Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science.
Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa
Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile...