tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa Madini ya Nikel utainufaisha Tanzania au ndio tutaishia kupigwa

    Nchi zinazoongoza ku export madini haya na pato lake Russia 3.02 bilions US dola kwa mwaka Canada 2.77 United States of America2.22 Germany1.47 Norway1.25 UK 1.1 Finland1.02 Zimbabwe0.99 Japan0.92 Indonesia0.81 Netherlands0.71 France0.69 China0.55 Papua New Guinea0.46 Philippines0.41 Belgium0.4...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu ibariki Police Tanzania FC imlipie kisasi Gomez

    Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania inakwamishwa na vijana wake na wanasiasa wasiojitambua

    Hapa Tanzania vijana wao kutwa nzima nikuongelea Pombe, Mpira na Ngono na hapo wanasiasa uchwara wanapopata njia ya kuitawala hii nchi bila kufata misingi ya haki na utawala bora. Hivyo basi nipende kuwaaambia ukweli safari ya asali na maziwa imeharibiwa na hii generation ya sasa hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kumbakiza Kocha Hitimana Simba SC na kumfukuza Kocha wa Viungo Zrane natamani leo tufungwe au 'tudroo' na Polisi Tanzania

    Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC. Hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Ujerumani imepata Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takriban Sh190.5 bilioni

    Ujerumani imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takribani Sh190.5 bilioni kwa ajili ya kutekeleza miradi kadhaa ikiwemo maji, uendelezaji wa maliasili na utalii, afya ya mama na mtoto pamoja na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia. Taarifa iliyotolewa na kitengo cha...
  6. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Simba: Red Arrow imewahi kuipiga timu ya Tanzania 7-0

    Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0. Katika Droo iliyotoka hivi karibuni watanzania...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com ya China yenye watumiaji milioni 700

    Ubalozi wa Tanzania nchini China umetia saini makubaliano na kampuni ya JD.com ya China, ambapo Tanzania itaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com, na kuuza bidhaa zake bora kwa wateja wa China. Hii ni hatua nyingine ya China kuzisaidia nchi za Afrika kuongeza mauzo ya bidhaa zao nchini...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania chini ya Serikali ya CCM na dhana ya kujiajiri, vinakwepana. Kuna dosari sehemu

    Nianze kwa nukuhu ya Bwn.Lewis Carroll, ambaye alipata kunena kwamba “If you don't know where you are going, any road will get you there”. Kwa maana kwamba kama hujui unakoenda, njia yoyote itakufikisha! Nimeamua kutumia kunuhu hiyo kuiangazia elimu inayotolewa nchini Tanzania kuanzia ngazi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Internships at Agricycle Global Inc Tanzania

    1. Technical Sales Intern (6 Posts) Empowerment Team Full-time Kampala,Dar es Salaam, Nairobi Overview: Technical sales Interns (6 post) As our Technical Sales Intern, you will report to the Technical Sales Officer of the respective country in conjunction with the EA Technical Sales...
  10. JamiiForums Tanzania Field Officer at Agricycle Global Inc Tanzania

    Field Officer TZ Empowerment Team Full-time Dar Es Salaam, Lake zone, , T Overview: Field Officer TZ As our Field Officer, you will report to the Operations Coordinator in Tanzania and work closely with a team of other Field Officers and Sourcing Officers to widen access to agriculture and...
  11. JamiiForums Tanzania Leo natangaza rasmi kuacha kushabikia soka la Tanzania

    Leo hii tarehe 26/10/2021 mimi Chaliifrancisco nikiwa na akili timamu kabisa natangaza kusimama kufuatilia na kushabikia mpira wa hapa kwetu Tanzania. Kama nitakuja kushabikia tena sijui lakini itategemea na tathmini nitakazofanya mwenyewe nikiridhishwa nitaamua. Sababu zilizofanya nifikie...
  12. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu suala la Sahara ya Magharibi

    MSIMAMO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUHUSU SUALA LA SAHARA YA MAGHARIBI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebainisha kwa masikitiko yake Taarifa iliyotolewa na Taasisi ya Utafiti wa Amani na Migogoro (IPCS) na Taasisi ya Tanzania Peace Foundation kufuatia Semina ya Pamoja...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Makatibu wa CCM wilaya waliohamishwa vituo vya kazi wagoma kuripoti vituo vipya walivyopangiwa

    Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa. Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30 wamepangiwa kazi zingine jambo ambalo hawakubaliani nalo na wamediriki kutoa rushwa Ili wapangiwe tena...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Tanzania yapoteza nafasi nne kwa Libya, miujiza ya Simba SC inasubiriwa

    Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira ya kichwa au wauzaji mechi watawaonea huruma mamilioni ya washabiki wa Simba. Please maduka kuweni...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi

    Wamachinga, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi. Lugha yao ni Kimachinga. Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini. Wamachinga katika biashara. Kwa kipindi cha karne ya 20...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwenda Afcon tena

    Inawezekana Tanzania ikaenda tena Afcon endapo tu chama cha soka cha Equatorial Guinea kitashindwa kulipa faini waliopigwa shirikisho la mpira FIFA ndani ya siku 30. Equatorial Guinea 🇬🇶 walipigwa faini ya kiasi €644,000 baada ya kushindwa kuwalipa makocha waliopita wa timu ya taifa ya wanaume...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bwaana, hivi Bibi Titi Mohamed waliyekuwa wanamuenzi leo wakina mama wa CCM ndie huyu upande wa pili wa shilingi?

    Tuweke historia yetu vema,leo kulikuwa na maadhimisho ya siku ya wanawake wa CCM UWT na kumuenzi Bibi Titi Mohamed,Lakini mzee mmoja tukitizama nae mbashara sherehe hizi amenipa stori tofauti kabisa ambayo sikuijua hapo kabla kwa kuwa hainenwi,ndipo nikaamua kuchimbua makaburi nikakutana na hii...
  18. JamiiForums Tanzania Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo! Yaaan madogo wangekuwa washachomoka! Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo...
  19. JamiiForums Tanzania Unapotaka kuhama unatumia usafiri gani? na unaupata wapi? Ipo njia rahisi kama huwa unahangaika kutafuta gari ya mizigo yako

    Unapata shida kusafirisha mizigo, bidhaa, kwasababu hujui wapi unapata gari, hujui gharama za kusafirishia, au unapigwa na watu wa kati na hujui jinsi mambo yanavyofanyika? Kwanini upigwe kwa bei za ajabu? Kwanini usifanye mwenyewe? USIISHI KIZAMANI Mambo yamebadilika, kuanzia leo...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

    Na cha Kushangaza zaidi kama Burundi inabebwa kwakuwa iliathirika na 1994 Genocide kwa Ripoti za UN zinasema kwamba Rwanda ndiyo iliathirika sana tu ila yenyewe wala haijikombi wala haijipendekezi kwa Mataifa makubwa ya Ukanda wake. Naifananisha Burundi na Mtoto Mvivu na Mpumbavu pia anayependa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…