tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania Hamna Referee

    Marefa wakibongo hawana viwango vinavyohitajika na ndio maana hawachaguliwi kwenye mechi za Afcon. Rwanda, Tchad, Djibouti, Burundi, Mauritius, Comoros, Seychelles, na Lesotho zote zikichanganywa pamoja ni ndogo kuliko Tanzania. Ila kwa jinsi marefa wetu wanavyotoa maamuzi yao inasikitisha sana...
  2. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

    Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu, ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo. Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita...
  3. JamiiForums Tanzania Je, taarifa ya ndege ya Air Tanzania kuanguka ziwani Victoria ni ya kweli?

    Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea. Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme. ===== UPDATE ====== Ndege za Air Tanzania ziko salama hakuna...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Namwombea Mshahara zaidi 'Spin Doctor' wa Siasa za Tanzania na Matukio yote Muhimu ya Kihisia

    Ameshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia na kudhani wana Ugomvi ( a.k.a ) Bifu. Na hapa ndipo ninapoisifu Idara ya Mpare ya pale Makao...
  5. JamiiForums Tanzania Waliomfanyia hujuma Polepole wamedharaulika na kupuuzwa na watanzania. Polepole sasa ni shujaa mzalendo anayetetea maslahi ya Tanzania.

    Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu? Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa. Leo hii kila...
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa wafiwa kuwalisha waombolezaji wengine umerasimishwa Tanzania?

    Habari za leo wanajamvi? bila shaka mapambano yanaendelea kama kawaida! Tuendelee kupambana sana na kusaka michuzi kwa udi na uvumba kana kwamba hatufi, na tuendelee kumuomba na kumwabudu Mungu kana kwamba tunakufa kesho! Kwanza kabisa napenda kutoa masikitiko yangu kama mwananzengo kwa...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwenye mashirika mbalimbali Tanzania

    JOBS VACANCY Clinical Assistant at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) Advisor – ART Retention and Community Based Health Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021 Advisor – HTS & HIV Prevention Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021 Advisor –...
  8. JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera iligharimu Tanzania Trilion 1.15

  9. J

    JamiiForums Tanzania Posta Tanzania yapokea ugeni kutoka Posta Kenya, lengo ni kukuza mahusiano na ushirikiano wa kibiashara

    POSTA TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA POSTA KENYA Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amepokea ujumbe kutoka Shirika la Posta Kenya. Ujumbe wa Posta ya Kenya umeongozwa na Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Bw. Daniel Kagwe akiambatana na Maafisa waandamizi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia wananchi wanalia sikia kilio, nchi inaenda arijojo!

    Hivi kweli kipande Cha sabuni enzi za Kikwete kilipanda kikafika shilingi Mia, eti juzi kwa utawala wako kimefikia shilingi 300/; nakumbuka mtungi wa Gesi ulikuwa kama sio 25000/; ulikuwa 30000/:leo hii kweli kutoka 45000/; mpaka 60000 serikali Iko kimya? Kilo moja ya sukari ni 2800/: kabisa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni bahati mbaya sana Viongozi "Think Tank' kama huyu Angetile Osiah aliyewahi kuwa Boss TFF hawatakiwi Tanzania

    Nimeshangaa kusoma kwamba eti kiongozi wa klabu ya Biashara anasema anachojali “ni fedha tu za Udhamini wa GSM, na hayo mambo mengine hayawahusu”. Hicho ni kiwango kikubwa cha kutojua wajibu wake kama kiongozi wa klabu ya Ligi Kuu, haki za klabu hiyo na vyanzo vya mapato. . Kwa kiongozi kama...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta amepunguza bei ya umeme, Tanzania vipi?

    Katika kusherehekea sikukuu ya Jamuhuri nchini Kenya Rais Kenyatta amepunguza bei ya umeme ili kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wake na pia kusaidia viwanda na wawekezaji kupunguza gharama za uendeshaji na uzalishaji. Kenyatta amepunguza bei hizo kwa 30% kwa awamu mbili, awamu ya kwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania na awamu za uongozi, ya Kwanza hadi ya Sita

    Kumekuwepo na mjadala mkali juu ya kutaka kujua watanzania tuko awamu ya sita au bado tuko awamu ya tano? Mtanzania mwenzetu Ndugu Polepole ametanabaisha kwamba tuko awmu ya tano(5) bado. Watanzania walio wengi wameaminishwa kwamba tuko awamu ya sita (6) Nimejaribu kutafakari kwa kupitia hoja...
  14. JamiiForums Tanzania VIDEO: Kiashiria cha mtu muhuni na asiyefaa kuaminiwa na Jamii yoyote iwayo duniani

    Je! inawezekana Mtu anayetutukania mama zetu wa kutuzaa Yeye akawa sio Muhuni ? #HUYU SASA NDIO MUHUNI WA WAHUNI MSIKILIZE KWA MAKINI,
  15. JamiiForums Tanzania Tuangalie Tanzania tunapata nini Kenya ukiondoa kujipendekeza na wao wanapata nini kwetu?

    Ukiangalia mambo simple sana mfano tu mdogo kwamba sisi tunajipendekeza zaidi, Dar kuna Barabara ya Kenyata, inaitwa Kenyata drive ni kwa wadosi huko ni moja kati ya barabara bora muhimu kabisa Dar wakati Nairobi mtaa wa Nyerere haufiki hata km 2 na ukimuuliza Mnairobi wa kawaida wapi Mtaa wa...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya waondoa vikwazo 46 kati yao

    Tanzania, Kenya waondoa vikwazo 46 kati ya 64 Rais wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mgeni wake Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa vikwazo 46 vya biashara kati ya 64 vilivyokuwepo kati ya nchi hizo mbili ikiwa ni...
  17. JamiiForums Tanzania Ni aibu ya mwaka: 60 tena

    Ni miaka 60 sasa tangu Taifa letu pendwa kujipatia uhuru wake toka kwa watu wasiostaarabika wa zamani hizo. Leo hii tunapoadhimisha miongo 6 ya uhuru, umoja, amani na mshikamano kuna watu wazima na akili zao timamu wanakaa mitandaoni ni kutukanana mambo ya kijinga kijinga kabisa kama vile...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuwapa Kenya ndege 12 aina ya cranes

    Serikal ya Tz imekubali kuwapa Ke ndege aina ya cranes ambao Taifa ilo la Kenya waliomba kwa Tanzania.
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Umahiri mkubwa tuliouona wa Makomandoo wetu Tanzania ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Polisi?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…