tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania wanasa Malawi wakifuatilia wahalifu

    Polisi wa Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya wametandikwa na Raia wa Malawi baada ya kuingia nchi hiyo ya kigeni kwa lengo la kuwasaka wafanya magendo . Bado Haijafahamika walikopata utaratibu huo wa kuingia nchi ya watu kutafuta wahalifu huku Nchi ya Malawi ikiwa na Polisi wake , hata hivyo...
  2. F

    JamiiForums Tanzania BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

    BBC wa ajabu Sana hawa. Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12. 1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC. Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

    Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na Uhuru mkubwa wa kutoa maoni baada ya Africa kusini iko chini kidogo ya Uingereza|| Je! CHADEMA mnalijua hili?! " Hakuna kama Samia " GOODNEWZ: Tanzania rasmi nchi ya pili Barani Africa kwa uhuru wa kujieleza|kutoa maoni baada ya Africa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania

    Ni Tanzania pekee ambayo watu wake ni wavivu wa kufikiri na kuwaza, nchi ambayo watu wake wanachagua kiongozi kwa sababu wamehongwa kilo moja ya chumvi halafu wamiwa hawana uhakika wa kupata hela ya mboga na ugali. Nchi ambayo watu wake wanapenda sana uongo kuliko ukweli. Ni nchi ambayo watu...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeshindwa kuajiri watumishi wa Afya, imekuja na mbinu za kilaghai

    mambo yamekua mazitokupita kiasi, mpaka sasa vituo vya afya vilivyopo havina watumishi wa kutosha achilia mbali zile zahanati za vijijini ambazo unakuta zina muhudumu mmoja mmoja akipata dharula anafunga kituo. sasa vituo vingi vimejengwa na vinaenda kukamilika Rasilimali watu hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania has launched a mobile immunization program

    Tanzanian government has launched a 10 participatory and rapid vaccination program against COVID-19 with the presence of a mobile immunization (mobile vaccination site) and follow up on citizens who are ready to be vaccinated voluntarily. The initiative was launched yesterday by the Minister...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yapania kuongeza thamani ya ubora wa viwango vya korosho na bidhaa zitokanazo na korosho wilayani Nachingwea

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) YAPANIA KUONGEZA THAMANI YA UBORA WA VIWANGO VYA KOROSHO NA BIDHAA ZITOKANAZO NA KOROSHO WILAYANI NACHINGWEA Na Mwandishi wetu Nachingwea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 16 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji na...
  8. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Yanga Mechi Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022

    Kwa kubonyeza hapo chini utaona ratiba nzima ya mechi za Yanga kwenye ligi kuu Tanzania bara. Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu TPL 2021/2022, Ifuatayo ni Ratiba ya Yanga msimu huu 2021/2022 ,Mechi zote za Yanga msimu wa 2021/2022,Mechi za Yanga leo TPL Baadaye nitapost Ratiba ya mechi za Simba...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewadanganya kuwa ukipima Covid-19 Tanzania basi ukisafiri kwenda Nigeria haiwezekani ukakutwa nao ni nani?

    Pimeni leo hapo Muhimbili hiyo Covid-19 yenu ila mkifika tu Kwao nchini Nigeria 85% ya Wachezaji wenu watakutwa nayo na Kuna uwezekano Golini akakaa Hersi, Kiungo akacheza Haji na Ushambuliaji akamaliza Senzo huku Mzee Mpili akiwa ndiyo Kocha Mkuu wenu. Eti leo mnailaumu Simba SC kuwa ndiyo...
  10. JamiiForums Tanzania More women now hold powerful Cabinet posts in Tanzania

    President Samia Suluhu Hassan keeps boosting the role of women in her government as she entrusts them with key ministerial roles that could ultimately define her legacy as the first woman Head of State in the history of the country. Apart from Dr Stergomena Tax - who was yesterday sworn-in as...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

    Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke...
  12. JamiiForums Tanzania Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mzee Kikwete katika siasa za Tanzania ya Rais Samia

    Rais Mstaafu Kikwete anamsifia rais Samia kwa utendaji mzuri kama alivyofanya kwa marehemu Magufuli bila kujali machungu ya wa-TZ. Ni tabia ya kulazimisha kutuonesha uhusiano wake na marais walioko madarakani. Wakati Magufuli akiingia madarakani, kulikuwa na marais wastaafu watatu; Mwinyi...
  14. JamiiForums Tanzania Geita inaongoza kuwa na madini lakini ina stendi mbovu

    Geita ndio mkoa unao ongoza kuwa na madini Tanzania. Lakini pia ndio mkoa wenye Stendi mbaya sijawahi kuona. Hiyo chini hapo ndio stendi ya mkoa wa Geita. Wabunge wao kazi ni kugonga meza tu bungeni. Madini yakwao lakini hayawanufaishi.
  15. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Machinga Tanzania ni wafanyabiashara wakubwa walioumizwa na mfumo wa kodi

    Utangulizi Nimetembelea Kariakoo Mara nyingi ninapopata fursa ya kufika Dar es salaam. Nimefanya tafiti kwanini bidhaa inayouzwa na machinga iwe nafuu kuliko bidhaa hiyohiyo eneo like inayouzwa dukani? Ukweli ni kwamba Kariakoo na masoko makubwa nchini hakuna machinga Bali Kuna kundi la watu...
  16. JamiiForums Tanzania Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

    Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu #HakiZaBinadamu Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja...
  17. JamiiForums Tanzania Nielewesheni hili jambo Rais Samia kuzungumza na wanawake wa Tanzania siku ya Demokrasia duniani

    September 15 ni siku ya kimataifa ya demokrasia duniani ambapo nchi mbalimbali duniani hupata fursa ya kujadili demokrasia ya nchi zao na wadau husika wa demokrasia katika nchi hizo kama vile vyama vya upinzani. Sasa sielewi mantiki ya Rais Samia Suluhu Hassan kuitumia hiyo siku ya leo...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
  19. JamiiForums Tanzania Umahiri wa Rais Samia Suluhu ni kielelezo cha kuimarika kwa utawala bora nchini Tanzania

    UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA. UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria. DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limefanya zoezi la ukaguzi wa ubora wa bidhaa mbalimbali wilayani Kasulu-Kigoma

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza sokoni kwa wasambazaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula katika wilaya ya Kasulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…