tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania

    Nimefikiria sana kabla ya kuandika singa hii, kwa vile wengi wameshaandika juu ya maudhui. Lakini, kama mfuatiaji wa karibu wa yale yanayoendelea Burkina Fasso, wivu, uchungu na tafrani vimenifanya nilirejee suala hili kwamba, siye Tanzania kitu gani kinafanya nchi yetu izorote? Ni miaka kadhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  3. JamiiForums Tanzania Delta force walikamatwa Tanzania na mabomu yao, hao Venezuela wanakwama wapi?

    Polisi TANZANIA ilitangaza kumtia mbaroni askari wa Marekani na mabomu yake kabla hajaleta madhara Hao Venezuela wanashindwa Nini kuja kujifunza kwetu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji ukome tangu leo, Jana Tanzania kule Morocco ilinyimwa Amani au Haki?

    Vichawa vya CCM kujeni mjibu hili swali Kwa nini jana timu ya Tanzania walishindwa kulinda Amani ilihali mwamzi alikuwa akiwasisitiza kuilinda hiyo Amani Nini kilitokea hadi washindwe kuilinda Amani? Kati ya Haki na Amani, nini kitangulie ili kulinda Neno moja wapo ya hayo mawili?
  5. JamiiForums Tanzania Nchi Zenye kutumia Ubabe kulinda Mipaka yake na Maeneo Jirani, hata kama Nchi Jirani haitaki kulindwa italindwa tu

    The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi zozote zilizoko katika mabara ya America kusini na America kaskazini. Na nchi yoyote itakayojaribu...
  6. JamiiForums Tanzania Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  7. JamiiForums Tanzania Familia ya Clemence Mwandambo yadai haijui alipo baada ya kuchukuliwa na Polisi

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake. "Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
  8. JamiiForums Tanzania Twendeni X (Twitter) tuungane na Mange kumuomba Trump kituo kinachofuata kiwe Tanzania

    Tumechoka kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, kulawitiwa na kupotezwa. Tumechoka wachungaji na mapadre kushambuliwa, kutekwa na kutishwa. Tumechoka walimu kutekwa na kupangiwa cha kufundisha madarasani. Tumechoka kugombanishwa kidini huku masheikh wakitumwa kusema watatukata vichwa...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Marekani na China zinatengeneza 44% ya uchumi wa dunia

  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuna watu wababe Sana kama kina Mafwele

    Huyu jamaa kateka, kaua na kapoteza watu wengi sana nchini lakini Wala haguswi na mkono wowote wa Sheria za nchi. Hivi Jaji Chande na Tume yake uchwara alikutana na mtu kama huyu anaweza kuwa na pawa kweli ya kumuhoji? Au na yeye atahofia Maisha yake? Maana hata waziri mwenye dhamana na huyu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mpango wa kuyagawa maeneo kadhaa ya Dunia, CCM isipodhibitiwa Tanzania ijiandae

    https://x.com/clashreport/status/2007126491885355164 Baada ya Somalia, kituo kinachofuata ni Yemen, Sudan, Libya, Syria, Kama Iran haitaweza kuzuia kinachoendelea ijiandae kuwa na vinchi ndani ya nchi. Siuoni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama Samia na viongozi wa aina yake wataendelea...
  12. B

    JamiiForums Tanzania UNEP Yamteua Rapa wa Tanzania Frida Amani kuwa Mtetezi wa Urejeshaji wa Mifumo ya Ikolojia

    December 2025 UNEP Yamteua Mwanamuziki wa Rapa mTanzania Frida Amani kuwa Mtetezi wa Urejeshaji wa Mifumo ya Ikolojia by Leo Muzivoreva Rapa mkali Frida Amani Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP, limemteua msanii wa hip hop kutoka Tanzania Frida Amani kama Mtetezi wake wa kwanza...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tutajuta kuzaliwa Tanzania

    Huku nywi nywi nywi kule wapigwe tu, huko simba ananguruma, chini songea kimya kama vile hayupo! Wapi twende!
  14. JamiiForums Tanzania Je ni kampuni gani bora za KUBET kwa sasa hapa Tanzania?

    Naomba wawekezaji wazoefu mnisaidie kampuni bora kwa sasa ya betting Tanzania. Uniambie na sababu.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hadi Sasa utawala wa Kiislamu katika nchi ya Irani umeanguka kwa asilimia 75%. Tanzania tutafanya kama wairani

    Ndugu watanzania, najua mnafuatilia kwa karibu kinachoendelea Irani. Waandamanaji wameshakamata maeneo muhimu ya utawala wa kiislamu wa Irani mfano. Vituo vikuu(headquaters) vya polisi, airport na sehemu nyingine nyeti karibia miji yote ya Irani. Khomenei ameukimbia mji mkuu wa Irani(Tehran)...
  16. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa chuo cha Tanzania Institute of Accountacy waliomaliza 2022 taarifa zao hazipo TCU wala NACTE. Wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji

    Wahitimu wa chuo cha Tanzania institute of accountacy waliomaliza 2022 Taharifa zao hazipo TCU wala NACTE na wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji. Wakituma details zao kama namba za registaration na cheti hakitambuliki na deadline inakaribia january 11/2026 watu wengi watakosa fursa kwa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…