lakini leo wamebaki kuwa ghosts kwenye mtaa huu wa dunia. Na serikali? Wamefunga macho kama hawaoni. Sasa, what’s...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Ikongo: TEC wamehusika kwa asilimia 90 kuratibu vurugu za tarehe 29 Oktoba

    https://youtu.be/B5pHrjsXXDM?si=YrhU152Q9lyY-CLR
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya Kurejesha Amani na Utulivu Baada ya Matukio ya tarehe 29–31 Oktoba 2025

    Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…