tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Aliyepanga na kuamua sherehe za kuzima mwenge zifanyike kwenye tarehe ya "Nyerere day" ni nani?

    Mambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Status ya ajira portal leo tarehe 08.10.2021

    tuendelee kunywa mchuzi ....huenda nyama zipo bado chini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

    Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

    SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA. Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya mbili kupokelewa Jumatatu tarehe 11/10/2021

    Ndege mpya mbili zitapokelewa Ijumaa ya tarehe 8/10/2021. Ndege hizo zitapokelewa katika uwanja wa ndege wa Amani Zanzibar. Tujikumbushe mambo ya Muungano. Ukurasa wa 218 na 219 wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, unataja Mambo ya Muungano ambayo ni:-. 01. Katiba ya Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

    TAARIFA MPYA DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021, MWISHO NI TAREHE 9/11/2021. JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA. HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI. KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE. ANGALIZO: IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kujenga madarasa mapya manne katika kila shule ya Sekondari ya Serikali. Watoto wote 1M kuanza shule Januari 2022

    Rais Samia kujenga madarasa mapya manne ( 4 ) katika kila ilipo shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Watoto wote 1M wa kidato cha kwanza nchi nzima kuanza shule Siku moja ambayo ni tarehe 06|01|2021 ==================================== Tanzania inajumla ya shule za sekondari 5,143 hii...
  8. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

    Hii ndio taarifa iliyotufikia , kwamba leo Mke wa Mshitakiwa aliyeteswa kinyama komando Adam kasekwa leo atapanda kizimbani akiwa ni shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu Endelea kufuatilia ======== Saa 3 na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wallah! Kama Simba SC itacheza Mpira Mkubwa iliyocheza Simba Day na TP Mazembe, kuna Mtu tarehe 25 anafungwa Goli 7

    Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25 Septemba, 2021. Kwa aina ya Mpira mkubwa (mwingi) na wa Kiwango cha Kimataifa iliyoucheza (...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ukipitiliza tarehe ya chanjo ya pili usianze upya kuchanjwa

    Kwa namna au sababu tofauti huweza kutokea mazingira ambayo yanaweza kumfanya mtu asahau au ukakosa chanjo yako ya pili ya Covid-19 kwa tarehe uliyopangiwa. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa ukipatwa na hali hiyo usikate tamaa wala usianze upya mpango wa kuchanjwa tena isipokuwa fika kituo cha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuzaliwa Freeman Mbowe ni siasa pia?

    Muda wote tulisheherekea Uhuru wa Tanganyika tarehe sawa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa ndiyo huwa siku ya kuzaliwa. Naona leo Familia imemuwish mapema sana kabla ya 9 December kufika kupita kipande cha Gazeti? Nani aliudanganya UMMA kuwa freeman kazaliwa 9 December na Si tarehe 14 September ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…