tapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sijaona tapeli kama Gwajima

    Baada ya domo lake kumponza, sasa Gwajima anatapatapa na kutafutwa kuonewa huruma. Anabwabwaja akidhani watu wote ni mazwazwa kama yeye. Anasema hili leo na kesho lile. Anajipiga mitama mwenyewe. Sasa acha akione cha moto na asionewe huruma wala kuaminiwa. Alidhani angewatapeli CCM asijue ni...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

    Maswali mengine Utajiri wake unatokana na nini? Generals gani anaokaa nao mezani na wanazungumza nini?
  3. JamiiForums Tanzania Je, Polepole ni tapeli ?

    Hazungumzii kabisa reforms Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .? Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta...
  4. JamiiForums Tanzania Kila mtu wa Dar ni tapeli

    Dar Kuna nini? Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli. Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simü Ukimwagiza mahala anapotea Mitandaoni mnajionyesha mambo safi na tu vitambi na pensi vinjunga kumbe hamna...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hii namba *152*00# ya NSSF haileti menu kama inavyotarajiwa

    Hawa NSSF wamewatangazia watanzania kuwa km unataka kujihudumia kwa maana ya kuona michango, mafao, salio lako n.k unaweza kutupigia *152*00# na ukajihudumia. Sasa nenda kapige utaishia kwenye kuingiza namba yako ya uanachama huwezi kuendelea zaidi ya hapo. Itakuambia ujumbe wako umetumwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kisa cha tapeli aliyeuza uwanja wa ndege Nigeria

    🛫 Emmanuel Nwude: Mtu Aliyewauzia Wazungu Uwanja wa Ndege Ulio Hewa Katika historia ya dunia, matapeli wengi wamejaribu njia mbalimbali za kujipatia mali kwa ujanja. Lakini ni wachache sana waliowahi kufanikisha kile alichokifanya Emmanuel Nwude, raia wa Nigeria ambaye alitapeli benki kubwa ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kabisa? Kwa miaka zaidi ya Ishirini, Chadema hamkujua Mbowe ni Tapeli wa kiaiasa?

    Katika mambo ambayo Chadema mliferi na kusababisha safari yenu kuelekea Ikulu kuwa ngumu, ni kukaa miaka na miaka na mtu ndumila kuwili Mtu huyo, badala ya kung'amua mapema nyendo zake kisha kumtimua, bahati mbaya kabisa, yeye aliwasoma nyinyi nyote Mbowe anawajua wote wenye misimamo mikali...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatusemi tapeli, jambazi n.k wanakipaji cha kuzaliwa? Kwani kipaji ni nini?

    Kipaji ni Nini, na Kwa Nini Hatusemi Tapeli au Jambazi Ana Kipaji? Katika jamii zetu, mara nyingi tunasikia watu wakisifiwa kuwa na vipaji vya kipekee—kama kucheza mpira, kuimba, kuruka sarakasi au kukimbia kwa kasi ya ajabu. Mtu akionyesha uwezo wa ajabu, husemwa “amezaliwa na kipaji.” Hii ni...
  9. JamiiForums Tanzania kuna tapeli yupo Moshi linatapeli watu na dola feki

    Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki, Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Neno au jina "tapeli" lilitokea wapi?

    Bila shaka wengi wetu tunalifahamu na kulitumia neno/jina hili.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lilichomoza tu na kupokelewa na jamii, na halikuwa neno/jina rasmi kabla kama ilivyo kwa baadhi ya maneno mengine.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lililetwa na Vijana Jazz/Hemed Maneti kupitia wimbo wa...
  11. JamiiForums Tanzania Vibe la No Reforms No election mitandaoni; Mganga wa Chadema sio tapeli

    Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo Msigwa anatukana watu huku amefunga comments Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha...
  12. JamiiForums Tanzania Kama upo kwenye mapenzi na huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, ndugu achana na huyo tapeli!

    Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!. Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!. Sasa kama huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, we endelea kuishi tu na hilo gaidi litakuchinja sikumoja!...😂
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli wa kisiasa

    Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli la kutupwa na nilishangaa kupata ubunge na vyeo kwenye chama, ila Sasa imejiridhisha kumbe hisia zangu zilikuwa sawa.
  14. JamiiForums Tanzania Abdulrazak Hamza Tapeli wa kisasa katika soka

    Ukimuangalia huyu jamaa kwa jicho la kishabiki , ukiwa shabiki wa Simba sc utasema jamaa ni bonge la beki ila ukiwa shabiki wa Yanga sc utasema jamaa ni mbovu .Lakini ukimuangalia kwa jicho la kiuwanamichizo na kijasusi, utagundua huyu ni tapeli wa soka kama ilivyo wahi kutokea kwa wachezaji...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 BASATA & Tume ya uchaguzi zuia tapeli Msama na tamasha lake la kuombea uchaguzi

    Huyu tapeli ana rekodi mbaya kwenye utapeli wa ardhi na madawa ya kulevya. Nawasihi BASATA au Tume ya uchaguzi (NEC) msimruhusu kamwe ajihusishe na uchaguzi mkuu wa 2025. -- TAMASHA la kuombea Uchaguzi Mkuu linatarajiwa kufanyika katika mikoa 26 ya Tanzania, likianza jijini Dar es Salaam mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumjua tapeli kabla hajakupiga: Dalili za mawinga walafi

    Wadau wa Jamiiforums, poleni na mihangaiko ya kutafuta tonge! Kama hujawahi kupigwa kwenye biashara, basi ama wewe ni mjuzi wa hali ya juu, ama bado hujaingia kwa kina kwenye soko la Bongo! Wale ndugu zetu wa Kariakoo, Sinza, Tegeta na hata wale wa mikoani wanajua, "biashara ni akili" lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  18. JamiiForums Tanzania Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

    Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha. Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati yanga wana screen protector(Diarra) simba mkaleta tapeli na kulipa jina spider.

    I salute you kinsmen. Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye. Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali max ni role model wake why huyo tapeli camara asikubali kuwa diarra ni role model wake? Ifike muda...
  20. JamiiForums Tanzania Robert Kiyosaki wa Rich Dad, Poor Dad ni tapeli?

    Nimeangalia video moja Youtube inamuelezea kamajamaa ni magumashi sana. Sehemu kubwa ya pesa anazopata ni kupitia semina anazotoa akichaji dola 12K hadi 45K, na si kupitia biashara ya Real Estate kama anavyodai. Pia japo anasifika kwa kuandika kitabu hicho lakini hasa aliyefanya kazi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…