tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikuletee nini kutoka Tanzania wewe uliepo Kenya?

    Mambo! Nipe kazi nikuletee bidhaa(kitu gani) hapo katika mji wako wa Nairobi hata Mombasa? Nipe list ya vitu unavyotaka nami nitakupa list ya vitu ninavyotaka nipeleke Tanzania. Tutumie hili jukwaa kutunufaisha kibiashara Kati ya mataifa yetu mawili haya kwa business opportunities zilizopo...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania Commission for Universities (TCU) Admissions Almanac for 2021/2022 Admission Cycle

    Tanzania Commission for Universities: News & Events 1. Final_Third Draft Admission Guidebook Equivalent Applicants 19052021.pdf 2. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders of Form Six Qualifications) 3. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders of...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania National Business Council (TNBC). Mbona maneno "Tanzania" na "National" yanafanana?

    Good evening jamiiforums Mnamo mwaka 2018 mwezi wa August niliwahi kuhoji usahihi wa kisarufi katika matumizi ya maneno "Tanzania" na "National" katika kuunda jina la uwanja wa taifa kwa lugha ya kiingereza uliosomeka kama "Tanzania National Main Stadium" kwenye lango kuu. Soma Hapa>>>...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania hakuna 4G? Hii tunayotumia ni 3.5G na tunadanganywa tu na makampuni ya simu?

    Je, ni kweli kwamba Tanzania hakuna 4g?hii tunayotumia ni 3.5g na tumedanganywa na makampuni ya simu? Wakuu nasikia hii 4g ya Bongo ni ya uongo na kwamba walichofanya wameleta tu 3g ya ulaya Marekani au China na kutuaminisha kuwa na ni 4G Wanasema hii 4g ya Bongo ni chenga tu na ni sawa na 3G...
  5. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

    Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo minne yenye masharti nafuu yenye jumla ya dola za Marekani bilioni 1.017 (sawa na shilingi trilioni 2.3391) kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe...
  6. JamiiForums Tanzania Maeneo ya kula maisha Tanzania

    Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni, ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea. Karibuni wakuu kushare locations kali mnazopenda kwenda kupunguza misongo ya mawazo au kupata happy moments na...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Awamu ya Nyerere Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana. Awamu ya Mwinyi Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

    Balozi Malamula hivi karibuni ametoa kauli kwamba serikali inaandaa sera ili Tanzania inufaike na Diaspora. Mimi nadhani huku ni kupotezeana muda tu. Nilishalisema sana jambo la Diaspora humu ndani. Nilishaziponda sana point za Watanzania ambao wanadai kuwa tusiruhusu uraia pacha kwa kuwa watu...
  9. JamiiForums Tanzania Wenzetu kielimu marks wametuzidi sana, hebu fananisha grading system ya South Korea na grade yetu

    South korea
  10. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumsaidia Rais Samia katika kuirudisha Tanzania katika Misingi ya Haki

    Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo yaliyo wazi kabisa kama wananchi kunyanyaswa, wafanya biashara kuonewa, wafanyanyakazi kutoongezewa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali kutunga Sera ya Diaspora kabla mwaka kuisha

    WAZIRI wa Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula amesema kabla ya mwaka huu kuisha Sera ya Nje inayojumuisha Sera ya Diaspora itakuwa tayari na hiyo ni kwa kutambua uhimu wa diaspora katika kuchangia maendeleo na masuala ya diaspora yanapewa kipaumbele. Ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuwa Boss Mashirika ya Umma Tanzania

    Mwaka 2016 nilienda Tanzania baada ya kukaa muda mrefu US. Rafiki yangu ambaye nilisoma naye Primary alikuwa ndiyo auditor mkubwa pale MSD hivyo bila mimi kujua aliongea na Managing Director kuhusu kupata watu wenye ujuzi na kampuni za kusambaza madawa kama MSD Wakati na maongezi yao yule...
  13. JamiiForums Tanzania Nani mwanzilishi wa mtaala wa elimu yetu?

    Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini matarajio hakuna anayeweza elezea zaidi ya baada ya kumaliza ntaajiriwa. Nimwaza sana juu ya elimu...
  14. JamiiForums Tanzania Esther Matiko: Umeme Tanzania ni Ghali sana, Kagera elfu 10 unapata unit 80 kutoka Uganda badala ya 28

    Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia 10,000 na kupata unit 80 ilihali kwa fedha hiyo Tanzania inanunua unit 28 pekee.
  15. JamiiForums Tanzania Mfumo imara huhitaji watu imara. Tanzania tuna watu wavivu walalamishi, waongo na walafi

    Tusidanganyane mfumo imara hujengwa na watu majasiri,shupavu na walio imara kwenye kusimamia sheria. je hao watu tunao? Mfumo imara hutegemea wananchi imara wenye kujua sheria na taratibu za nchi zao na hasa haki zao za msingi na iwapo sheria, taratibu na haki zao katika nchi zikivunjwa au...
  16. JamiiForums Tanzania Hati ya Kusafiria ya Tanzania (Passport) ina nguvu gani?

    Habarini wakuu, Naomba mtutoe tongo tongo hapa. Hati ya kusafiria ya Tanzania unaweza kuingia nchi ngapi bila visa na ni vema pia mwenye kujua hili akazitaja hata nchi zenyewe pia.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ni faida gani Tanzania imepata tangu ianzishe uhusiano wa kidiplomasia na Israel?

    Wakati kukiwa na suala la kuanzisha uhusiano na taifa la Israel, wengi walitoa maoni kwamba msimamo wa kiitikadi wa Tanzania ni kutoshirikiana na mataifa ambayo yanakandamiza jamii fulani ya watu na kukiuka haki zao za binadamu. Na hata tulisema kiitikadi tunaunga mkono jitihada za Wapalestina...
  18. JamiiForums Tanzania Public Relations Officer (entry level) – 2 Posts at Bank of Tanzania (BOT)

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES. The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank, is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant positions at the Head Office, Dodoma, Sub Head Offices in Dar es Salaam...
  19. JamiiForums Tanzania 6 New Job Opportunities At Ifakara Health Institute, June 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click on each job position below to read more details and apply: 1. Intern- ICT- (1 POST) 2. Laboratory Technician- (1 POST) 3. Field Interviewers- (3 POST) 4. Research Scientist- (1 POST) IHI is an equal opportunity employer. We prohibit intentional biases or discrimination and...
  20. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kuendelea kuilaumu Kenya na Mabeberu kwa matatizo binafsi ya Tanzania: 'We are paying the price of our own Wrongdoings!'

    Wasalauumu wakuu!! Uzi huu nilianza kuuandaa wakati Mama Samia anaenda Kenya, lakini sikuweza kuumaliza kwa wakati, nimeamua niuweke kwa sasa, japo muktadha wa sasa haupo kuijadili Kenya, ila itabidi niuweke kwasababu kuna mambo ambayo yapo relevant sana. Imekuwa ni kawaida sana hapa jamvini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…