Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema kuwa baadhi ya akaunti za mitandao ya kijamii za taasisi za Serikali zilidukuliwa kutokana na udhaifu wa taratibu za kiusalama katika usimamizi wa akaunti hizo.
Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo Jumatano Mei 21, 2025, Waziri...