tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi "K", "K shaped economy"

    Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi K, kitaalam inaitwa "K shaped economy". Huu uchumi unakuwa na pande mbili kama herufi K, upande wa juu unakuwa na pesa nyingi, ukuaji mkubwa, matrilioni ya hela halafu upande wa chini unakuwa na umasikini hali ngumu na dhiki. Ripoti zilizopo ni za...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani? Jaji wa Namibia anakuja kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Kumbuka Rais wa Namibia alikuja juzi hapa, Tanzania

    Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
  4. JamiiForums Tanzania Halotel ndo Kiboko ya OTP hapa Tanzania

    Habari wanajamvi, Ndio. Hasa kama unafanya kazi za mtandaoni (remote work), Halotel inasaidia sana. Asubuhi hii perplexity.ai ilinisumbua, nikajaribu mitandao yote Halotel ndo ikakubali. Iliwahi kunitokea nilipokuwa naaply Outlier tasking platform. Ndo ilinibeba (Mkenya mmoja ndo kaniibia siri...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda, Tanzania deepen energy ties with $20bn investment potential

    Photo courtesy of State House Uganda. Uganda and Tanzania are stepping up energy cooperation under a new agreement aimed at expanding regional trade, attracting investment and creating jobs. President Yoweri Museveni and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan witnessed the signing of a...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimechoka na huduma ya Parimatch Tanzania, mwezi mzima bila majibu ya kweli

    Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania. Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku ninapowasiliana na huduma kwa wateja, napokea majibu yale yale yanayojirudia kama yamenakiliwa. Hakuna...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Tanzania iliachana na vita dhidi ya Umasikini?

    China inasafiwa kwa kupiga hatua kubwa za maendeleo ya kiuchumi lakini inaisfiwa zaidi kwa hatua kubwa na za haraka za uchumi na maendeleo yaliyomaliza umasikini wa watu wake hadi kuwa china ya 1%. Ni muhimu kujua unaweza kuwa taifa lenye uchumi ukubwa mkubwa na umasikini mkubwa sana kama vile...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Taratibu udini unashika Kasi Tanzania ,Nyerere angekuwa hai asingekubali hili litokee

    Habari za jioni wadau, Dini inatumiwa kama kinga ya kuzuia watu wasiseme maovu ya viongozi na wanasisasa. Ukisema wenye dini yao wanakuja juu unamsema huyu mbona yule hukumsema. Nenda kwenye komenti uone yaani zimekaa TU kidini ili mradi Kila mtu anamsapoti WA dini yake. Watanzania hilo ni...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Buy Sunflower Oil from Tanzania: The Complete 2026 Buyer’s & Importer’s Guide

    Buy Sunflower Oil from Tanzania: The Complete 2026 Buyer’s & Importer’s Guide Buy sunflower oil from Tanzania. Eco Edge Company Limited supplies high-quality, natural sunflower oil for export and local markets. If you want to buy sunflower oil from Tanzania, you are sourcing from one of the top...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Kusafisha Mafuta Cha Trilioni 56 Tanga.

    My Take Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.🔥🔥 Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka 👇👇 https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
  11. B

    JamiiForums Tanzania "Asilimia kubwa ya vijana kutoka Tanzania na Afrika nzima ujumla wanaoletwa na wazazi kusoma Marekani na Canada wamegeuka kuwa machoko ".. Elli David

    Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya wengi wao huishia my wa machoko na mateja... Du kama ndo hivyo Bora wasome Kayumba na waishi hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kunufaika na Sh Bilioni 10 Biashara ya Kaboni

    Tanzania inatarajiwa kuingiza zaidi ya Sh bilioni 10 kutokana na mauzo ya biashara ya kaboni baada ya Serikali kuidhinisha miradi minne itakayouza tani milioni 4.2 za kaboni katika soko rasmi la kimataifa la biashara ya Kaboni. Tani milioni 4.2 za kaboni zilizothibitishwa zina thamani ya zaidi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tumezubaa Tanzania mpaka kutawaliwa na kikundi cha wachache hivi?

    Kikwete family yake, Samia family yake wameweza kututeka, kubaka watu na kuiba pesa kwasababu ya ujinga wa wananchi.
  14. JamiiForums Tanzania Yogosilavia na baadae itakavoelekea Tanzania kama CCM wakizidi kutaka kuwa wa milele

    Sio muelezaji mzuri ila ukifatilia jinsi mpaka nchi iliyokuwa na umoja na kuharibika vibaya sababu ya dini, ukabira, rasilimali uwezi kukosa Yugoslavia. Leo nasikia sijui kanali fulani anasema ukiona wanajeshi basi umepata amani ila kasahau October 29 walikuwa kama mgambo na polisi walikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu, ona ulivyo chafua Tanzania kimataifa

    Royal tour imegeuka kuwa roho toa. Serikali ya Tanzania imechafuka kimataifa. Watanzania hawatakuzomea uone aibu, bali watakulaani wewe na kizazi chako. 29.10.2025 haitasahaulika. Ndo kitu pekee wajivunia. Itatuchukua miaka kujenga ulipo bomoa. Chawa walaniwe, hakuambiii ukweli unavyo chukiwa.
  16. JamiiForums Tanzania Nigeria Inahitaji Miaka 14 Zaidi Kufikia Uchumi wa Dola $1 Trilion Baada ya Lengo la mwaka 2030 Kushindikana.Je Tanzania Tutafaulu Kufikia Lengo 2050?

    Lengo tuliloweka kama Nchi kupitia Dira ya 2026-2050 ni kubwa sana na linahitaji juhudi za ziada sana. Ni sawa na mtu mwenye Milioni 1 kuweka lengo la Kufikia Milioni Bilioni 1. Kama tutafika inamaana tutakuwa miongoni mwa mataifa. Nigeria wao wameshindwa Kufikia Lengo lao mwaka 2030 na Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Tiba za kihindi (ayurvedic) na za asili za Tanzania malipo ni baada ya kupokea mzigo

    Hernia powder;shs 40,000 dozi Siku 7 ni dawa ya Asili inatibu tatizo la ngiri na uvimbe, Korodani kushuka na kuingia ndani,maumivu ya Korodani, ume kulegea au korodani kuvimba, homoni msawazo shs 40,000 dozi siku 28 ni dawa bora ya kutibu magonjwa yote ya uzazi -Ugumba, Pid, chango la...
  18. JamiiForums Tanzania Norway Fund ni kitu ambacho kinapaswa kuigwa na serikali ya Tanzania kwa mustakabali wa kizazi kijacho

    Amani kwa wote. Naomba kujenga hoja yangu katika msingi wa mustakabali wa taifa kwa vizazi vinavyo tuandama. Mimi kama baba ambaye nina watoto , moja kati kitu kinacho nipa mawazo makubwa ninini nitawaachia watoto wangu, na kizazi kinacho tokana na mimi. Wazee wangu walishindwa kacha...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli ni Ukweli Hata Uwe Mchungu Vipi!. Tanzania Itaokolewa na Viongozi Wakweli na Wasema Ukweli, la Katiba Alilosema VP Bal. Dr. Nchimbi, ni Ukweli!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiuzungumzia msemo wa "tell the truth and the truth will set you free", Tanzania tumefikishwa hapa na viongozi wanao chelea kuusema ukweli, kwa kuhofia utawaudhi watu, hivyo Tanzania itaokolewa na viongozi wakweli, kama Dr...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Tanzania haitayumbishwa kwa sababu ya mabeberu kutunyima misaada, labda watafute vikwazo vingine

    My Take Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka. Pia soma Ongezeko la bajeti ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…