tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kama yanayosemwa ni kweli Tanzania ndio nchi inaongozwa kutafunwa

    Tunapata wapi Raha ya kujivunia kuzaliwa kwenye hili TAIFA kama kweli keki inatafunwa tena kwa ufisadi na wanasiasa na wafanyabiashara.ebu ndugu zangu niwekeni wazi ufisadi huu wa kutisha kila sehemu NI kweli au basi Tu watu kuchafuana. Kuanzia tunazaliwa na kujitambua tuseme awamu ya mkapa...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania – Tujifunze kwa Norway jinsi Inavyogawa Utajiri wa Taifa kwa Wananchi Wake.

    Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
  3. JamiiForums Tanzania Technology

    Has technology improved the overall quality of life in the 21st century?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania umekamatwa na sekta binafsi wanamiliki trilioni 54 kati ya 77

    ==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia TZS 60.12Trilioni wakati rasilimali za sekta...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wenye elimu/wasomi ni wajinga mno katika nchi hii ya Tanzania

    Tatizo hawa waTanzania hawasimamii ukweli iweje usome hadi Phd ktk elimu ya miamba,maji,utabibu,uchumi,nk halafu usiifanyie kazi taaluma yako ukimbilie siasa/ubunge usio fani yako upige na magoti kuomba kura kwa wasio wasomi kama siyo ujinga ni nini?? Nani mjinga hapo asiyesoma ambaye...
  6. JamiiForums Tanzania Unayaongleaje majina yafuatayo katika siasa za Tanzania?

    Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk, utawaelezeaje? Julius Kambarage Nyerere, Abeid Aman Karume, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Dhana ya wasomi tu kuwa wabunge Tanzania kwa kigezo cha kutunga sheria imepitwa ma wakati

    Kazi ya mbunge siyo kutunga sheria tu pia siyo sheria zote hutokana na wabunge hasa ukizingatia wabunge wasomi ndiyo wameifikisha Tanzania hapa tulipo kwa kukosa uzalendo kwa nchi yao. SHERIA NA VYANZO VYA SHERIA TANZANIA MAANA YA SHERIA Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dkt.samia Samia Suluhu, Tanzania Nishati safi vijiji

    Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika mageuzi bora ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita (2021-2025) katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia Chini ya Rais Dr Samia suluhu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiona Jezi za Klabu yote ile Tanzania haijatengenezwa na hizi Kampuni Tano Kubwa za Kimataifa jua hiyo Jezi ni Takataka na Toilet Paper tu

    1. Adidas 2. Puma 3. Nike 4. Umbro 5. Diadora Imeisha hiyo.......!!!!!!!
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na ajira, ujuzi kupitia mpango wa Japan wa thamani ya dola bilioni 5.5

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na mpango mpya wa Japan uitwao “Hometown Initiative”, mpango unaolenga kuimarisha uhusiano na Afrika huku pia ukishughulikia changamoto za idadi ya watu nchini Japan. Kupitia mpango huo, Jiji la Nagai katika Prefecture ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wasafirishaji Mizigo:Ujerumani kwenda Tanzania

    Habari Zenu Wadau: Naomba kufahamu anayejua yeyote anayehusika na usafirishaji Mizigo kwa Ndege na au Meli kutoka Germany kwenda Tanzania. Asante.
  13. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Japan waahidi kukuza ushirikiano

    MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA JAPAN WAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO Tanzania na Japan zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, uendelezaji rasilimali watu, miradi mikubwa ya maendeleo na miradi ya msingi (Grassroots projects), na kilimo ikiwemo ukuzaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Huu ni uzi maalumu wa kupeana mbinu kwa wachezaji wa macasino ya mtandaoni

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana mbinu kwa wachezaji wa macasino ya mtandaoni. Tahadhari hii michezo sio ajira, cheza kwa kiasi ambacho ukipoteza hutaumia , ba jua ni muda upi unatakiwa kumpumzika. Casino maarufu zaidi Tanzania 1. Aviator Hii inawachezaji kila kona ya nchi , kumbuka kila kmpuni...
  15. JamiiForums Tanzania Chief Godlove Kelele nyingi hata Kenya haujawahi fika, kamdomo hatoki nje ya Tanzania

    Huu ni ukweli sio ubuyu inaonekana waganga wake masharti yao asitoke nje ya Tanzania,
  16. JamiiForums Tanzania Huwezi kuepuka kuichangia CCM kama unaishi Tanzania.

    Sisi tuna watu, sisi tuna serikali. Makampuni, Viwanda na Taasis hazithubutu kuenda kinyume na matakwa yetu. Tunaweza waambia tu watu wa Bank waongeze makato kwenye huduma zao. Yakaongezeka. Tunaweza waambia watu Mitandao ya Simu wakaongeza gharama za bundle au data. Tunaweza waambia watu wa...
  17. JamiiForums Tanzania KWA HILI CCM WASHUKURU TANZANIA HAKUNA UPINZANI.

    Kwa yanayotokea sehemu mbalimbali hapa hapa nchini ccm ni kama wamechokakutawala. Baada ya matokeo ya mchujo wa wagombea wa nafasi za Bunge kutoka pale Dodoma nimeamini Sasa hivi wananchi wameondoa yoga na kusema liwalo na liwe. Hii tabia ya kuwateulia wagombea wa majimbo na wakubwa Wacha he...
  18. JamiiForums Tanzania Kabla ya kudharau wabunge wa darasa la saba ebu tuangalie mchango wa wabunge wasomi wa Tanzania tangu nchi ijipatie uhuru wake .

    Watanzania Wengi Ambao wanadharau wabunge , naomba watupe mchango wa wabunge ambao wamesoma wamelifanyia nini Taifa la Tanganyika.
  19. JamiiForums Tanzania Kuna kijiji kinaandaliwa huko Japan kwa ajili ya wafanyakazi wahamiaji kutoka Tanzania

    Nchi inakosa nguvu kazi kwa baadhi ya mambo hadi kupelekea kutayarishia wahamiaji mazingira
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watu wa CCM, ebu epukeni aibu hii.

    Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona. Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…