tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taxes collected by KRA in 2020 can finance Tanzania budget and still remain with some change

    Total taxes collected by KRA are $16B while Tanzanian total budget for 2021/2022 is $14B. This means that KRA can finance Tanzanian budget na wabaki na change ya $2B KRA surpasses 2020/21 revenue target This is the first time since financial year 2013/14 In Summary •The 2020/2021 revenue...
  2. M

    JamiiForums Tanzania National Board of Accountants and Auditors Tanzania (NBAA) Tanzania kila muda ukiisha huchelewa kuteuliwa nyingine

    National Board of Accountants and Auditors Tanzania ina bodi ambayo huteuliwa na Rais wa Nchi. Kwa bahati mbaya sana imekuwa kawaida sasa kila ikimaliza muda huchelewa kuteuliwa nyingne na hiii imekuwa ikichelewesha kutolewa kwa matokeo yake ya mitihani husika. Kwa mfano mwaka 2017 na 2018 Bodi...
  3. JamiiForums Tanzania Ilani za uchaguzi za vyama sio "serious documents" kuongoza nchi katika maendeleo

    Tanzania haihitaji kuchagua kiongozi wala kuongozwa na ilani ya chaguzi ya chama bali sera chache za kimkakati za kitaifa zilizoandaliwa kwa makini na wataalam wenye uzoefu wa eneo husika. Badala ya ilani ya uchaguzi ya chama inayoorodhesha kila kitu kutoka ngoma, uganga n.k mpaka mambo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Suluhu ndo Deng Xiaoping wa Tanzania?

    Amani iwe nanyi wadau Leo ninakuja na Swali hili, Je, Rais Samia Suluhu Hassan ndo Deng Xiaoping wa Tanzania? Kwa wale msiojua Deng Xiaoping ni Rais wa China aliyechukua usukani wa Uongozi wa China baada ya kifo cha Rais wa Kwanza wa China Mao Zedong. Mao Zedong alijulikana kwa wachina kama...
  5. JamiiForums Tanzania Milango ya kibiashara yafunguka Kenya na Tanzania baada ya kuondolewa kwa vikwazo

    Kuondolewa kwa Vikwazo 30 Kati ya 64 vya kibiashara baina ya nchi ya Tanzania na Kenya, kumechangia kufunguka kwa milango ya kibiashara katika Mpaka wa Namanga. Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu. Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Wananchi wa Tanzania kuwa vinara wa unafiki ulimwenguni?

    Unafiki. Ni hali ya mtu kutenda au kuongea maneno tofauti na yale anayowaza akilini. Kama vile kusema jambo fulani ni zuri ilihali nafsini mwake anajua ni baya. Nchi hii wanaweza kusema wanakuchukia na kukutukana kila kona kumbe ukweli ni kuwa wanakupenda sana ila wanaona aibu kuonyesha hisia...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Alama ya mwisho ya anguko la Utawala wa CCM, Tanzania

    Mwisho wa utawala wa chama cha siasa - CCM katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa iwe wakati wa u Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2010). Ukacheleweshwa kwa kitambo kidogo lakini maandalizi muhimu yakafanyika chini yake. Kwa ulaghai na kwa udanganyifu wa kidola ktk uchaguzi mkuu...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya mtu aliyepo WFP Tanzania

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo! Poleni na Majukumu ya kimaisha na harakati za kila siku. Leo nakuja kwenu tena hapa nikiomba kuunganishwa na mtu ambaye anafanya kazi pale shirika la chakula Duniani (Tanzania) WFP hasa kitengo cha ajira. Lengo ni kuwa niweze kuteta naye...
  9. JamiiForums Tanzania Zitto: Wanasiasa Tanzania wanapata ugumu wa kufanya siasa bila uadui

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi. Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na kugawa watu. Mwenye mawazo tofauti sio adui. Anawaza tofauti na wewe tu.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula: Marekani sasa wanaamini ni salama kuwekeza Tanzania

    Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ya pili Afrika kwa Usalama wa Ulinzi wa Kidigitali

    GLOBAL CYBERSECURITY INDEX 2020 The Global Cybersecurity Index (GCI) is a trusted reference that measures the commitment of countries to cybersecurity at a global level – to raise awareness of the importance and different dimensions of the issue. As cybersecurity has a broad field of...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

    Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi. Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Afya Prof. Abel Makubi amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Wahenga walisema “Muungwana akivuliwa nguo huchutama” na “asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.“ Tarehe 01 Julai 2021 Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) akiwa katika kongamano la kudai katiba mpya alitoa matamshi yasiyokuwa na staha yenye kuleta ukakasi na kichefuchefu kwa kila anayeyasikia...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu kutoboa kibiashara kwasababu ya mrundikano wa kodi

    Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane na wakati wa Kati mazao yangu niyaongezee thamani. Lengo likiwa kuanzisha mashine ya kukoboa...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania sio Katiba Mpya bali utii wa Katiba iliyopo

    Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni yenye kustahili kusahihishwa kwa sababu si ya kweli. Ni uongo! Kwa ajili ya kumbukumbu, nimekusudia...
  16. JamiiForums Tanzania Safari toka Tanzania kwenda China kwa mwezi huu Julai zipo?

    Habari wakuu, Nina ndugu anahitaji kwenda china kuangalia mazingira ya biashara,kutokana na hali ya Covid19, je safari zipo toka Tanzania kwenda China? Naamini JF ina member wa kada zote. Shukrani Simu 0713-039 875
  17. JamiiForums Tanzania Tume Huru itairejesha Tanzania mikononi mwa wananchi

    Tume huru ndio kila kitu. Itajenga Tanzania imara na itakayo ogopeka na kila mtu. Tanzania itarudi mikononi mwa wananchi. Uchaguzi ufanywe tume huru ndio iwe inaamua, kura itakua adhabu kwa viongozi wanaofanya Tanzania ni mali yao. Wabunge wasio na sifa wote wataenguliwa kwenye sanduku.
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani zatimiza miaka 60 ya kushirikiana

    Serikali ya Tanzania imeahidi kuendelea kushirikiana na serikali ya Marekani katika nyanja mbalimbali za maendeleo kama ilivyokuwa katika kipindi miaka 60 iliyopita. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema ushirikiano baina ya mataifa hayo ni...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Huku Afrika Tanzania tuna ujinga mwingi sana, Hatujui kupokea ukweli ili tupambane

    Nimejaribu sana kutafakari huu ujinga utaisha lini, lakini sioni hata dalili yaani!! Katika jamii yetu hasa afrika Tanzania hatupendi kabisa kukubali ukweli! Mwenzetu akifanikiwa kipesa (hatukubali moja kwa moja), Kauli zetu nyingi midomoni utasikia " Yule jamaa kama siyo Freemasonry basi...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndege ya jeshi la USA imekuja Tanzania kufanya nini.?

    Inasikitisha sana wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…